dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,171
- 3,086
Wachana na kukariri achana na mazoweaWewe omba tu Mungu pepo la kujiongezea muhula wa tatu limpitie mbali vinginevo hakuna wa kumzuia rais wa nchi hii kufanya anachotaka.
Wachana na kukariri achana na mazoweaWewe omba tu Mungu pepo la kujiongezea muhula wa tatu limpitie mbali vinginevo hakuna wa kumzuia rais wa nchi hii kufanya anachotaka.
Wacha tuu anasema kwa niaba yetuuSema umechoka,usisemee nafsi za watu
Hv hao the so called system ndio wenye nchi hii? maana naona umewapa mamlaka makubwa mno badala ya wananchi wenyeweUmemaliza kila Kitu Mkuu na namuonea mno huruma kwani yajayo hayatokuwa yakufurahisha Kwake. Hicho Kipengele chako #4 ndiyo nimekipenda zaidi. Sijajua Membe amejiamini nini wakati Yeye ni Mtu wa ' System ' tena wa ' Senior Level ' kabisa leo hii anakuja kutaka Kutunishiana Misuli na wenye ' System ' hii mpya huku akijua fika ya kwamba ' almost 65% ' ya yale aliyokuwa akiyajua ya ' System ' sasa yamebadilika na hakuna ambacho anakijua sana sana ataishia tu kupewa ' Umbea ' mdogo mdogo na ambao hautokuwa na Tija / Mantiki yoyote Kwake. Amefanya Jaribio baya sana na ambalo asipoangalia litakuja Kumgharimu mno Siku si nyingi.
Hakuna mtanzania anayemhitaji Jiwe. Msijidanganye. Ni hero tuongozwe na Member au hata Joti kuliko huyu mbinafsi na katili asiye na huruma. 2020 Jiwe must go.
Mkuu umemaliza kila kituNAJUA MLETA MADA KUNA AGENDA KUBWA NYUMA YAKO YA KUTAKA MAGU ABAKI MADARAKANI NAKUAPIA YA KUWA 2020 MAGU ATATOKA AIDHA KWA KUPENDA AU KUTOKUPENDA KWA UKIMTOA BASHITE, JOKATE NA MLETA MADA MJOMBA MAGU HANA RAFIKI KATIKA NCHI HII HILI HATA MAMA JESCA ANALIJUA, HUWEZI NYAMAZISHA WATU ATI KISA ATASHUGHULIKIWA KWENYE MALI ALIZOIBA KWANI BASHITE KAIBA NGAPI TENA KIBABE, YEYE MAGU KAIBA NGAPI HADI ANAJENGA AIRPORT YA BITUMEN KIJIJINI KUNAKOTUA WACHAWI WENYE NYUNGO TU, SASA KAMA KAKUTUMA KAMWAMBIE HUKU LIMEBUMA NA 2020 ATACHAPA LABA
Acheni woga wapuuzi kabisaSiasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.
Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.
Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.
1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.
2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.
3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.
4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.
5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,
Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.
Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabetis au paralasing ukiwa bunkrupcy kabisa.
Kwahiyo Lissu hapana tena 2020?,hakikan nyie ni malayaAcheni woga wapuuzi kabisa
Hii ni ngonjera tu kama zingine,hopeless kabisa!Hapo kwenye rangi ndo unaonesha wazi kwamba wala hujui kinachoendelea kwenye system manake ungekuwa unafahamu, since day one ungejua chaguo la JK halikuwa Membe bali Magu lakini watu kama nyie mkaaminishwa kwamba chaguo la JK lilikuwa Membe!! Unaonesha wazi wewe ni mpiga makofi tu ambae haupo kwenye system! Ni mpiga makofi ambae kuna kila dalili kwamba makofi yako yanasukumwa na ukabila!! Ni kutokana na hilo ndio maana unaonekana kiroja kwa mtu wa kariba yako kumwapizia mtu kama Membe ambae hata Magu mwenyewe anamgwaya!! Na ushahidi kwamba anamgwaya unaonekana wazi anapoopogopa kumtaja kwa jina mtu anayedai amepiga 20 Bilioni huko Lindi, na matokeo yake anaishia kuimba taarabu tu huku akishindwa kutaja hata jina moja tu kwamba Ben, ili siku akibanwa aweze kukataa na kusema kuna akina Benwengi!
Btw, kusoma hujui, ina maana hata picha ukutani huzioni! Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ziara za mikoani JK alikuwa anapenda kufuatana na Magu?! Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini JK aliipendelea zaidi wizara ya Magu kwenye bajeti kuliko wizara nyingine yoyote ile?!
