Membe jiandae kisaikolojia

Membe jiandae kisaikolojia

Mbona magufuli alipiga pesa za kivuko, billion 251 wizara ya ujenzi, kauza nyumba za serikali akajiuzia nyumba nyingi kinyume cha Sheria, barabara ya ubungo fire ilijengwa chini ya kiwango ikiwemo standa ya mwendo kasi na sasa kapiga mchongo kibao yeye magufuli humuoni umekalia kumkomoa membe peke yake
Hili Sumaye alikwisha litolea ufafanuzi kitambo sana ,na lilikosa mashiko,hata chadomo wanajua na hii swaga waliipotezea kitambo
 
Usikurupuke mkuu. Maana sidhani kama yeye kakurupuka kama wewe. Kwahiyo unayoyasema lazima ame consider.

Muacheni atumie haki yake kwa mujibu wa katiba ya chama na ile ya Taifa.

Waacheni wananchi watumie haki zao kikatiba kufanya maamuzi ya nani awaongoze, ama nani wampe ajira.
Mkuu siyaamini maccm, hata awe nani
 
Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.

Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.

1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.

2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.

3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.

4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.

5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,

Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.

Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabetis au paralasing ukiwa bunkrupcy kabisa.
Mkwara mavi huo,
 
Moja ya upumbavu wa wengi wetu ni kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa "system mpya". Kwa wabobezi wa taaluma za usalama na ujasusi,hakuna kitu kinaitwa "system mpya". As long as ni sytem,basi kuna matundu,mashimo na viziba matundu/mashimo.full stop.
Kama CCM mpya iliwashinda ndio wataweza hilo la system mpya?
 
Asubirie tu dhahama Kubwa inaenda Kumtokea ndipo atajua ni kwanini Nyimbo zote zina Video ila Wimbo wa Taifaf pekee ndiyo hauna Video. Kuna Watu huwa wanatafuta wenyewe Tiketi za haraka za kwenda Kulala mahala pema peponi.
Upuzi
 
Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.

Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.

Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.

1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.

2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.

3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.

4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.

5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,

Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.

Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabetis au paralasing ukiwa bunkrupcy kabisa.
kwani hii demokrasia inayohubiriwa na katiba zote ya chama na ya nchi ni maigizo ama ipo in practical?
maaana nakuona umetumwa kutisha watu sio. hivi kwa ubongo wako mdogo unadhani membe atatishwa na hui

kweli uko na haja ya kutoa vitisho vyote hivi kama vile labd membe hiyo nia yake ya kugombea labda ni jambo haramu. nawe unakuwa kama muusiba vile. hivi vitishovyote ni kwa mslahi ya nani ndugu yangu au umetumwa?
 
l'm not threatening Mr Membe but i'm talking the reality

Hapo kwenye rangi ndo unaonesha wazi kwamba wala hujui kinachoendelea kwenye system manake ungekuwa unafahamu, since day one ungejua chaguo la JK halikuwa Membe bali Magu lakini watu kama nyie mkaaminishwa kwamba chaguo la JK lilikuwa Membe!! Unaonesha wazi wewe ni mpiga makofi tu ambae haupo kwenye system! Ni mpiga makofi ambae kuna kila dalili kwamba makofi yako yanasukumwa na ukabila!! Ni kutokana na hilo ndio maana unaonekana kiroja kwa mtu wa kariba yako kumwapizia mtu kama Membe ambae hata Magu mwenyewe anamgwaya!! Na ushahidi kwamba anamgwaya unaonekana wazi anapoopogopa kumtaja kwa jina mtu anayedai amepiga 20 Bilioni huko Lindi, na matokeo yake anaishia kuimba taarabu tu huku akishindwa kutaja hata jina moja tu kwamba Ben, ili siku akibanwa aweze kukataa na kusema kuna akina Benwengi!

Btw, kusoma hujui, ina maana hata picha ukutani huzioni! Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ziara za mikoani JK alikuwa anapenda kufuatana na Magu?! Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini JK aliipendelea zaidi wizara ya Magu kwenye bajeti kuliko wizara nyingine yoyote ile?!
Wewe Banker hujui kitu wewe hangaika kutafuta wateja wa Benki yako!
 
l'm not threatening Mr Membe but i'm talking the reality
kwa hiyyo unataka kuumnia uuma kua rais magufuli anamuacha membe kwa sababu hajagusa maslhi yake na kwakuwa sasa ameonesha nia ya kuutaka urais na kwa maneno mengine unataka kutuambia kuwaa taratibu zilizowekwa na chama za kuruhusu hicho membe anataka nzikiukwe kwa maslahi ya magufuli na nyie aliyowatuma kuja kutisha watu kwenye mitandao humu. kwani umesahau hata bwana Shibuda alijitokeza kumpinga Jk 2010 na kwa hiyari yake akaamua kutoa jina mwenyewe sasa kuna nini sasa mpk uje na vitisho vyote hivi si muache wanachama wataamua wanmtaka nani kulingana na taratibu za chama awe mgombea. waliotunga katiba waliliona hilo wangeweza pia tu kusema rais aliyopo haruhusiwi kupingwa mpk amalize muda wake
 
Tatizo sio kugombea urais ,serikali iko kazini kupambana na mafisadi stage by stage ,na mafisadi wengi wamo ndani ya ccm na mmoja wao ni Membe ,kuhusu yeye kugombea sio big deal atagombea tu baada ya kupitia mchakato wa chama
 
Membe kaingia mzigoni mazima mazima. Nazani hana mpango na CCM. Mwana ccm hawezi jadili kauli ya mwenyekiti wake ya Kukatwa mikia mbele ya runinga. Huyo ni either CDM ama ACT. Membe anamaumivu hajapona bado. CCM muacheni Membe bila buguzi kwa kuwa huyo sio wenu.
mpuuzi mkubwa ! poor analysis
 
Kwamwono Wangu Naona Ben akiandaliwa kuwa mgombea wa upinzani 2020.
Naona pia wapinzani wanaanza kuandaliwa kisaikolojia Mapema tusubiri 2020.
Mgombea Wa CCM atakua ni Magufuli na Kama atafanikiwa Ben walau kuwa mgombea system Itampa upinzani agombee na wapinzani watampokea.
 
Hayo yoote ulioorodhesha kama yapo, yanamhusu Membe au JK?
 
Back
Top Bottom