- Mkuu PM, heshima sana lakini naomba ukubali one thing kwamba sina anything to do na kambi ya mtu yoyote hapa Tanzania, kwenye kampeni za EAC nimeomba kura kwa wote, sikujali makundi, na nilienda kuwaona wote uso kwa uso; Waziri Membe to me ni mwananchi kama wengine ana haki ya kugombea anything, kama ana mapungufu iwe kwa policies zake na hasara zake kwa taifa.
- Otherwise, maneno yako ni mazito sana na ninayasikia sana na kuyatafakari ila sina kundi, wala situmiwi na mtu yoyote sijawahi na haitakuja kutokea, siasa ni mchezo mchafu you know that, ila zikipita tunasahau na kusonga mbele, Tom is my good friend I respect him, kama kuna kosa alifanya ilikuwa kugombea NEC against Mwandosya that was a wrong political move, ninaamini kwamba he is a politician na anajua hilo.
Please, rest assured kwamba sina kundi wala sina mpango wa kujiunga na kundi lolote la siasa hapa nian siasa zangu mwenyewe, na wala za baba sina muda nazo, ninayo macho na ninayo masikio, siku zote huwa ninasimamia haki, kwenye hili la Membe na Kitine, ninasema Kitine is wrong na anahitaji kumuomba Membe radhi, hatuwezi kuendesha taifa kwa majungu majungu, Kitine amesoma sana amewahi kushika nafasi kubwa sana kwenye Usalama wa Taifa letu unawezaje kuruka na serious accusations kama hizo bila kuonyesha FACTS?
HESHIMA MBELE BRO, NA NIMEKUSIKIA SANA!
William.
Mkuu ujue tunakuheshimu vile, sasa hivi ujue hata ukitaja mtu haitasaidia maana watu wamejijengea himaya ya kutoguswa, kwa katiba hii sana saana unajitafutia kifo!!!! Kwa hiyo ni bora ukaweka situation of doughty ili watu wakurupuke wenyewe, kama ilivyo tokea!!!! Kumbuka huyu Mzee Kitine alikuwa Mkuu Wa TISS kipindi hicho hivyo sidhani kama amekurupuka bila kuwa na uhakika na analolisema!!! Kwani kuna watu wangapi wanayo majumba ulaya bwana, hata EL majumba yake yalifichuliwa na kitengo cha makachero wa Uingeleza!!!nilimsikiliza huku namtazama Mzee Hassy kwa umakini sana.
Ktk taarifa yake hakutaja mtu...na kilichofuata ni kundi la watu kuaminishana kuwa aliyezungumziwa pale ni Waziri Membe.
Kwa kifupi nilimpunguzia Maksi Mzee Kitine, kwani kama angekuwa na uzalendo kisha awe na ushahidi wa uhakika wa aliyoyaongea nadhani angemtaja huyo mtu ili tumjue na ikiwezekana Sheria ifuate mkondo wake...na kama ikishindikana kisheria basi tumjue mtu anayetuhujumu kama tulivyowajuwa wale waliotajwa na Dr Slaa pale Mwembeyanga.
Kiukweli kitendo cha mzee Kitine ni cha kinafiki, na ni mbumbumbu tu ndio wanaweza kumuona Mzee huyu ni shujaa.
Kwangu mimi namuona mkurupukaji na Mshambenga tu.
Mkuu Saluti ..
Inawezekana wewe una nia njema ...lakini wao hawana nia njema kwako...,na hata moja ya sababu ndogo kura chache ulizopata dodoma ..,zinatokana na kuonekana mtu wake..,....
Unaweza kutenda kwa nia njema ..kumbe watu wanataka kuenekana wanaungwa mkono na mtoto wa mzee at there gain......Tunajuwa pia Anajaribu kumganda Mako...na mama.....hata ile ziara ya mabalozi Kijijni pale ...ilikuwa gereshastrategy,ili aonekane ana baraka za founding fathers ...lakini system itasema hapana!!! .....Membe kama membe hana policies bali anatekeleza ilani ya chama .......pamoja na kutoa misimamo ambayo haijakubaliwa na baraza la mawaziri [kama alivyokurupuka issue ya Libya....labda kwa uchungu wa dola milioni 150 alizopewa kwenye credit switch].......Mkuu mudhihir [ambaye pia wamehudumu naye kule ] anajuwa.....
MSIFIRI KITINE HANA AKILI..ANAZO SANA....KUNA WATU WENGI NYUMA YA KAULI YAKE NA INSTITUTION,,HUYU MEMBE WAMEMLEA WANAMJUWA ....HAFAI KWA KAZI HIYO...KUU YA URAIS ......!!
mh! Kwa hiyo tusahau epa, iptl, kiwira, richmond, deepgreen, n.k. Kweli we gangwe
Mkuu Saluti ..
Inawezekana wewe una nia njema ...lakini wao hawana nia njema kwako...,na hata moja ya sababu ndogo kura chache ulizopata dodoma ..,zinatokana na kuonekana mtu wake..,....
