Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

huyu membe mtoa kucha si ndo naskia anafadhili vurugu za mtwara sasa akiwa rais si atatuoa kucha na meno labda agombee urais wa mtama au mtwara kwa Tanzania hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na hatumtakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii​

joka la mdimu
 
akina MR.Hamisa Kigwagwala wako wapi ndio wanaotokwaga mapofu kumsaidia membe mzeee wa mdimu lakin tunajua lao moja ata huyu kgwagwala ambaye nmeapaga kutomuita dokta si alkuwa ps kwa mama...
 
akina MR.Hamisa Kigwagwala wako wapi ndio wanaotokwaga mapofu kumsaidia membe mzeee wa mdimu lakin tunajua lao moja ata huyu kgwagwala ambaye nmeapaga kutomuita dokta si alkuwa ps kwa mama...

Moja, Umekosea jina langu. Kuwa MAKINI.

Mbili, wewe kutoniita Dr hainiondolei Udokta wangu, maana sikupewa, nimeusomea.

Tatu, mimi mwenyewe huwa sijiiti Dr, siyo kwa sababu siyo Dr, kwa sababu kila mtu ananiita hivyo, sasa sioni haja ya kujipa hiyo heshima wakati wengine wananipa.

Kazi njema Ndg.,
HK.
 
kutukana na kuua kubwa ni lipi? KAGAME MUUAJI MKUBWA! muda si mrefu yatampata yaliyowapata wadhalimu wenzake kama gadafi na amini.

Mwangosi aliuawa na nani? Sijawahi kumsikia Kikwete akizungumzia popote mauaji ya HUYO MWANDISHI WA HABARI ALIYEUAWA KINYAMA!!!
 
Napongeza msimamo wa serikali. Na anayesema kwamba JK aombe radhi, huyo mtu hajitambui kwanini yeye ni mtanzania na hana uelewa mpana wa mambo. Sio mfuatiliaji wa siasa za maziwa makuu. Mambo ya PR za kusema kwamba eti Tanzania inaionea wivu Rwanda kwa maendeleo ni upumbavu mtupu. kama hakutakuwepo na m23 na FDLR then wao wanaona ndo mwisho wao wa uporaji wa mali Congo. Genocide waliyofanya kina Nkunda mbona haiongelewi na hao ni wanyarwanda. Kuna makaburi ya mass grave Congo. Walipoingia Congo waliingia kwenye makambi na kuua raia wa kihutu. Kagame hafai lazima athibitiwe. N nachukia sana wanaoleta siasa kwenye mambo ya utaifa.
 
Jipange upya. Data yako ya bajeti financing proportions haiko sahihii...

Mkuu ukiwa kama Scientist huwezi kuona difference between 40% and 41%....

Wengine hatutaki kukuita Dr Vitumbua kwa kuwa tunakuheshimu wewe kama Scientist but unashangaza unaposhindwa zile hesabu za makadirio na makisio (Approximation and Accuracy). Anyway uko bungeni unaendelea na bajeti labda mtatukomboa na kuja na bajeti inayojitegemea 110%, which is good for our country, and good for CCM too.
 
watanznaia wote wakiwa na akili kam zako basi tumekwisha. shame on you very useless wewe
Useless wewe mbinafsi unayefurahia watanzania wenzako kukosa hata dawa hospitalini halafu unaona dili kuingia kwenye malumbano na kanchi kadogo kama Rwanda, ambacho ni kama Wilaya tu ya Tanzania. Anyway najua mnataka Joka la Mdimu liwe rais wa nchi hii lakini atausikia urais bombani. Kwanza uchochezi wenu wa gesi Mtwara na kumgombanisha Hawa Ghasia na wananchi tunayajua yote...
 
Dunia haina shaka na uongozi wa Membe, Afrika haina shaka na uongozi wa Membe, Rais wa Tanzania hana shaka na uongozi wa Membe, Bunge halina shaka na uongozi wa Membe, CCM haina shaka na uongozi wa Membe, Mtama hawana shaka na uongozi wa membe, Mimi sina shaka na uongozi wa Membe, Mkutano Mkuu wa CCM hauna shaka na uongozi wa Membe...akigombea Urais sintokuwa na shaka naye, nitamuunga mkono.

Una kila sababu ya kumuunga mkono Membe na kutokuwa na shaka naye. Hata ningekuwa mimi ningefanya hivyo hivyo...

You know what,,, ule msamaha wa kodi wa TANI 500 za cement kama itaingia madarakani serikali iliyo kambi tofauti na wewe au ya chama cha upinzani, jela inakuita ndugu yangu. Kile chuo pale Nxega sio cha tani 500 za cement. A descent government would like to know if there is anything FISHY in that deal...
Baada ya uchunguzi mkuu we will never speak the same language, jela lazima itakuita tu. The only option ni kumng'ang'ania Membe tu ambaye atalinda maslahi yote ya Mzee
 
Hivi hawa viongozi wa hutu tu inji saizi ya wilaya za tz wanamatatizo eeeeeeeeee?
........toka lini rais akamuomba radh mkuu wa wilaya? tena eti kamwelekeza visivyo?
me naamini kagame na joyce kwa jk ni kama wakuu wa wilaya tu.

........hebu angalia ukubwa wa rwanda na malawi naamini kwa pamoja haviringani na mkoa wangu wa SIMIYU
 
Mbona hawaambii Marekani wapatane na ALQAEDA????????????
Au awaambie Nigeria Wapatane na Boko Haramu????????????????
 
Dunia haina shaka na uongozi wa Membe, Afrika haina shaka na uongozi wa Membe, Rais wa Tanzania hana shaka na uongozi wa Membe, Bunge halina shaka na uongozi wa Membe, CCM haina shaka na uongozi wa Membe, Mtama hawana shaka na uongozi wa membe, Mimi sina shaka na uongozi wa Membe, Mkutano Mkuu wa CCM hauna shaka na uongozi wa Membe...akigombea Urais sintokuwa na shaka naye, nitamuunga mkono.

Nadhani hata mkeo hana shaka na uongozi wa membe..
HKigwangalla
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom