My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,333
Kumbe wewe ndo huelewi, it's all about hatred against the unloved and the lovedWakati Mramba na Yona wananing'inizwa walikua marais?,kama huelewi ni bora kupita kimya
Kumbe wewe ndo huelewi, it's all about hatred against the unloved and the lovedWakati Mramba na Yona wananing'inizwa walikua marais?,kama huelewi ni bora kupita kimya
Hata Lowassa hakuwa mwenyewe alisema alikuwa na Wenyeviti wa CCM wa mikoa yote TZ. Mwisho wake ulikuwaje?Membe sio mwepesi unavyofikiri. Hayuko mwenyewe hapo ujue
Hata Lowassa hakuwa mwenyewe alisema alikuwa na Wenyeviti wa CCM wa mikoa yote TZ. Mwisho wake ulikuwaje?
Hana lolote wanamchota tu. Muulize Lowassa alikuwa na akina nani toka kwenye mfumo? Walimgeuzageuza kama peer baadae wakamwacha kweupe!! Muulize siku ya uchaguzi ilikuwaje aliweza kuwaona hao mashushushu waliokuwa karibu nao?? Membe ajifunze kwa Lowassa!We unaongelea wenyeviti wa mikoa au wanachama. Mimi naongelea mfumo. Membe hayuko mwenyewe katika hili. Ana backup ya vigogo na ana back up ya section fulani ndani ya mfumo
Unaposema hakuna mtanzania anayemhitaji jiwe, unanichanganya na mimi, ukweli mi namhitaji miaka kumi mingine.Hakuna mtanzania anayemhitaji Jiwe. Msijidanganye. Ni hero tuongozwe na Member au hata Joti kuliko huyu mbinafsi na katili asiye na huruma. 2020 Jiwe must go.
Ndio mkuuNadhani ulitaka kusema Siasa mkuu..
Cha ajabu, you're no match with Membe!! Huyo Mungu Mtu wenu anachojua ni ku-deal na wanyonge tu! Ikiwa ameshindwa ku-deal na Said Lugumi ambae hadi kesho wanamgwaya, ndo ataweza ku-deal na Membe?! Ni kweli yeye ndie mwenye dola lakini pia ni kweli ameonesha wazi hana ubavu wa ku-deal "vingunge!" Ni kutokana na ukweli huo, ndio maana pamoja na makelele yenu kwamba awamu zilizopita zilijaa ufisadi lakini Mungu Mtu ameshindwa ku-deal na kingunge yeyote ambae kimsingi wao ndio misingi ya ufisadi! Na anashindwa ku-deal nao kwa sababu anafahamu kwamba wanfahamu na mwenyewe ni fisadi tu licha ya porojo za hapa na pale! Huwezi kujenga international airport kijijini kwenu kama hauna elements za kifisadi!Soon mtamuonea huruma
Nilimdharau aliposhindwa kinyanganyiro cha urais 2015 pamoja na mbeleko kubwa ya Kikwete,hawezi kua rais na hatakua rais wa hii nchi ,labda kwenu LindiHumjui membe wewe, huyo mtu aguswi kifala kama unavyofikiria
Mfuate Lugumi akwambie vizuri kilichompata silenceCha ajabu, you're no match with Membe!! Huyo Mungu Mtu wenu anachojua ni ku-deal na wanyonge tu! Ikiwa ameshindwa ku-deal na Said Lugumi ambae hadi kesho wanamgwaya, ndo ataweza ku-deal na Membe?! Ni kweli yeye ndie mwenye dola lakini pia ni kweli ameonesha wazi hana ubavu wa ku-deal "vingunge!" Ni kutokana na ukweli huo, ndio maana pamoja na makelele yenu kwamba awamu zilizopita zilijaa ufisadi lakini Mungu Mtu ameshindwa ku-deal na kingunge yeyote ambae kimsingi wao ndio misingi ya ufisadi! Na anashindwa ku-deal nao kwa sababu anafahamu kwamba wanfahamu na mwenyewe ni fisadi tu licha ya porojo za hapa na pale! Huwezi kujenga international airport kijijini kwenu kama hauna elements za kifisadi!
