Membe jiandae kisaikolojia

Hv hao the so called system ndio wenye nchi hii? maana naona umewapa mamlaka makubwa mno badala ya wananchi wenyewe
 
Hakuna mtanzania anayemhitaji Jiwe. Msijidanganye. Ni hero tuongozwe na Member au hata Joti kuliko huyu mbinafsi na katili asiye na huruma. 2020 Jiwe must go.

Nahisi unaota ndoto za mchana! Mlizoea kula vya bure, wizi, rushwa, mikataba mibovu, kama siyo wewe wajomba zako! Dr. Magufuli mpaka 2030!
 
Mkuu umemaliza kila kitu
 
Acheni woga wapuuzi kabisa
 
Hii ni ngonjera tu kama zingine,hopeless kabisa!
 
Walio pamoja naye wanamdanganya, mwisho wa siku watalazimika kumkana, ataishia kuubeba mzigo wake mwenyewe!
 
Hii ni ngonjera tu kama zingine,hopeless kabisa!
Naona sindani zimeingiza dawa palipostahili but trust me, ni Membe ndie aliwafanya watu waamini kwamba yeye ndie chaguo la JK lakini chaguo la JK lilikuwa Magu! JK ni smart! JK ana ukaribu sana na Membe! Hakutaka kumkata Membe kama alivyomkata EL kwa sababu hakuwa na grounds za kumkata Membe! Hata hivyo, alishafahamu akimkata EL, wafuasi wa EL watamfanya supu Membe kwa kile walichoamini kwamba JK kamkata Lowassa ili kum-favor Membe na kwahiyo dawa yake ni kumchinja huyu "mtu wake!"

Achana na yule Mkwere wewe! Kwahiyo huyo mtu wenu kawekwa pale na JK na ndio maana hata siku moja hatathubutu kumtenda JK! And to be honest, JK alikuwa na sababu ya maana kabisa kumtaka Magu badala ya Ben!
 
Membe ni shushushu mwenzao , kumbuka Hilo mkuu
 
acha zako wew ? unaumwa?

membe usirudi nyuma ..

lazima huyu atoke ..

hata vijijini hawamtaki

must gooo
 
Yote hii kisiasa huenda ni janja janja za kuwa hadaaa wapinzani siasa mchezo unaoitaji akilii kubwa sana mwanasiasa ata ukiona jambo live ata kwambia wameniedit na ushaidi ata leta na wewe umeona live ila atataka akushindee
 
umesema ni wa sytem, Je kama system ndio wamemtaka wew utabisha nin?

tafakarini huko mchukue hatua za jiwe kuondoka ..
 
umesema ni wa sytem, Je kama system ndio wamemtaka wew utabisha nin?

tafakarini huko mchukue hatua za jiwe kuondoka ..

Huwa sishughuliki na Hoja ya Kipuuzi ya Mtu Mpuuzi na anayeendeleza Upuuzi wake Kila Siku / Uchao.
 
Ndivyo unavyodanganyana na Wapuuzi Wenzio mkiwa katika Vijiwe vyenu vya Gongo, Komoni na Wanzuki?
Nikajua kile KICHAMBO ulichokipata siku tatu zilizopita, utakuwa umeacha hayo maneno yako ya SHOMBO! Kumbe waaaaapii!
 
Hata wewe unaonekana hujui lolote. Magufuli alikuwa Chaguo la Wahafidhina, Ukweli ni kwamba Kikwete alizidiwa nguvu na Lowassa na kuliona hilo ni pale aliporudi kuomba Msaada wa team Mr. Clean wakati alikuwa ameshawatupa.
Ukweli utabaki pale pale, Membe alikuwa Chaguo la Mkwere sema tathmini ikaonyesha akipitishwa mambo yatakuwa magumu ndani ya Chama. Eti Jakaya Alikuwa akiambatan na Magu, Hivi Kati ya Membe aliyekuwa akiambatana na Rais kwenye safari za nje karibia zote na Magu aliyekuwa anashinda Mabarabarani nani alikuwa na natasi nzuri ya kuwa Rais!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…