Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

Naunga msimamo wa Serikali ya Tanzania.Hata hivyo tujiepushe kuwa katika upande wa mgogoro maana matatizo ya DRC ni tangu katika vuguvugu la kumuondoa Mobutu ambako tulisimama upande. mmoja dhidi ya Mwingine.Angalao azimio la UNSC lilotufanya tuingie kwenye UN Combative operation linaweza kutusafisha kimataifa na kujenga moral authority ya kutoa maoni kwamba "Give dialogue" a chance.
 
Diplomtic row na Rwanda ni ishara tu jinsi utawala wa awamu ya 4 ilivyokuwa weak ikiwa ni pamoja na nyanja ya siasa za kimataifa.

Ktk siasa za kimataifa huwezi kutoa kauli anyhow juu ya nchi nyingine hasa ukiwa kiongozi wa nchi. Kama kiongozi ni lazima upime uzito wa kauli na matokeo yake. Sishangai sana kama mshauri wa raisi mambo ya nje ndio huyo Membe...mtu arrogant hana respect kwa viongozi wa nchi zingine, tutaendelea kuona mambo kama haya yakijitokeza.
 
Kauli za huyu jamaa, zinaniacha hoi!

Anakauli za kujionyesha kuwa wao ni miamba na hawatishwi. Lakini ni kweli wao nimiamba kiasi hicho? Marekani wababe duniani na matajiri wa kutupwa bado wanatolewa jasho kwenye kona mbalimbali za dunia ndio iwe Membe na Tanzania yake. Nchi inayodai kuwa ndio kisiwa cha amani na muhubiri wa amani ilitegemewa kuwa na kauri za staha na si kauri za kuonyesha kiburi na dharau. Sifahamu akiambiwa akamate bunduki na awe mstari wa mbele kule kwa AL-Shabab ataweza.
 
mkuu Kisimbusi kindly may I say hii comment yao sijaielewa, just for the sake of proper records, come straight tuelewe hoja yako.

Huyu 'concerned citizen' amejaribu kuangakia hii ishu kwa jicho lingine kabisa and I happen to agree and swallo his/her comments.

Ubaya hauwezi kumalizwa kwa ubaya hata siku moja. Kwa sisi wa imani ya Kikristo afanyae hivi is perpetuating na kumtukuza shetani.

Mifano ya jinsi ANC au mandela walivyoamua kumaliza ubaya wa arpatheid kwa wema na mfano wa UNITA wa Angola has just come but very timely and lively.

Jamani ndugu zangu kinachotokea DRC is a big humiliation kwa waafrika, mass killings, chaos and disordered government, exploitation, raping are inhuman and disgrace to an African popte alipo. Yet uwezo wa kusema tukae chini tuyamalize tunayo lakini tunakubali ujinga wa namna hii. Aibu

sasa watutsi wasipotaka kukaa chni na wahutu wa FDRL ina maana kwamba longo kuu la watutsi (ambao ndio wanaongoza serikali) ni 'kuwamaliza' wahutu wote kwenye uso wa dunia. Is that fair? Shall that be the realistic way forward? It is a big NO and NO and NO. Serikali ya Kigali katika hili wamechemsha, ni lazima wakubali kukaa meza moja na kumaliza tofauti zao.

Serikali ya Kigali imekuwa na tabia ya ku-over react especially when angled, diplomasia ya siasa za kimataifa naona zinawashinda kabisa.

I agree, comments za waziri wao wa mambo ya nje kwa Rais Kikwete hazikuwa sahihi na zilijaa utovu wa nidhamu na protocols za siasa za diplomasia.

Rwanda katika hili mmechemsha, think twice
Uko sahihi, huyo waziri wa mambo ya nje wa rwanda hakuwa na staha hata kidogo; au niseme tu hana heshima na amejaa majigambo kama walivyo watusti.. wanakera mpaka basi!
 
Kauli za huyu jamaa, zinaniacha hoi!

The question is not asking for apology or how as others try to say. The question here is how to say (diplomatic). We have been too provocative beginning since then with Malawi. Something which stirs anger.
 
