Membe jiandae kisaikolojia

Membe jiandae kisaikolojia

Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.

Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.

1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.

2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.

3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.

4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.

5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,

Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.

Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
Kama umechukua point za Musiba vile..
 
Naona Mr slim tumbo linamuuma huko alipo nayeye ajiandae kisaikolojia
 
Hi ya Membe nimeipenda.hakuna kitu kama hicho kwenye katiba ya chama chochote kwamba raisi anatakiwa kutawala kwa miaka kumi mfululizo.so nisawa kukumbushwa kama anachokifanya na baadhi ya akina Membe.Aliyoko madarakani asijihararishie kwamba yukohapo kwa miaka kumi.Ndiyo maana kuna uchaguzi kuanzia ndani ya chama hata katika ngazi ya taifa kila baada ya miaka 5.acheni kuwamilikisha nchi watalawa.

Kama tutaona wanafaa turawachagua tena lakini isiwe given.Lazima tuwa na watu watakao leta challenge za wazi wazi.

Wengi tu ndani ya ccm hawakubaliani na yanayoendelea lakini wamejaa uoga na unafiki.Sasa hivi ukiangalia kwa makini ndani ya chama ni kama kimekuwa cha wachacje na wengine hawana sauti.yaani maamuzi mengi ya chama ni wachache sana.nadhani hawazidi watatu wanne hivi.yaani ile NEC ya zamani ilishavunjwa nguvu kabisa.ile ambayo hata mwenyekiti wa Taifa alikuwa akiiogopa enzi zile.majeruhi ndani ya ccm ni wengi sema wengine wamejeruhiwa mpka akili zao.sasa hivi nadhani wajumbe kabla ya kutoa kichangia hoja wanapima kwanza upepo wa mwenyekiti unaelekea wapi.ndiko nako watakako jielekeza.hakuna anayeweza toa hoja mbadala inayokinzana na mwenyekiti.demokrasia inaonekana kuminywa ndani ya chama hadi nje ya chama.akina Rostam wanabwabwaja kwa minajili ya kulinda maslahi yao binfsi siyo ya nchi.ndiyo maana zile shares za voda zimerudishwa chamani.hata Membe mwenyewe pia ana maslahi binafsi.

Hili la pili la kwamba serikali ya awamu iliyopita serikali iligubikwa na mikataba mibovu na ufisadi.hata baado serikali ya awamu ya tano haijaweza kuthibitisha hili kwa vitendo.kwamba ukimaliza ufisadi maisha yanakuwa bora .maisha bora kwa kila mtanzania ilikuwa ni kauli mbiu iliyotekelezwa enzi zile.

maana sasa hivi maisha tunayoishi utafikiri ndiyo nchi imeshauzwa tayari .maana kila sector haiendi.maisha magumu sana kiasi kwamba tunakumbuka maisha ya utumwani.mpaka nahisi Mzee wa msoga hakufanya hand-over vizuri serikali yake.kuna siri zake za kuongoza nchi alibaki nazo.kuna makabrasha bado anayo hakumuachia mwenzie
Tunajenga miundombinu huku maisha yakizidi kuwa magumu.biashara zinakufa kwa mazingira mabaya.sasa tutamaliza ujenzi wa miundombinu huku tukiwa tayari tumeshaondoa imani ya wakezaji dhidi ya mazingira ya hovyo ya ufantanyaji biashara.

Tuendelee kuwakumbusha walioko madarakani kwamba wapo pale kwa muda tu.wanachofanya sasa lazima kiwe kinalenga kutatua changamoto za wananchi kwa sasa na kwa baadaye.wengine watakuwa wemeshakufa utakapomaliza kujenga reli.hebu tuangalie toka toka dream liner imeingia nchini imeshaingiza sh.ngapi
 
Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.

Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.

1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.

2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.

3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.

4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.

5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,

Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.

Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
Upuuzi mtupu umeandika
 
Duh..

Membe amewahi kuwa na awamu yake kumbe.??
 
Hakuna aliyemsafi hata waliopo siku system itakapowatuma watalimia meno wataomba poo,matumizi mabaya ya Madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma,uhujumu uchumi, upotevu wa watu,nk.
 
13 Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.

Kutoka 14 :13
14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.

Kutoka 14 :14
 
Wewe omba tu Mungu pepo la kujiongezea muhula wa tatu limpitie mbali vinginevo hakuna wa kumzuia rais wa nchi hii kufanya anachotaka.
Ndoto hizo yye si MKubwa kuliko Tz watagawana fito usione watu wako kimya ukatafsiri ni wajinga
 
Umemaliza kila Kitu Mkuu na namuonea mno huruma kwani yajayo hayatokuwa yakufurahisha Kwake. Hicho Kipengele chako #4 ndiyo nimekipenda zaidi. Sijajua Membe amejiamini nini wakati Yeye ni Mtu wa ' System ' tena wa ' Senior Level ' kabisa leo hii anakuja kutaka Kutunishiana Misuli na wenye ' System ' hii mpya huku akijua fika ya kwamba ' almost 65% ' ya yale aliyokuwa akiyajua ya ' System ' sasa yamebadilika na hakuna ambacho anakijua sana sana ataishia tu kupewa ' Umbea ' mdogo mdogo na ambao hautokuwa na Tija / Mantiki yoyote Kwake. Amefanya Jaribio baya sana na ambalo asipoangalia litakuja Kumgharimu mno Siku si nyingi.
Hajui hata 2015 system ilikuwa haimtaki pamoja na familia ya JK kuwa upande wake asubiri maumivu zaidi very soon
 
Alafu mkiambiwa lichama lenu ni chama la mafisadi mnabisha wakati humu mnalipuana wenyewe na kutudhihirishia mnalindana kwa mashariti gani!!!

Zero kabisa wewe!!!
Stress zitakuuwa wewe! Naona hata Lowassa amekukimbia. Vipi mwaka 2015 si ulisema "Ulipo Tupo" imekuwaje sasa??!
 
Back
Top Bottom