Ni kipi?! Mhalifu sehemu yake ni jela, na si vinginevyo! Unaweza kuniambia yupo jela ipi?!Mfuate Lugumi akwambie vizuri kilichompata silence
Kumbe na wewe akili zako kama za ndugu yako unaleta mambo ya ukabila apa, ndo mana mmeshindwa kuongoza nchi mmebakiwa kudhurumu wakulima na wanyakaziNilimdharau aliposhindwa kinyanganyiro cha urais 2015 pamoja na mbeleko kubwa ya Kikwete,hawezi kua rais na hatakua rais wa hii nchi ,labda kwenu Lindi
Muulize Zitto,analia na DPP kua traNi kipi?! Mhalifu sehemu yake ni jela, na si vinginevyo! Unaweza kuniambia yupo jela ipi?!

Ina maana Zitto ndie Bwana Jela alikofungwa Said Lugumi; au?! Hebu jibu swali wewe!!!Muulize Zitto,analia na DPP kua tra![]()
Hapo kwenye rangi ndo unaonesha wazi kwamba wala hujui kinachoendelea kwenye system manake ungekuwa unafahamu, since day one ungejua chaguo la JK halikuwa Membe bali Magu lakini watu kama nyie mkaaminishwa kwamba chaguo la JK lilikuwa Membe!! Unaonesha wazi wewe ni mpiga makofi tu ambae haupo kwenye system! Ni mpiga makofi ambae kuna kila dalili kwamba makofi yako yanasukumwa na ukabila!! Ni kutokana na hilo ndio maana unaonekana kiroja kwa mtu wa kariba yako kumwapizia mtu kama Membe ambae hata Magu mwenyewe anamgwaya!! Na ushahidi kwamba anamgwaya unaonekana wazi anapoopogopa kumtaja kwa jina mtu anayedai amepiga 20 Bilioni huko Lindi, na matokeo yake anaishia kuimba taarabu tu huku akishindwa kutaja hata jina moja tu kwamba Ben, ili siku akibanwa aweze kukataa na kusema kuna akina Benwengi!Nilimdharau aliposhindwa kinyanganyiro cha urais 2015 pamoja na mbeleko kubwa ya Kikwete, hawezi kua rais na hatakua rais wa hii nchi, labda kwenu Lindi
Mbona wameishindwa Burundi ya Nkurunziza?Wanyarwanda nawakubali mkisema kuiteka nchi yoyote mnaweza sana
Hamna chochote woga umewatandaNa Wembe wa Awamu hii una Makali kuliko hata ya ' Chatu ' mwenye njaa ya Kitoweo.
UMEWAUWAAAAANAJUA MLETA MADA KUNA AGENDA KUBWA NYUMA YAKO YA KUTAKA MAGU ABAKI MADARAKANI NAKUAPIA YA KUWA 2020 MAGU ATATOKA AIDHA KWA KUPENDA AU KUTOKUPENDA KWA UKIMTOA BASHITE, JOKATE NA MLETA MADA MJOMBA MAGU HANA RAFIKI KATIKA NCHI HII HILI HATA MAMA JESCA ANALIJUA, HUWEZI NYAMAZISHA WATU ATI KISA ATASHUGHULIKIWA KWENYE MALI ALIZOIBA KWANI BASHITE KAIBA NGAPI TENA KIBABE, YEYE MAGU KAIBA NGAPI HADI ANAJENGA AIRPORT YA BITUMEN KIJIJINI KUNAKOTUA WACHAWI WENYE NYUNGO TU, SASA KAMA KAKUTUMA KAMWAMBIE HUKU LIMEBUMA NA 2020 ATACHAPA LABA