Rais wetu kuwaomba radhi Wanyarwanda ni upuuzi. Na mnaotetea ni wapuuzi. Hata kama tunaichukia CCM na Rais lakini ni upuuzi kumtaka Rais awaombe radhi! Huo ndo msimamo thabiti, na hata kama alikosea!
 
Do not misuse "sovereignity" with uhuni unaofanyika katika ukanda huu wa maziwa makuu! We are not supporting genocide or denouncing it! We are asking Rwanda to stop baby crying it and look for lasting solution! We are still nursing the effect of war in Rwanda, Burundi, DRC and Uganda than any country in our region. Wameng"ang"ana kuunda an African kind of sentiment to anti-semitism. Jews are Jews and Rwandese are Hutu and Tutsi. So talk to good Hutu and isolate extremist from both side. I'm very disappointed with the ongoing exclusion policies of Rwanda while painting a fake color on the cover page that they are for national unity.


Imetolewa mifano mingi tu hapo juu kuhusu atrocities against humankind zilizotokea lakini imefika mahali wakatafuta reconciliation na kusahau yaliyopita huku architect wa ujinga huo wakiendelea kushughulikiwa mpaka leo na sio watu waliokuwa mobilized na kujikuta wakipigania ideology Za kijinga! lazima Rwanda ikubali kuwa kuna tatizo la kiubaguzi lenye mizizi toka enzi ya wakoloni na halikuanza na genocide ya juzi! kwa sasa wana opportunity ya kulizungumza kutokana na madhara ya genocide badala ya kuendelea kulilia matokeo yake huku mkiwaweka watoto wenu kwenye hatari na madhara ya dhambi hiyo hiyo ya siasa Za ubaguzi. Hao ambao wazazi wao wamenyakuliwa nyumba na mali zao bila kujali kuwa walikuwa ni watoto wadogo au bado ni watoto wadogo watakuwa wahanga wa siasa Za ubaguzi na kama ushauri wa Rais Kikwete hautasikilizwa, then watoto wenu wajiandae kupigana na hao msiotaka kuongea nao leo! Kiburi na kejeli zenu Za Leo itakuwa ni Killo cha vizazi vyenu vijavyo, maana watoto hao watakuwa recruited kirahisi sana na hao waasi msiotaka kuuzungumza nao leo kwa propaganda za ubaguzi ! Kuna mengi ambayo mnatakiwa ku-sacrifice kwa ajiri ya maisha ya baadae na ustawi wa nchi yenu na siyo kulewa hayo mafanikio kiduchu mliyopata. History is on your side and you have landmarks to show and remind your kids of the effects of evil minds.
Ubarikiwe kaka kwa huu ukweli; hao watusti wanachotaka ni wao kutawala; katika hiyo genocide (ambayo wao ndio responsible kuianzisha/kuisababisha), sio watusti tu peke yao waliokufa; na wahutu pia tena wengi zaidi. So, waache kubeba genocide as a selling flag au cover ya kufanya mauaji ya raia wasio na hatia huko Mashariki ya DRC!
 
Mbona hiyo habari ni kiduchu sana? hakuna taarifa kamili?
 
kweli nyani halioni kundule,
kagame mnamlazimisha apatane na wapinzani,
nyie kwenu mtwara,mnapeleka jeshi hilohilo kuua raia wasiokua hata na manati,
mbona nyie hamjakaa chini na kuzungumza na wana mtwara?
Shame on you,
f..cking you all,
unatia huruma sana; poleeee!
 
mkuu si kila anayeongea/andika kiswahili ni mtanzania. Kumbuka wamekaa nchini kwetu kwenye makambi ya wakimbizi kwa zaidi ya miaka 10 na wengine wamezamia tanzania moja kwa moja. Usisumbuke na watu wa muundo huo wewe wapuuze tu lakini msimamo wa nchi yetu utabaki palepale kuwa wanyarwanda wamalize matatizo yao kwa njia ya mazungumzo full stop, sasa kauli ya busara kama hiyo leo hii ionekane ni tusi mpaka tuombe radhi? (what a fu.k is this).

Ukitaka kujua watanzania halisi wewe jiulize tu kwanini hata vyama vya upinzani hakuna hata kimoja kilichomkosoa kikwete juu ya kauli hii? Simply ni kwasababu wote wanaiunga mkono kauli hiyo, hawa wanaopiga kelele humu na fake id's ni watutsi tu wala wasikupe shida, na hivi wao wanaamini kuwa jamiiforums.com ni investigative agency basi ndiyo wanajaza pumba zao humu halafu mwisho wa siku wanazinukuu kwenye vyombo vya habari vya kwao kuiponda tanzania. Hawa jamaa fisi kweli!
big up ndugu!
 
mkuu Kisimbusi kindly may I say hii comment yao sijaielewa, just for the sake of proper records, come straight tuelewe hoja yako.

Huyu 'concerned citizen' amejaribu kuangakia hii ishu kwa jicho lingine kabisa and I happen to agree and swallo his/her comments.

I agree, comments za waziri wao wa mambo ya nje kwa Rais Kikwete hazikuwa sahihi na zilijaa utovu wa nidhamu na protocols za siasa za diplomasia.

Rwanda katika hili mmechemsha, think twice

Nimehoji uwezekano wa "concerned citizen" kufikia website ya serikali na kubandika andiko lake. Ili uweze kubandika au kuondoa chochote kwenye website ni lazima kuweza kuingia kwenye control panel ambayo ina password isiyotolewa kwa watu hovyo hovyo. Ndicho wanachohoji Wanyarwanda. Kisha ikabanduliwa baada ya kuwa imeshasambaa.

Hayo mambo mawili yanatia shaka sana weledi, upeo wa akili, na uadilifu wa watumishi wa habari wa serikali. Mjadala unaojadiliwa haunihusu, hivyo sijauongelea.
 
Katika hili kweli kuna Jumuiya ya Afrika Mashariki? na kama ipo itaendelea kuwepo katika hali ya misuguano kama hii? only time will tell.
 
Aitaka serikali ya Kagame ipatane na wapinzani badala ya kutumia mabavu.

Asisitiza Tanzania ipo tayari kuwapa ushirikiano kama ikiombwa.

membe+riz+nape+mwigulu=kikwete.sasa utegemee nini hapo.
 
Katika hili kweli kuna Jumuiya ya Afrika Mashariki? na kama ipo itaendelea kuwepo katika hali ya misuguano kama hii? only time will tell.
na


kwambioa ni ujinga mtupu EAC ni ujinga tuu
 
Dunia haina shaka na uongozi wa Membe, Afrika haina shaka na uongozi wa Membe, Rais wa Tanzania hana shaka na uongozi wa Membe, Bunge halina shaka na uongozi wa Membe, CCM haina shaka na uongozi wa Membe, Mtama hawana shaka na uongozi wa membe, Mimi sina shaka na uongozi wa Membe, Mkutano Mkuu wa CCM hauna shaka na uongozi wa Membe...akigombea Urais sintokuwa na shaka naye, nitamuunga mkono.
Nikupe pole na kama ninyi ndio mnamlisha maneno ya kuongea mna garasa.Kundi lako ni la kupoteza ingawa kawaida kwa mafisi wa ccm kugawana vyeo mapema wakitosana wanaanza kuchinjana.Kigwangalla wamekuwadi au umejiahidi uwaziri wa afya?.M2015 ni zero na ndani ya ccm tu kabla ya kusambaratishwa na CHADEMA.
 
Nyingine hii... inapatikana :Hungry for Truth, Peace and Justice: Testimony of Abdul Ruzibiza about how mistakes by both the Rwandan Government and the RPF led to the Rwandan genocide of 1994

"5. Regarding individuals who executed Kagame's orders to down the presidential airplane, or those who transported the missiles to Kigali and then to the firing site in Masaka, it is my opinion that the international community should undertake a close monitoring of their whereabouts lest they be spirited away to remove them as potential witnesses. I'll name a few so that they are kept under tight surveillance:

Major RUZAHAZA: A Captain at the time, he headed a team of 6 soldiers in charge of transporting the missiles on a convoy from Mulindi to Kigali. The convoy was escorted by a UNAMIR team of Ghanaian soldiers, who were not informed the missiles had been loaded onto the truck.

