Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

vina so msingi wa hamani .membe endelea kuwapa ukweli
 
mkuu, hujasoma ramani bado? hawa ni miongoni wa lile kundi la watusi waliosambazwa na muuaji kagame! kwao vita na kujikweza ndiyo utamaduni.
Mkuu umenena ni kweli ni miongoni mwao, na wanastrategy ya kujifunza kiswahili fasaha kwa nguvu zote. Hasa huyu anayejiita Nicholaus na wasi wasi naye sana kama wajamaa wanapita humu nawaomba wamfuatilie huyu maana ni nyoka aliyelala kitandani
 
Ndibalema, anasimamia ukweli aliounena raisi wetu!

Sometimes huwa ni busara kujikalia kimya kuliko kuropoka tuu. na hii yote ni mbio za uraisi ndio zinamponza.
Anataka kila siku asikike ameongea.
 
hujui unalolisema wewe, aliyekuambia baba akiwa na makosa hawezi kumkanya mtoto akikosa ni nani?
Tanzania haiwezi kuwa baba kwa Rwanda.Labda zamani lakini sio sasa.Kwa vigezo vya KISIASA,KIUCHUMI,KIDINI na UMOJA,Rwanda haina cha kujifunza kwa Tanzania.UONGOZI wa Rwanda unaelewa unataka Rwanda iweje Miaka Kumi ijayo wakati Viongozi wetu maono yao ni kujineemesha binafsi.Tanzania ni kama imevamiwa.WASOMALI,WAETHIOPIA,WANYARWANDA,WAGANDA NA WAKENYA wamejaa tele Serikalini.Kwa ujumla ni kama tupo Uchi.
 
Ushabiki ni mbaya! Kama kauli ya Rwanda imewaudhi viongozi wetu itakuwa ni tatizo la viongozi wenyewe.
Kawaida kuna taratibu za mawasiliano kati ya nchi na nchi. Natumaini viongozi wetu wanazifahamu vyema, kama hawakuzifuata nadhani ndo huo utaratibu uliotumiwa na Rwanda.
Wanyarwanda wakauliza kama Rais wetu atamwomba Rais Obama kuongea na alqaeda kwani marekani imevitaja vikundi vyote kuwa magaidi.
 
Waziri wa mambo ya Nje Bernard Membe amesema Tanzania kamwe haitaomba radhi kwa kitendo cha Rais Kikwete kuwaambia Rwanda wakae na maadui zao FDLR wapatane.

huyu membe pimbi sana ..
 
Mm nampongeza mh.kikweete kwa ushauri wake kwa rwanda,kwani kumshauri mtu kunatatizo gani?rwanda nimapingwa wa propaganda sana,tusii laum serikali kwa kila jambo,michango mingi kama hii ya Jf,rwanda kule uhuru huo hakuna,mi naona kabla yakulaumiana tusome historia ya nchi majirani kwanza,kwakuwa siku zote matatizo yanchi hizo yamepoa tu,mda wowote yatalipuka,mi nadhani hizi nchi tano,ziweke mfumo mzuri wakiutawala, nakuondoa ukandamizaji hapo hata huo mungano,utadumu.

kama hujui vitu uwe unakaa kimya usije tafutia watu ban hapa
 
kwa jinsi nchi inavyoendeshwa kipuuzi tutarajie nchi kuingizwa katika vita vya kipuuzi na watanzania kuumizwa kwa sababu ya maslahi binafsi ya viongozi wapuuzi!
 
When did he make that statement and where? Its very important that I know. The Kikwete FDLR comments are a very big issue here in Rwanda.

the comments are a very big issue here in dar es salaam, too.
 
Tanzania haiwezi kuwa baba kwa Rwanda.Labda zamani lakini sio sasa.Kwa vigezo vya KISIASA,KIUCHUMI,KIDINI na UMOJA,Rwanda haina cha kujifunza kwa Tanzania.UONGOZI wa Rwanda unaelewa unataka Rwanda iweje Miaka Kumi ijayo wakati Viongozi wetu maono yao ni kujineemesha binafsi.Tanzania ni kama imevamiwa.WASOMALI,WAETHIOPIA,WANYARWANDA,WAGANDA NA WAKENYA wamejaa tele Serikalini.Kwa ujumla ni kama tupo Uchi.
kwani Rwanda kuna kipi cha kujifunza pale?
 
Tanzania haiwezi kuwa baba kwa Rwanda.Labda zamani lakini sio sasa.Kwa vigezo vya KISIASA,KIUCHUMI,KIDINI na UMOJA,Rwanda haina cha kujifunza kwa Tanzania.UONGOZI wa Rwanda unaelewa unataka Rwanda iweje Miaka Kumi ijayo wakati Viongozi wetu maono yao ni kujineemesha binafsi.Tanzania ni kama imevamiwa.WASOMALI,WAETHIOPIA,WANYARWANDA,WAGANDA NA WAKENYA wamejaa tele Serikalini.Kwa ujumla ni kama tupo Uchi.

jeuri ya rwanda ni nguvu ya soda tu, na hii inasababishwa na mabavu na siasa za ukandamizaji za kagame , rwanda hawana hata sifa ya kuitwa mtoto wa kambo wa TANZANIA!
 
mkuu umenena ni kweli ni miongoni mwao, na wanastrategy ya kujifunza kiswahili fasaha kwa nguvu zote. Hasa huyu anayejiita nicholaus na wasi wasi naye sana kama wajamaa wanapita humu nawaomba wamfuatilie huyu maana ni nyoka aliyelala kitandani

wengine humu ni ushabiki tu, lakini wapo wahusika!
 
the comments are a very big issue here in dar es salaam, too.

FLDR comments sio big issue to Dar, or Kigali ni big issue kwa UN pia. Strategist wa Rwanda wanahaha sasa. Tuone hiyo transition from Kagame to James Kabarebe......!
 
Mi nashindwa kuelewa Kikwete ana maslahi gani na vita ya Kongo hadi kujiingiza kwenye migongano ambayo ni totally BASELESS. Au ndio ule uvumi kuwa Riziwani anataka kuingia kwenye biashara ya almasi na mbao za Kongo?

Membe na Kikwete wanaweza kuwa wanatafuta sifa kwa kuwa watu wengi wanapenda siasa za KI_GANGWE lakini kidiplomasia haiiweki nchi yetu pazuri. Huku Chini Malawi mgogoro hawajautatua, then wanatafuta ugomvi wa KUNUNUA na Rwanda, hatujui kesho itakuwa nani??

Mind you Tanzania ndio nchi yenye uchumi dhaifu na maendeleo duni kwa sasa kwenye ukanda wa Afrika mashariki huku bajeti yake ikiwa tegemezi kwa asilimia 41. Kwa uchumi huu wa hospitali hazina dawa na akina mama wanalala wanne wanapojifungua hatuna haja ya kutafuta migogoro na majirani. FDLR hawatuhusu sisi watanzania na ni matatizo ya ndani ya Rwanda kwa nini tujihusishe?? Je siku Kagame akiibuka na kumshauri Kikwete aende walau kutoa POLE kwa mjane wa Mwangosi, Kikwete atafurahi?? Mbona Membe na CCM yake hawajakaa kwa majadiliano na watu wa Mtwara kuhusu matumizi ya gesi but wanataka majadiliano kwenye nchi za watu?? Wajanja tumenusa kitu hapo...

watanznaia wote wakiwa na akili kam zako basi tumekwisha. shame on you very useless wewe
 
Back
Top Bottom