Membe jiandae kisaikolojia

Membe jiandae kisaikolojia

Huyu mkatwa mkia aliyewahi kukiri wanapishana hewani utafikiri nchi inaungua moto sijui ameingiwa na tamaa gani. Watu tunafkiria kumuongezea jiwe muda yeye analeta za kuleta
Unafikiri na sio tunafikiri mpumbavu wewe.
 
Hebu tuambie juu ya issue ya KIVUKO CHA BIL 8 ambacho hakiwezi hata kutoka Kigamboni kwenda MAGOGONI.......
CCM kuna msafi?Hakuna sema kuna VISASI
 
Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.

Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.

1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.

2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.

3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.

4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.

5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,

Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.

Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
nonsense
 
Watu gani hao wanaowaza kumuongezea jiwe muda,Nani alikudanganya pana mtu anaemkubali jiwe,zaidi ya yeye kulazimisha akubalike
 
Kwani MEMBE amesema atagombea 2020?
Sijawahi kusikia akisema hayo.
Amesema lini?Hebu wekeni Link hapa.
What I know Membe ana kesi na MUSIBA.
Umemaliza kila Kitu Mkuu na namuonea mno huruma kwani yajayo hayatokuwa yakufurahisha Kwake. Hicho Kipengele chako #4 ndiyo nimekipenda zaidi. Sijajua Membe amejiamini nini wakati Yeye ni Mtu wa ' System ' tena wa ' Senior Level ' kabisa leo hii anakuja kutaka Kutunishiana Misuli na wenye ' System ' hii mpya huku akijua fika ya kwamba ' almost 65% ' ya yale aliyokuwa akiyajua ya ' System ' sasa yamebadilika na hakuna ambacho anakijua sana sana ataishia tu kupewa ' Umbea ' mdogo mdogo na ambao hautokuwa na Tija / Mantiki yoyote Kwake. Amefanya Jaribio baya sana na ambalo asipoangalia litakuja Kumgharimu mno Siku si nyingi.
 
Membe kapiga kiberiti kichaka panya wote mmekurupuka ! kwa Taarifa yako Membe ndio aliyempa kazi ya kitengo Kapilimba , kapilimba aliingizwa tume na Kikwete ili kudivert kura 2015 , baadaye jiwe akapewa jina ampaishe kuwa DG , hii ni timu 1

sitaendelea kukujulisha usiyoyajua kwa sasa ila nitarudi baadaye ukipenda nifanye hivyo , kwa jiwe kumwangusha Membe kunahitaji ushawishi kwa wajumbe ( ambao ameisha upoteza ) , lakini si kwa njama duni za MATAGA mbumbumbu , jipangeni upya wenzenu wako kazini miaka 4 sasa

usije kusema hatukuambia , Chaos !
Hawa wajinga wamesahau pia kuwa mzee wa msoga nae yupo na membe, timu ya mzee wa msoga sina hakika kama hawa wapumbavu hawaielewi.
 
Hua nawashangaa wenye mipesa. Si angenyamaza tu!! Pesa inaleta kiburi .

soon atajikuta amekuwa kama Seti na Rugemalila. We subiri
 
Hawa wajinga wamesahau pia kuwa mzee wa msoga nae yupo na membe, timu ya mzee wa msoga sina hakika kama hawa wapumbavu hawaielewi.
Angekuwa na influence kihivyo hasingeshindwa kumwachia membe kiti. Mnajifanya mnaijua system wakati hakuna mnalolijua. Hiyo system ni corrupt kwa wenye Madara ka siyo stable km mnavojidanganya.
 
Imebaki hatu chache tu mbele, hapatakuwa na mtu wakumtisha mwenzie, itakuwa teka nikuteke, tumechokaaaaaaa.
 
Vilevile naye anayajua mengi mnavyo kwapua matrilioni ya watanzania atayamwaga hadharani ikiwepo zile za Epa na Escrow na ile 1.5 trillion
Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.

Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.

1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.

2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.

3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.

4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.

5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,

Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.

Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
 
Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.

Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.

1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.

2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.

3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.

4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.

5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,

Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.

Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
Ndio maana tunasema praising team mpo kwa ajili ya kumsifu Magufuli, ninyi Tanzania sio kitu kwenu
 
Tunatarajia 'ligi mechi fucho'. Timu membe poleni sana. ,Asante kwa bandiko hili,natumai umewaziba mdomo.
Hakuna cha kuziba midomo bali ndiyo kwanza kazi ya kuwaumbua majizi ndani ya ccm imeanza
 
Labda umuongezee Jiwe atawale nyumbani kwako na ukoo wako
Huyu mkatwa mkia aliyewahi kukiri wanapishana hewani utafikiri nchi inaungua moto sijui ameingiwa na tamaa gani. Watu tunafkiria kumuongezea jiwe muda yeye analeta za kuleta
 
Angekuwa na influence kihivyo hasingeshindwa kumwachia membe kiti. Mnajifanya mnaijua system wakati hakuna mnalolijua. Hiyo system ni corrupt kwa wenye Madara ka siyo stable km mnavojidanganya.
Alimpigania sana pale dodoma, bt timu ya mamvi ikamshinda nguvu. Bt kwa sasa bwana huyu hana nguvu yoyote nyuma yake zaidi ya wimbi kubwa la maadui wanaojifanya marafiki, hasalimiki, hasalimiki.
 
Back
Top Bottom