KOSAM
Member
- May 25, 2013
- 43
- 5
Aitaka serikali ya Kagame ipatane na wapinzani badala ya kutumia mabavu.
Asisitiza Tanzania ipo tayari kuwapa ushirikiano kama ikiombwa.
Rwanda haina shida na samahani na serikali ya ivi
Aitaka serikali ya Kagame ipatane na wapinzani badala ya kutumia mabavu.
Asisitiza Tanzania ipo tayari kuwapa ushirikiano kama ikiombwa.
Hii JF siku hizi imevamiwa, zamani hii comment yako ingeambatana na facts zinazoonyesha upuuzi wa wenje na kupendekeza nini kifanyike, ni bora kuwa msomaji kuliko kuwa mchangiaji kama njiwa
this is coming from wenje???? one of those classless politicians waliojazana CDM anaongea upuuzi wowote kisa bunge lipo LIVE
Aitaka serikali ya Kagame ipatane na wapinzani badala ya kutumia mabavu.
Asisitiza Tanzania ipo tayari kuwapa ushirikiano kama ikiombwa.
Mi nashindwa kuelewa Kikwete ana maslahi gani na vita ya Kongo hadi kujiingiza kwenye migongano ambayo ni totally BASELESS. Au ndio ule uvumi kuwa Riziwani anataka kuingia kwenye biashara ya almasi na mbao za Kongo?
Membe na Kikwete wanaweza kuwa wanatafuta sifa kwa kuwa watu wengi wanapenda siasa za KI_GANGWE lakini kidiplomasia haiiweki nchi yetu pazuri. Huku Chini Malawi mgogoro hawajautatua, then wanatafuta ugomvi wa KUNUNUA na Rwanda, hatujui kesho itakuwa nani??
Mind you Tanzania ndio nchi yenye uchumi dhaifu na maendeleo duni kwa sasa kwenye ukanda wa Afrika mashariki huku bajeti yake ikiwa tegemezi kwa asilimia 41. Kwa uchumi huu wa hospitali hazina dawa na akina mama wanalala wanne wanapojifungua hatuna haja ya kutafuta migogoro na majirani. FDLR hawatuhusu sisi watanzania na ni matatizo ya ndani ya Rwanda kwa nini tujihusishe?? Je siku Kagame akiibuka na kumshauri Kikwete aende walau kutoa POLE kwa mjane wa Mwangosi, Kikwete atafurahi?? Mbona Membe na CCM yake hawajakaa kwa majadiliano na watu wa Mtwara kuhusu matumizi ya gesi but wanataka majadiliano kwenye nchi za watu?? Wajanja tumenusa kitu hapo...
natafuta kitufe cha like sikioni simu yangu inawalakini
rwanda haina shida na samahani na serikali ya ivi
Kweli nyani halioni KUNDULE,
Kagame mnamlazimisha apatane na WAPINZANI,
Nyie kwenu MTWARA,mnapeleka JESHI hilohilo kuua RAIA wasiokua hata na MANATI,
Mbona nyie hamjakaa chini na kuzungumza na wana mtwara?
SHAME ON YOU,
F..CKING YOU ALL,

Soma kwa Makini Post yangu utaelewa.Kifupi,Tujifunze kuwa na "VISION" kama ya Serikali ya Rwanda.
kutukana na kuua kubwa ni lipi? KAGAME MUUAJI MKUBWA! muda si mrefu yatampata yaliyowapata wadhalimu wenzake kama gadafi na amini.
Asante sana mkuu, kuna mijitu humu sijui ni mitusi au ni uelewa mdogo kwamba Tanzania isijiingize katika mambo ambayo hayaihusu. Kama ni mtanzania basi ana uwezo kufikiri mdogo sana. Utulivu wa Congo ni kitu muhimu kwa Tanzania, haitapokea wakimbizi ambao wanaleta tamaduni ambazo ni hatarishi kwa Tanzania, silaha na ujambazi, magonjwa, kufekwa misitu nk. Mtu mwenye mawazo hayo aende kigoma, biharamuro nk ataona athari nilizozitaja. Mimi namsupport Kikwete kwa asilimia mia.
Umeongea utumbo mtupu! Tanzania ni nchi Tajiri kuliko zote Africa Mashariki kwa Rasilimali (watu na vitu)!. Ni nchi ya pili kwa ukubwa wa pato la taifa ikiwa karibu kabisa na nchi ya kwanza (GDP tanzania $74 billion, Kenya $76 billion, Uganda $50 billion, Rwanda $17 billion na Burundi $148 million. Ukubwa wa Tanzania ni zaidi ya ukubwa wa jumla wa nchi zote 4 zilizobazi za EAC. Tanzania ndio nchi ya kwanza East Africa yenye jeshi kubwa na la kisasa na lililo organised. source: CIA world Factbook). Zaidi ya wanyarwanda million 1 tunawapa hifadhi tanzania na wanafunzi zaidi ya 500 wa kinyarwanda wanasoma katika vyuo vikuu vya tanzania. Bila kusahau kwamba Rwanda inategemea imports na exports zake kuzipitisha bandari za Tanzania ukizingatia tayari ina ugomvi na Kenya (baada ya kuituhumu kuhifadhi maadui zake kama kina Kabuga). Kumbuka pia kwamba wataalam wa fani mbali mbali wanaofanya kazi Rwanda akiwemo waziri mmoja ni watanzania.
Nawashauri sana Wanyarwanda kujiangalia vizuri, kuendelea kumtetea kagame ni sawa na kulea Kansa. Anapenda ugomvi sana. Mpaka sasa ana ugomvi na Kenya, Uganda, South Africa, Congo na Burundi. Mtaishije bila majirani?
Wewe nawe jenga hoja sawa.Kagame ana msimamo wala hacheki na watu hovyohovyo.Huyu wa kwetu anabaki kujiingiza kwenye mambo ya watu tu.Akae kimya hatumlipi kupiga soga na vijembe.Anapaswa kufuta kauli.Umeongea utumbo mtupu! Tanzania ni nchi Tajiri kuliko zote Africa Mashariki kwa Rasilimali (watu na vitu)!. Ni nchi ya pili kwa ukubwa wa pato la taifa ikiwa karibu kabisa na nchi ya kwanza (GDP tanzania $74 billion, Kenya $76 billion, Uganda $50 billion, Rwanda $17 billion na Burundi $148 million. Ukubwa wa Tanzania ni zaidi ya ukubwa wa jumla wa nchi zote 4 zilizobazi za EAC. Tanzania ndio nchi ya kwanza East Africa yenye jeshi kubwa na la kisasa na lililo organised. source: CIA world Factbook). Zaidi ya wanyarwanda million 1 tunawapa hifadhi tanzania na wanafunzi zaidi ya 500 wa kinyarwanda wanasoma katika vyuo vikuu vya tanzania. Bila kusahau kwamba Rwanda inategemea imports na exports zake kuzipitisha bandari za Tanzania ukizingatia tayari ina ugomvi na Kenya (baada ya kuituhumu kuhifadhi maadui zake kama kina Kabuga). Kumbuka pia kwamba wataalam wa fani mbali mbali wanaofanya kazi Rwanda akiwemo waziri mmoja ni watanzania.
Nawashauri sana Wanyarwanda kujiangalia vizuri, kuendelea kumtetea kagame ni sawa na kulea Kansa. Anapenda ugomvi sana. Mpaka sasa ana ugomvi na Kenya, Uganda, South Africa, Congo na Burundi. Mtaishije bila majirani?
Moja, Umekosea jina langu. Kuwa MAKINI.
Mbili, wewe kutoniita Dr hainiondolei Udokta wangu, maana sikupewa, nimeusomea.
Tatu, mimi mwenyewe huwa sijiiti Dr, siyo kwa sababu siyo Dr, kwa sababu kila mtu ananiita hivyo, sasa sioni haja ya kujipa hiyo heshima wakati wengine wananipa.
Kazi njema Ndg.,
HK.
Maelezo yako yanafaa kwa utangulizi wa habari lakini hayana uchambuzi wa kina.Tanzania ni Nchi yenye Raslimali nyingi sana lakini isiyokuwa na viongozi wabunifu.Hii ndio maana pamoja na Raslimali chache walizonazo Kenya,bado inatuzidi kwa GDP na Tanzania tumeendelea kuwa ombaomba sawa na Somalia na Afghanistani.Kuhusu ukubwa wa Nchi na Wingi wa Watu nacho sio kigezo cha kuidharau Rwanda.Israel yenye watu takribani milioni 10 inaiumiza kichwa dunia ya kiarabu yenye watu takribani milion 150.Kuwa na Jeshi kubwa na la kisasa nayo si tija.Kinachotakiwa ni jinsi gani Jeshi linavyoweza kufanya "deployment".Miaka ya 70,pamoja na Ukubwa na Usasa wake,Jeshi la Marekani liliambulia hasara kubwa lilipojaribu kuivamia Nchi Ndogo ya Vietnam.
Wewe nawe jenga hoja sawa.Kagame ana msimamo wala hacheki na watu hovyohovyo.Huyu wa kwetu anabaki kujiingiza kwenye mambo ya watu tu.Akae kimya hatumlipi kupiga soga na vijembe.Anapaswa kufuta kauli.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums