Membe amshukia KITINE, amfananisha na "Kingwendu"

HAHAHAAAAAAAAAAAAA... MEMBER AMEJIPA MWENYEWE JINA LA KINGWENDU

Dah Kingwendu aka Membe balaa aisee
 
Membe ....bado yupo na senior wake ...kumuita kingwendu.....nadhani ,Kitine hakumpa majina ya kashfa wala kumtaja jina .....sasa kajihisi ...ukirusha jiwe gizani atakayelia limempata!!!! ...

Ikumbukwe kuwa kazi kubwa ya Membe "mzee wa fitina " mwaka 2000 kuelekea 2005 ,ilikuwa ni kuwachafua watu wote waliokuwa na nia ya urais ili kumsaidia KIkwete ...mhanga wa kwanza wa wanamtandao alikuwa..
Hassan ( hassy ) Kitine
iddi Simba
Frederick Sumaye
Salim Ahmed Salim

Hawa kwa wakati tofauti walichafuliwa vibaya na wana mtandao.......Huyu Membe urais ...hafai kabisa....eti anasema ...kuna watu ..wanataka agombeeee ...mbona hatuwaoni....au CCJ?

- Mkuu PM vipi tena Kitine amemuita Membe, mwizi anayeficha hela nje agombee urais nazo, sasa akiitwa kingedu hutaki vipi? Una tatizo na Membe nini mkuu wangu, hafai kwa kosa gani hasa alilofanya kwenye policies zake akiwa Wizara ya nje?

- Kwenye kampeni za siasa kuchafuana ni kawaida, lakini hukalii kukumbatia ya zamani unasahau unaanza upya, I mean wacha chuki na Waziri Membe, kama ana makosa kwenye policies zake ziseme, lakini ya kampeni za siasa yalishapita sasa yupo kwenye kutawala, onyesha mapungufu yake kiutawala,

- Kitine hana u-senoir wowote ni simply muongo sana na ni mwizi, tena yeye na mkewe, ila kwa vile system yetu ni ya kusameheana ndio maana ana ubavu hata wa kuita wengine wezi, nashangaa mtu makini kama wewe kumuita a proven thief wa hela za wananchi kwamba ni senior, senior wa nini hasa? labda wizi wa hela za wananchi, wananchi wanakufa Muhimbili pale kwa kukosa dawa, wengine wanadanganya na kuiba hela za wananchi hao hao na kwenda nje kufanya shopping, wewe unamuita senior pleaseee!

- Waziri Membe na wananchi wote wa nchi hii wana haki ya kugombea anything, hawa kina Kitine ndio tatizo kubwa sana kwa taifa letu, maana ni majungu majungu tu alipokuwa usalama aliwahi kumakamata nani? PM wewe nakuheshimu sana kwani najua ni mtu makini sana lakini huwa una tatizo sana na mtu yoyote anayetaka uongozi CCM, isipokuwa Lowassa tu, huwa sikuelewi!

William.
 
Membe ana haki ya kumuita mtu aliyetoa tuhuma zile kwa jina la kingwendu ambaye ni mganga wa kienyeji. Ni vizuri tukafika mahali watu wakawa wawazi kama wanataka kisaidia hii nchi mtu unaenda kwenye vyombo vya habari unakaa dakika 45 kupiga umbea. Kama umeamua kusema jambo na unauhakika nalo ni vizuri kuliweka wazi ili watu wakuunge mkono potelea mbali kama utahatarisha uhai wako. Vinginevyo ni ramli hizo. Maana hakuna tofauti na mganga wa kienyeji anayesema mchawi wako ni mtu wako wa karibu mweupe, wakati huo ukijua wako watu wengi wa aina hiyo.

Itakuwa ni ndoto watanzania kupata maendeleo kama tutaendelea kushabikia na kuamini habari za kusadikika kama hizo zilizotolewa na Mzee Kitine. Angejipatia heshima kwa kuwa Jasiri kuwasadia wananchi na serikali kubainisha wazi kuwa fulani amaeiba fedha serikali ambazo alipokea siku fulani na kwa sababu fulani na vielelezo unaweka hadharani. Siyo mzee mzima kwenda kwenye TV kuongea maneno yasiyokuwa na msingi kwa nia ya kupata huruma ya wanyonge wasiojua pia kuwa kauli kama hizo ndiyo chanzo cha umaskini wao.

Ni lazima watu kama hao waepukwe kabisa katika jamii hata hilo jina la kingwendu alilopewa ni afadhali maana watu wanaopiga umbeya ni mashetani wakubwa na maadui wakubwa na chanzo kikuu cha umaskini wa Tanzania.
 
Membe ni zaidi ya Polonium, tusubiri vikumbo atakavyowapiga wenziwe kuelekea 2015, na ukimgusa tu huna bahati. Membe ni zaidi ya Polonium.
 
- Mkuu PM vipi tena Kitine amemuita Membe, mwizi anayeficha hela nje agombee urais nazo, sasa akiitwa kingedu hutaki vipi? Una tatizo na Membe nini mkuu wangu, hafai kwa kosa gani hasa alilofanya kwenye policies zake akiwa Wizara ya nje?

- Kwenye kampeni za siasa kuchafuana ni kawaida, lakini hukalii kukumbatia ya zamani unasahau unaanza upya, I mean wacha chuki na Waziri Membe, kama ana makosa kwenye policies zake ziseme, lakini ya kampeni za siasa yalishapita sasa yupo kwenye kutawala, onyesha mapungufu yake kiutawala,

- Kitine hana u-senoir wowote ni simply muongo sana na ni mwizi, tena yeye na mkewe, ila kwa vile system yetu ni ya kusameheana ndio maana ana ubavu hata wa kuita wengine wezi, nashangaa mtu makini kama wewe kumuita a proven thief wa hela za wananchi kwamba ni senior, senior wa nini hasa? labda wizi wa hela za wananchi, wananchi wanakufa Muhimbili pale kwa kukosa dawa, wengine wanadanganya na kuiba hela za wananchi hao hao na kwenda nje kufanya shopping, wewe unamuita senior pleaseee!

- Waziri Membe na wananchi wote wa nchi hii wana haki ya kugombea anything, hawa kina Kitine ndio tatizo kubwa sana kwa taifa letu, maana ni majungu majungu tu alipokuwa usalama aliwahi kumakamata nani? PM wewe nakuheshimu sana kwani najua ni mtu makini sana lakini huwa una tatizo sana na mtu yoyote anayetaka uongozi CCM, isipokuwa Lowassa tu, huwa sikuelewi!

William.

Mkuu wacha unafiki na kujipendekeza kama popo kwa kujifanya kila upande uwepo!!

baba yako na mama yako walihongwa millioni200 (source Sophia Lioness/simba ndani ya CC ya CCM) za Jeetu Patel,walishawahi kukana au nao ndio walisema Sophia ni Kingwendu?!!

Kitine hakumtaja Membe kwa jina,je kipi kimemtoa pangoni kama pilipili haimhusu??

kama nyote sio wanafiki na wachumia tumbo basi muite press na mseme KIIKWETE ,ni KINGWENDU maana alisema ana orodha ya wauza unga na hakutaja,alisema wezi wa epa wamerudisha hela pasipokuwataja na pia hela hamna!

willy- me sitaki kuamini kuwa hicho kitambi na cheni zako za shingoni umezipata kwa kuwa popo wa kutetea watu,na kama ndio hivyo basi kazi unayo kwelikweli hadi 2015a!
 
...Mkapa Kingwendu....Watanzania mna wivu wa kike
....Kikwete Kingwendu.....Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana
....Na Magamba wote vingwendu
 
Mkuu wacha unafiki na kujipendekeza kama popo kwa kujifanya kila upande uwepo!!

baba yako na mama yako walihongwa millioni200 (source Sophia Lioness/simba ndani ya CC ya CCM) za Jeetu Patel,walishawahi kukana au nao ndio walisema Sophia ni Kingwendu?!!

Kitine hakumtaja Membe kwa jina,je kipi kimemtoa pangoni kama pilipili haimhusu??

kama nyote sio wanafiki na wachumia tumbo basi muite press na mseme KIIKWETE ,ni KINGWENDU maana alisema ana orodha ya wauza unga na hakutaja,alisema wezi wa epa wamerudisha hela pasipokuwataja na pia hela hamna!

willy- me sitaki kuamini kuwa hicho kitambi na cheni zako za shingoni umezipata kwa kuwa popo wa kutetea watu,na kama ndio hivyo basi kazi unayo kwelikweli hadi 2015a!

Ukisoma taarifa ya Membe pia hakuna mahali alipomtaja Mzee Kitine, na maelezo maelezo ya Membe yalikuwa ni kjibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari. Pamoja na kuwa Mzee Kitine hakumtaja Membe katika taarifa yake, watanzania waliowengi hasa wanaofuatilia mwenendo wa siasa za Tanzania wakiwemo wachangiaji wengi wa taarifa hile humu JF walieleza na kuamini wazi kuwa kauli ile ilimlenga Membe na ndiyo maana hata mwandishi wa habari alijiamisha kumuuliza Membe maoni yake kuhusu hizo tuhuma.
 
Nilivyoona Kingwendu nikadhani ni yule Kingwendu Ngwendulile mchekeshaji kumbe kuna Kingwendu Mganga wa Kienyeji kama Manyaunyau! Kabla ya 2015 sijui tutasikia majina mangapi?
 
Mkuu nimecheka sana niliposoma hii post yako.

W e unafikili wanaosema wataalamu wetu wasiingie kwenye siasa wamekosea?
 
Ningekuwa Membe ningekaa kimya hasa katika kipindi hiki kuelekea 2015, membe ni miongoni mwa mategemeo ktk CCM.
 
Ukisoma taarifa ya Membe pia hakuna mahali alipomtaja Mzee Kitine, na maelezo maelezo ya Membe yalikuwa ni kjibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari. Pamoja na kuwa Mzee Kitine hakumtaja Membe katika taarifa yake, watanzania waliowengi hasa wanaofuatilia mwenendo wa siasa za Tanzania wakiwemo wachangiaji wengi wa taarifa hile humu JF walieleza na kuamini wazi kuwa kauli ile ilimlenga Membe na ndiyo maana hata mwandishi wa habari alijiamisha kumuuliza Membe maoni yake kuhusu hizo tuhuma.

ni kweli mkuu,je umesoma alichoandika Willy? Au ndio una makengeza so macho yakaona nilichoandika mimi tu??

inshort nilikuwa najibu mrejesho wa Willy coz huyu ndugu wengine tusiopenda unafiki na kujipendekeza hatuwezi kumpuuza na kuacha hoja zake zisizo na mashiko pasipokumwambia/kuhoji ukweli!!
 
Mkuu wacha unafiki na kujipendekeza kama popo kwa kujifanya kila upande uwepo!!

baba yako na mama yako walihongwa millioni200 (source Sophia Lioness/simba ndani ya CC ya CCM) za Jeetu Patel,walishawahi kukana au nao ndio walisema Sophia ni Kingwendu?!!

Kitine hakumtaja Membe kwa jina,je kipi kimemtoa pangoni kama pilipili haimhusu??

kama nyote sio wanafiki na wachumia tumbo basi muite press na mseme KIIKWETE ,ni KINGWENDU maana alisema ana orodha ya wauza unga na hakutaja,alisema wezi wa epa wamerudisha hela pasipokuwataja na pia hela hamna!

willy- me sitaki kuamini kuwa hicho kitambi na cheni zako za shingoni umezipata kwa kuwa popo wa kutetea watu,na kama ndio hivyo basi kazi unayo kwelikweli hadi 2015a!

Mkuu wangu tuhuma ulizomshushia willy na wazazi wake ni kubwa sana inabidi uziletee ushahidi.
 
Hapa JF siyo mahakamani. Hapa tunasema kuna Great Thinkers; sasa great thinker gani ambaye hatajua kwamba Kitine alikuwa akimsema Membe na Membe alikuwa akimsema Kitine hata kama wote hawakutaja majina. Thinkers wanajumlisha 2 na 3 na kupata 6 siyo kama Mahakamani ambapo 2 na 3 lazima iwe 5!
 
Joka la mdimu lamsema Kingwendu.

Kusikia sauti ya kufikirika kila wakati ni dalili ya ugonjwa wa akili.

Siasa za bongo!

Kiranga, Membe naye na hii sauti kila akiulizwa utagombea anasema hajasikia sauti ikimwita! Hivi hii sauti itatoka wapi kwamba akilala asikie sauti akitembea asikie sauti. Nikisoma vitabu vitakatifu huwa nakutana na sauti zikiwaita mitume wakafanye kazi ya Mungu kama vile Sauli alivyoitwa. Sauti kama anayoisema Membe huwa inatoka kwa Mungu kwensa kwa wateule wake ili wamfanyie kazi. Ina maana anasubiri sauti toka kwa Mungu?
 
Last edited by a moderator:

Kujishaua tu.

Mie ukiniambia habari za kusikia sauti najua ni dalili ya schizophrenia.
 
nilimsikiliza huku namtazama Mzee Hassy kwa umakini sana.
Ktk taarifa yake hakutaja mtu...na kilichofuata ni kundi la watu kuaminishana kuwa aliyezungumziwa pale ni Waziri Membe.

Kwa kifupi nilimpunguzia Maksi Mzee Kitine, kwani kama angekuwa na uzalendo kisha awe na ushahidi wa uhakika wa aliyoyaongea nadhani angemtaja huyo mtu ili tumjue na ikiwezekana Sheria ifuate mkondo wake...na kama ikishindikana kisheria basi tumjue mtu anayetuhujumu kama tulivyowajuwa wale waliotajwa na Dr Slaa pale Mwembeyanga.

Kiukweli kitendo cha mzee Kitine ni cha kinafiki, na ni mbumbumbu tu ndio wanaweza kumuona Mzee huyu ni shujaa.
Kwangu mimi namuona mkurupukaji na Mshambenga tu.
 
Back
Top Bottom