Warrant Officer 2 Eugene SAFARI (Demobilized): He had adopted the nickname KARAKONJE (the cold one), in a direct reference to his love of cold beer. He was the driver of the truck that ordinarily ferried firewood from Mulindi to Kigali, and on which the 2 missiles were concealed in 2 big boxes under the firewood.

Sgt Moses NSENGA: A Corporal at the time and a brother to Charles Kayonga, he has now fled to Uganda. Of the group that loaded the missiles onto the truck, he is the only one living, along with Sgt TUMUSHUKURU. The others, Warrant Officer 2 Stanley RWAMAPASI, a Corporal at the time, was killed in 1998, and Warrant Officer 2 SEROMBA, a former corporal as well, was also killed in 1997. Also present during the loading of the missiles were Private Joseph NZABAMWITA, currently a Lt Col if my guess is right, and Major BIRASA, then a Captain. The latter has already been killed by Kagame.

Sgt Didier MAZIMPAKA: Very likely a 2nd Lt currently, this is the guy who drove the Toyota Stout 2002 that transported to their launching site the 2 missiles that brought down Habyarimana's airplane. He also drove the shooters to the site, and drove them back to the CND Parliament Building Compound once their diabolical job was done. He has survived several attempts to get rid of him, sometimes by being warned ahead of time, sometimes by just pure luck.

Captain Frank NZIZA: He was a 2nd Lt at the time, an ace at firing SA16 group missiles that we commonly referred to as SAM16 missiles. He is the one who hit the airplane dead on. Prior to sending 3 other people for training in Uganda, he was the only one in the entire RPF Inkotanyi organization with expertise on how to fire these weapons. The 3 others who received training on these weapons were: Sgt Andrew NYAMVUMBA, Sgt Steven TWAGIRA, and Cpl Eric HAKIZIMANA, all of whom at the time were part of a High Command team in charge of Kagame's personal security protection.

Former Cpl, now Lt Eric HAKIZIMANA: He is the one who fired the first missile at Habyarimana's airplane, hitting it slightly at its right wing. Although hit, the airplane could have landed successfully, but exploded in mid-air on dead-on impact by the 2nd missile.

Sgt Pontiano NTAMBARA, currently a Lt: He was on the Toyota that transported the missiles to the firing site as a security protection officer, back and forth.

Sgt Aloys RUYENZI: A 2nd Lt, he has fled to Uganda. At the time, he had taken over temporarily from Lt Silas UDAHEMUKA, Kagame's top intelligence officer. Ruyenzi had been at the room where the final decision to down the airplane was made, in a meeting chaired by Maj Gen Paul Kagame himself, and attended by Col Kayumba Nyamwasa, Lt Col James Kabarebe, Col Theoneste Lizinde, Maj Jacob Tumwine, Capt Charles Karamba. The day was March 31, 1994. All these people are still living except Lizinde who fled the country, and was later assassinated for having been privy to this secret meeting. Also, Sgt Paul KARABAYINGA, now a Lieutenant, had guarded the room where that meeting took place, along with Sgt Peter SEMPA, who died mysteriously in Bukavu in 1996."
 
Ushauri wa JK haukuwa mzuri huwezi kukaa meza moja na jambazi. Ila kwa yeye anaweza maana anakaa nao anakula nao wale wa EPA wa RADA wote anaishi nao. Rwanda are serious hawamchekei mtu na ndio maana wanaendelea. Watanzania watu wa ajabu sana eti leo wengi mnamtetea. Hivi kila siku mnamponda kwa maamuzi yake yasiyo na mashiko leo mnamtetea nini sasa? kachemsha kachemsha na hajawahi patia PERIOD !!
 
Back
Top Bottom