Membe jiandae kisaikolojia

Membe jiandae kisaikolojia

Membe kapiga kiberiti kichaka panya wote mmekurupuka ! kwa Taarifa yako Membe ndio aliyempa kazi ya kitengo Kapilimba , kapilimba aliingizwa tume na Kikwete ili kudivert kura 2015 , baadaye jiwe akapewa jina ampaishe kuwa DG , hii ni timu 1
YAMEFURUMUKA HADI MAPANYA BUKU MAKUBWA KAMA MBWEHA NA MAGU AKITAKA AHARIBU KILA KITU MAPEMA BASI AMGUSE MEMBE MWALIMU WA MAKACHERO WANAOMLINDA KUANZIA BASHITE HADI UWANJA WA NDEGE WA CHATO NA ASITISHIE SISTIMU KWA MEMBE KWANI UNAPOZUNGUMZIA MFUMO MZIMA WA USALAMA HUYU NI MOJA YA MA' MENTOR.
SASA KUPAMBANA NAE NI SAWA NA KUPAMBANA NA SISTIMU YENYEWE KWANI PALE MEMBE UNAVYOMUONA NI SISTIMU, PIA MWAMBIENI ACHUNGE SANA KWANI MAISHA YA RAIS JINSI YALIVYO NA VERY STRICT PROTOCOL AMBAZO MORE THANI 91% ZINATEKELEZWA NA SISTIMU NI HATARI KWA RAIS KUJITIA UKICHAA NA KIMBELE MBELE KUTAKA KUDILI NA WATU WALIOKUBUHU KWENYE MFUMO KWANI NI HATARI KULIKO HATARI YENYEWE. KWA KADILI NIJUAVYO RAIS AKITAKA KWENDA CHOONI NDO PROTOCOL HUWA HAIWEZI TAKE PLACE KULIKO BAKI KOTE INAHUSIKA
 
Hata ingekua wewe,mtu akiingia kwenye 18 zako utaremba?

Ingekuwa ni Mimi nadhani hata muda huu Maturubai yangekuwa yametawala Nyumbani Kwa Mhusika, taarifa za Msiba zikizidi Kuenea huku Mikakati ya Mazishi ikifanyika ama alazwe Kinondoni au Kijijini Ikupilipa Nkoba na Ratiba nyinginezo. Asikuambie Mtu Ikulu patamu sana Mkuu na ukitaka kulijua hili nenda Kamuulize Mzee Museveni au Mugabe au Obia Nguema au Do Santos watakuwa na Majibu murua tu ya kukupa.
 
Halafu mtu analeta mzaha hapa
 
NAJUA MLETA MADA KUNA AGENDA KUBWA NYUMA YAKO YA KUTAKA MAGU ABAKI MADARAKANI NAKUAPIA YA KUWA 2020 MAGU ATATOKA AIDHA KWA KUPENDA AU KUTOKUPENDA KWA UKIMTOA BASHITE, JOKATE NA MLETA MADA MJOMBA MAGU HANA RAFIKI KATIKA NCHI HII HILI HATA MAMA JESCA ANALIJUA, HUWEZI NYAMAZISHA WATU ATI KISA ATASHUGHULIKIWA KWENYE MALI ALIZOIBA KWANI BASHITE KAIBA NGAPI TENA KIBABE, YEYE MAGU KAIBA NGAPI HADI ANAJENGA AIRPORT YA BITUMEN KIJIJINI KUNAKOTUA WACHAWI WENYE NYUNGO TU, SASA KAMA KAKUTUMA KAMWAMBIE HUKU LIMEBUMA NA 2020 ATACHAPA LABA
Maneno yamenivutia sana haya!
Nasugua goti na kufukiza ubani mashtaka.
Mshana Jr fanya yako kilingeni
 
Ingekuwa ni Mimi nadhani hata muda huu Maturubai yangekuwa yametawala Nyumbani Kwa Mhusika, taarifa za Msiba zikizidi Kuenea huku Mikakati ya Mazishi ikifanyika ama alazwe Kinondoni au Kijijini Ikupilipa Nkoba na Ratiba nyinginezo. Asikuambie Mtu Ikulu patamu sana Mkuu na ukitaka kulijua hili nenda Kamuulize Mzee Museveni au Mugabe au Obia Nguema au Do Santos watakuwa na Majibu murua tu ya kukupa.
Utaratibu ndio huo,asikwambie mtu,huko makina Trump ,Putin ndio michezo yao,
 
Halafu mtu analeta mzaha hapa

Asubirie tu dhahama Kubwa inaenda Kumtokea ndipo atajua ni kwanini Nyimbo zote zina Video ila Wimbo wa Taifaf pekee ndiyo hauna Video. Kuna Watu huwa wanatafuta wenyewe Tiketi za haraka za kwenda Kulala mahala pema peponi.
 
WATU WALIOHUDUMU KITENGO CHA USALAMA AU UJASUSI HAWACHEZEWI HATA SIKU MOJA KULE USA EDGAR HOOVAER MKUU WA C.I.A ALIOGOPWA NA MARAISI WOTE 7BU ALIKUWA NA MAFAILI MACHAFU YALIYOWAHUSU, HISTORIA INAONYESHA RAIS AMBAE ANAWEZA KUMSHURUTISHA JASUSI NI YULE AMBAE NAYE ALIWAHI HUDUMU KITENGO TENA KWA NAFASI YA JUU LAKINI KWA HUYU MZEE WA CHATO KUHUSU USALAMA NI MBUMBUMBU.
UKIJA KWA BASHITE NDIYO DEBE TUPU KWA MASUALA YA USALAMA NDO MAANA HATA WALE WANAOITWA WASIOJULIKANA KUNA MAMLUKI KUTOKA RWANDA HII INAONYESHA NI NAMNA GANI MFUMO HAUPENDI HUU UJINGA NA WANAJUA KILA KITU KUANZIA MSIMAMIZI HADI WATEKELEZAJI ILA WANASHINDWA KU INTERVENE KATIBA INAWABANA WE SUBIRI 2020 IKARIBIE NDO UTAONA KITAKACHOTOKEA.
Wasiokuelewa shauri yao
 
Huyu mkatwa mkia aliyewahi kukiri wanapishana hewani utafikiri nchi inaungua moto sijui ameingiwa na tamaa gani. Watu tunafkiria kumuongezea jiwe muda yeye analeta za kuleta

Viongozi wetu sijui huwa wanagdanganywa nani nini yeye rostam ile clips aliyoitumia pengine yupo UAE , au hata dubai .. mana anajua hana cha kupoteza
 
Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.

Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.

1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.

2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.

3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.

4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.

5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,

Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.

Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
HIVI MBONA MNAMUOGOPA SANA MEMBE !???

NIA HAJATANGAZA MMESHAANZ A KUJINYEA MAVI !

SUBIRINI MTAANZA KUHARISHA SI MDA MREFU SANA !!

NAMA ALIVYOTOKA MBEKI SOUTH AFRICA JIWE ANATOKA MTINDO GUOHUO ! MENGINE HATUKI KUSEMA NI SAWA NA KUMWAGA MCHELE MBELE YA KUKU!

ONE TERM PRESDENT AJIANDAE
 
Membe kaingia mzigoni mazima mazima. Nazani hana mpango na CCM. Mwana ccm hawezi jadili kauli ya mwenyekiti wake ya Kukatwa mikia mbele ya runinga. Huyo ni either CDM ama ACT. Membe anamaumivu hajapona bado. CCM muacheni Membe bila buguzi kwa kuwa huyo sio wenu.
 
Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.

Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.

1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.

2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.

3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.

4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.

5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,

Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.

Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
Aisee!
 
Membe kaingia mzigoni mazima mazima. Nazani hana mpango na CCM. Mwana ccm hawezi jadili kauli ya mwenyekiti wake ya Kukatwa mikia mbele ya runinga. Huyo ni either CDM ama ACT. Membe anamaumivu hajapona bado. CCM muacheni Membe bila buguzi kwa kuwa huyo sio wenu.

Amechelewa na Karata zake amezicheza vibaya sana na kama kuna Mtu alimshauri ayafanya haya aliyoyafanya basi amemuingiza Chaka ile mbaya kama siyo mazima mazima. Kazi anayo!
 
Umemaliza kila Kitu Mkuu na namuonea mno huruma kwani yajayo hayatokuwa yakufurahisha Kwake. Hicho Kipengele chako #4 ndiyo nimekipenda zaidi. Sijajua Membe amejiamini nini wakati Yeye ni Mtu wa ' System ' tena wa ' Senior Level ' kabisa leo hii anakuja kutaka Kutunishiana Misuli na wenye ' System ' hii mpya huku akijua fika ya kwamba ' almost 65% ' ya yale aliyokuwa akiyajua ya ' System ' sasa yamebadilika na hakuna ambacho anakijua sana sana ataishia tu kupewa ' Umbea ' mdogo mdogo na ambao hautokuwa na Tija / Mantiki yoyote Kwake. Amefanya Jaribio baya sana na ambalo asipoangalia litakuja Kumgharimu mno Siku si nyingi.
Naona anataka kujishusha level kufikia ya level ya Chahali Evarist. Umeongea jambo muhimu sana hao wote sasa wanapata taabu kupata nyeti za sustem maana wamebadilishwa waliokua wanawapikia majungu
 
Back
Top Bottom