Sasa hivi kakatwa mkiaBongo bana mpaka raha! eti Vingwendu.
Vi-NGWENDUMzee Kitine hajataja jina, au Membe anamjua mtu anayemzungumzia Mzee Kitine?
Watu wanafukua makaburi dah!!!Mkuu PM, kwa maoni yangu Membe anatufaa sana kugombea CCM!. Kama wewe unamuona hatufai, nani anatufaa?.
Kwa CCM chaguo langu No. 1 ni EL then akifuatiwa na Membe!.
Hahaha kumbukiziMkuu PM, kwa maoni yangu Membe anatufaa sana kugombea CCM!. Kama wewe unamuona hatufai, nani anatufaa?.
Kwa CCM chaguo langu No. 1 ni EL then akifuatiwa na Membe!.