Naona sindani zimeingiza dawa palipostahili but trust me, ni Membe ndie aliwafanya watu waamini kwamba yeye ndie chaguo la JK lakini chaguo la JK lilikuwa Magu! JK ni smart! JK ana ukaribu sana na Membe! Hakutaka kumkata Membe kama alivyomkata EL kwa sababu hakuwa na grounds za kumkata Membe! Hata hivyo, alishafahamu akimkata EL, wafuasi wa EL watamfanya supu Membe kwa kile walichoamini kwamba JK kamkata Lowassa ili kum-favor Membe na kwahiyo dawa yake ni kumchinja huyu "mtu wake!"Hii ni ngonjera tu kama zingine,hopeless kabisa!
Membe ni shushushu mwenzao , kumbuka Hilo mkuuHana lolote wanamchota tu. Muulize Lowassa alikuwa na akina nani toka kwenye mfumo? Walimgeuzageuza kama peer baadae wakamwacha kweupe!! Muulize siku ya uchaguzi ilikuwaje aliweza kuwaona hao mashushushu waliokuwa karibu nao?? Membe ajifunze kwa Lowassa!
Umejuaje kama jk alimbeba ?Nilimdharau aliposhindwa kinyanganyiro cha urais 2015 pamoja na mbeleko kubwa ya Kikwete,hawezi kua rais na hatakua rais wa hii nchi ,labda kwenu Lindi
Wananchi hawana maamuziHv hao the so called system ndio wenye nchi hii? maana naona umewapa mamlaka makubwa mno badala ya wananchi wenyewe
umesema ni wa sytem, Je kama system ndio wamemtaka wew utabisha nin?Umemaliza kila Kitu Mkuu na namuonea mno huruma kwani yajayo hayatokuwa yakufurahisha Kwake. Hicho Kipengele chako #4 ndiyo nimekipenda zaidi. Sijajua Membe amejiamini nini wakati Yeye ni Mtu wa ' System ' tena wa ' Senior Level ' kabisa leo hii anakuja kutaka Kutunishiana Misuli na wenye ' System ' hii mpya huku akijua fika ya kwamba ' almost 65% ' ya yale aliyokuwa akiyajua ya ' System ' sasa yamebadilika na hakuna ambacho anakijua sana sana ataishia tu kupewa ' Umbea ' mdogo mdogo na ambao hautokuwa na Tija / Mantiki yoyote Kwake. Amefanya Jaribio baya sana na ambalo asipoangalia litakuja Kumgharimu mno Siku si nyingi.
umesema ni wa sytem, Je kama system ndio wamemtaka wew utabisha nin?
tafakarini huko mchukue hatua za jiwe kuondoka ..
Nikajua kile KICHAMBO ulichokipata siku tatu zilizopita, utakuwa umeacha hayo maneno yako ya SHOMBO! Kumbe waaaaapii!Ndivyo unavyodanganyana na Wapuuzi Wenzio mkiwa katika Vijiwe vyenu vya Gongo, Komoni na Wanzuki?
Nikajua kile KICHAMBO ulichokipata siku tatu zilizopita, utakuwa umeacha hayo maneno yako ya SHOMBO! Kumbe waaaaapii!
Hata wewe unaonekana hujui lolote. Magufuli alikuwa Chaguo la Wahafidhina, Ukweli ni kwamba Kikwete alizidiwa nguvu na Lowassa na kuliona hilo ni pale aliporudi kuomba Msaada wa team Mr. Clean wakati alikuwa ameshawatupa.Hapo kwenye rangi ndo unaonesha wazi kwamba wala hujui kinachoendelea kwenye system manake ungekuwa unafahamu, since day one ungejua chaguo la JK halikuwa Membe bali Magu lakini watu kama nyie mkaaminishwa kwamba chaguo la JK lilikuwa Membe!! Unaonesha wazi wewe ni mpiga makofi tu ambae haupo kwenye system! Ni mpiga makofi ambae kuna kila dalili kwamba makofi yako yanasukumwa na ukabila!! Ni kutokana na hilo ndio maana unaonekana kiroja kwa mtu wa kariba yako kumwapizia mtu kama Membe ambae hata Magu mwenyewe anamgwaya!! Na ushahidi kwamba anamgwaya unaonekana wazi anapoopogopa kumtaja kwa jina mtu anayedai amepiga 20 Bilioni huko Lindi, na matokeo yake anaishia kuimba taarabu tu huku akishindwa kutaja hata jina moja tu kwamba Ben, ili siku akibanwa aweze kukataa na kusema kuna akina Benwengi!
Btw, kusoma hujui, ina maana hata picha ukutani huzioni! Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ziara za mikoani JK alikuwa anapenda kufuatana na Magu?! Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini JK aliipendelea zaidi wizara ya Magu kwenye bajeti kuliko wizara nyingine yoyote ile?!