Membe kapiga kiberiti kichaka panya wote mmekurupuka ! kwa Taarifa yako Membe ndio aliyempa kazi ya kitengo Kapilimba , kapilimba aliingizwa tume na Kikwete ili kudivert kura 2015 , baadaye jiwe akapewa jina ampaishe kuwa DG , hii ni timu 1
sitaendelea kukujulisha usiyoyajua kwa sasa ila nitarudi baadaye ukipenda nifanye hivyo , kwa jiwe kumwangusha Membe kunahitaji ushawishi kwa wajumbe ( ambao ameisha upoteza ) , lakini si kwa njama duni za MATAGA mbumbumbu , jipangeni upya wenzenu wako kazini miaka 4 sasa
usije kusema hatukuambia , Chaos !