Membe jiandae kisaikolojia

Membe jiandae kisaikolojia

Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.

Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.

1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.

2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.

3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.

4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.

5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,

Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.

Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabetis au paralasing ukiwa bunkrupcy kabisa.
Musiba umeibukia JF
 
CCM bhana kumbe ni chama cha wezi
 
mpuuzi mkubwa ! poor analysis
Mmeyataka wenyewe afu mnatoka povu. 2015 Lowasa alikatwa. Nyie mkachinjwa.

2020 mnajua kabisa Mwenyekiti ndio kiongozi wa nchi afu mnaletea pressure mkitegemea mupewe kijiti. Awamu hii mnatoswa baharini.
 
Kukaa kimya ni ujinga uliopitiliza!!!

Jiwe mwenyewe ana makashifa mengi tu maana na yeye ni wale wale.

Hamuwezi kuziba watu midomo kwa vitisho vya aina hii na vingine ambavyo mmekuwa mkivitumia.

Hovyo kabisa!!!

Ni rahisi sana kuzungumza haya nyuma ya keyboard
 
Mmeyataka wenyewe afu mnatoka povu. 2015 Lowasa alikatwa. Nyie mkachinjwa.

2020 mnajua kabisa Mwenyekiti ndio kiongozi wa nchi afu mnaletea pressure mkitegemea mupewe kijiti. Awamu hii mnatoswa baharini.

WE DADA BADO SANA ! UWEZO WAKO WA KUYAANGALIA MAMBO ANALYTICALY NI MDOGO SANA.

JIWE ONE.TERM PRESDENT.HUTAKI UNAACHA
 
Analytical yako mbona siioni? Zaidi ya kupiga yowe hapa.
Ingekuwa term moja tungeona force from within lakini sasa force inatoka kwa wakatwa mikia. Hiyo analytical yako unafanyia wapi?

Lowasa na force yake ilifeli - Unajua kwa nn?
 
philosophize
 
Lumumba ,mkatengeneze katib ya chama mue mnafany free election,sio kuchahuana km maembe
 
Membe kapiga kiberiti kichaka panya wote mmekurupuka ! kwa Taarifa yako Membe ndio aliyempa kazi ya kitengo Kapilimba , kapilimba aliingizwa tume na Kikwete ili kudivert kura 2015 , baadaye jiwe akapewa jina ampaishe kuwa DG , hii ni timu 1

sitaendelea kukujulisha usiyoyajua kwa sasa ila nitarudi baadaye ukipenda nifanye hivyo , kwa jiwe kumwangusha Membe kunahitaji ushawishi kwa wajumbe ( ambao ameisha upoteza ) , lakini si kwa njama duni za MATAGA mbumbumbu , jipangeni upya wenzenu wako kazini miaka 4 sasa

usije kusema hatukuambia , Chaos !
Mungu ibariki JF
 
Back
Top Bottom