Unaweza kutenda kwa nia njema ..kumbe watu wanataka kuenekana wanaungwa mkono na mtoto wa mzee at there gain......Tunajuwa pia Anajaribu kumganda Mako...na mama.....hata ile ziara ya mabalozi Kijijni pale ...ilikuwa gereshastrategy,ili aonekane ana baraka za founding fathers ...lakini system itasema hapana!!! .....Membe kama membe hana policies bali anatekeleza ilani ya chama .......pamoja na kutoa misimamo ambayo haijakubaliwa na baraza la mawaziri [kama alivyokurupuka issue ya Libya....labda kwa uchungu wa dola milioni 150 alizopewa kwenye credit switch].......Mkuu mudhihir [ambaye pia wamehudumu naye kule ] anajuwa.....
MSIFIRI KITINE HANA AKILI..ANAZO SANA....KUNA WATU WENGI NYUMA YA KAULI YAKE NA INSTITUTION,,HUYU MEMBE WAMEMLEA WANAMJUWA ....HAFAI KWA KAZI HIYO...KUU YA URAIS ......!!
kweli watz tunaonekana kuwa tunapoteza kumbukumbu mapema kihivi, kitime leo hii wakusema fulani mwizi? bado tunamdai yy
Kwa hiyo hata kama maneno yake yatakuwa ni kweli wewe utakataa simply ya pesa unazomdai? Pesa zipi? Wewe ndo unasahau kuwa aliamriwa kuzirudisha na akatimuliwa uwaziri then unasema unamdai? How much? Kwanza haitwi KITIME anaitwa KITINE, back to the point, kama maneno yake yana mashiko katika mustakabali wa taifa letu we kwa nini ung'ang'anie mambo ya zamani wakati he has already paid his price? Leo kawa mstari wa mbele mnambeza, unadhani anashindwa kuwa kwenye hiyo system kama akitaka? Think twice and think maturedly! Dig unto the facts mazee!
- Tatizo sio mara yake ya kwanza kuzusha majungu, kuna wakati akiwa bado mbunge alizua makubwa sana kwamba mawaziri wanakula rushwa, akaambiwa na Waziri Masilingi, awaseme akaishia kudai media imekosea hakusema hivyo, this time again huyooo anaulizwa jina la waziri anayemsema hawezi kulisema!
- Halafu wewe Great Thinker unasema he is clean, please!
William.
- Mkuu I like your arguments kwa sababu upo fair kidogo, lakini kama kweli Kitine amelipa the price na ameridhka kwamba alifanya makosa na ni lazima kulipa price, then asingekwua na visasi hivi, maana CAG imeonyesha wazi nani ni nani!
William.
Mkuu ina maana CAG AMEKWENDA KUCHUNGUZA NJE YA NCHI???? Na je hizo USD $150m unadhani ni story tu, au ziko wapi na zinafanya nini???? Mtanzania kwa propoganda humuwezi bwana, tunamgojea ujio wa katiba mpya!!!!!- Mkuu I like your arguments kwa sababu upo fair kidogo, lakini kama kweli Kitine amelipa the price na ameridhka kwamba alifanya makosa na ni lazima kulipa price, then asingekwua na visasi hivi, maana CAG imeonyesha wazi nani ni nani!
William.
Bado unaendelea kuniangusha ndugu yangu. Im not saying that 'he is clean', the point is; he is trying to come clean, why do you have to fight him? Nachelea kusema kuwa je huyu mzee kitine leo akikuita nyumbani kwake umueleze uso kwa uso urudie maneno yako yote kuwa yeye ni mwizi, mropokaji na hayo mengineyo will you do that? The point kwamba kwa sasa huna makundi ya kisiasa haitufanyi tuamini hutakuwa na makundi labda uwe unagombea nyumbani kwako napo pia kutakuwa na watoto watakuwa na makundi. Hakuna siasa hapa duniani isiyo na makundi, kumbuka hata mbinguni ibilisi alianzisha kundi lake la waasi. Makundi katika siasa lazima so please usiseme siasa za bongo zinamakundi. Utakapokuwa kiongozi (kama ukibahatika) utahitaji kufanya kazi na watu unaowajua, we unadhani wanatoka wapi? Kuna shku nitakuja kukuuliza upo kundi gani la siasa katika chama chako maana utahitaji bak up, otherwise pigania hoja ya mgombea binafsi ndo usiwe na kundi. Unafahamu vizuri haya yote sema unataka kuja kwa style yako ili tusahau kuwa hata mzee wako hawezi kuwa amekuacha utumbukie kwenye siasa burebure!
Mkuu ina maana CAG AMEKWENDA KUCHUNGUZA NJE YA NCHI???? Na je hizo USD $150m unadhani ni story tu, au ziko wapi na zinafanya nini???? Mtanzania kwa propoganda humuwezi bwana, tunamgojea ujio wa katiba mpya!!!!!
Kuielewa hiyo kauli ya membe ni kazi sana, ukikurupuka hutamuelewa, katumia fasihi kali sana! Nasikitika wengi hamjamuelewa.