Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,372
- 37,909
Mkuu Pasco,
Kwasasa chaguo la kwanza CCM ni Samwel Sitta,Lowassa na Membe ilikuwa ni muhula wa kwanza wa Kikwete mambo yamebadilika nilidhani na wewe umeshaliona hilo kumbe bado upo usingizini.

Mkuu PM, kwa maoni yangu Membe anatufaa sana kugombea CCM!. Kama wewe unamuona hatufai, nani anatufaa?.
Kwa CCM chaguo langu No. 1 ni EL then akifuatiwa na Membe!.