Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,015
Alijilaza kwenye mawe baada ya kichaa kupanda na kuanza kurusha mawe kwenye mapaa ya ikulu dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nape yuko wapi! Mzee wakupigania chama.Sisi sio wajinga bwashee,
Membe Alishasema hawez kuomba Msamaha "Bora ufe umesimama kuliko kuishi huku umepiga magoti"
.
Na ata hivyo Jiwe mpenda Sifa angekwisha weka huo msamaha hadharani Kama ilivyokua kwa Nape
naniNasikia watamvisha ile kesi ya kumywesha Mangula uji wenye sumu
Mzee wetu Mangula anaendeleaje??
Vipi Mambonow amefikia wapi kwenye uchunguzi baada ya zile taarifa za sumu??
Katika hali ya kushangaza na kushtua, aliyekuwa kada wa CCM Benard Membe bado ameendelea kuwa mwiba mkali ndani ya CCM kwa kugawanya makada ndani ya CCM. Membe ameendelea kutajwatajwa kwenye vikao vya kichama na kati ya makada binafsi pamoja na kufukuzwa kwake ndani ya CCM.
Membe anatajwa chamani kama kiungo muhimu wa Umoja, mshikamano na maridhiano ndani ya chama na karata muhimu ya CCM kwa siasa za Kusini. Makada waandamizi ndani ya CCM wanapishana na kutofautiana (kama walivyopishana na kutofautiana Wajumbe wa Kamati ya Maadili) kuhusu adhabu aliyopewa Membe ya kufukuzwa uanachama.
Benard Membe alifanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM chini ya Komredi Mangula jijini Dodoma na baadaye kufukuzwa uanachama wa CCM na Kamati Kuu ya Taifa ya CCM iliyo chini ya Dr. J.P. Magufuli. Tangu afukuzwe uanachama, Membe amekuwa kimya na ukimwa wake unaumiza viongozi na wanachama wa CCM.
Katika kuchagiza kutofautiana kwa msimamo baina ya makada waandamizi wa CCM, makada maarufu wamejipanga kuhakikisha kuwa Membe anarejea CCM kwa namna yoyote ile. Tayari nyaraka mbalimbali za kichama zimeshaandaliwa na kuwasilishwa kwenye mamlaka mbalimbali chamani kufanikisha mpango huo. Mambo yanaanza kunoga chamani.
Tuwe makini na ugonjwa wa Corona!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Neno "Kubambikiwa" sijui kama nimeelewekaAmnyeshe sumu kwani alikuwepo nchini au kwenye kikao?
At times you're like water - which makes it very hard on us to keep up with you. Mara moto mara baridi. Please be consistent.Bado ni mahitaji ya nyakati.. Subiri utakuja kuona nilimaanisha nini Jo
Jr
Mie nimezingatia hilo la kuwa makini na CoronaKatika hali ya kushangaza na kushtua, aliyekuwa kada wa CCM Benard Membe bado ameendelea kuwa mwiba mkali ndani ya CCM kwa kugawanya makada ndani ya CCM. Membe ameendelea kutajwatajwa kwenye vikao vya kichama na kati ya makada binafsi pamoja na kufukuzwa kwake ndani ya CCM.
Membe anatajwa chamani kama kiungo muhimu wa Umoja, mshikamano na maridhiano ndani ya chama na karata muhimu ya CCM kwa siasa za Kusini. Makada waandamizi ndani ya CCM wanapishana na kutofautiana (kama walivyopishana na kutofautiana Wajumbe wa Kamati ya Maadili) kuhusu adhabu aliyopewa Membe ya kufukuzwa uanachama.
Benard Membe alifanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM chini ya Komredi Mangula jijini Dodoma na baadaye kufukuzwa uanachama wa CCM na Kamati Kuu ya Taifa ya CCM iliyo chini ya Dr. J.P. Magufuli. Tangu afukuzwe uanachama, Membe amekuwa kimya na ukimwa wake unaumiza viongozi na wanachama wa CCM.
Katika kuchagiza kutofautiana kwa msimamo baina ya makada waandamizi wa CCM, makada maarufu wamejipanga kuhakikisha kuwa Membe anarejea CCM kwa namna yoyote ile. Tayari nyaraka mbalimbali za kichama zimeshaandaliwa na kuwasilishwa kwenye mamlaka mbalimbali chamani kufanikisha mpango huo. Mambo yanaanza kunoga chamani.
Tuwe makini na ugonjwa wa Corona!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Katika hali ya kushangaza na kushtua, aliyekuwa kada wa CCM Benard Membe bado ameendelea kuwa mwiba mkali ndani ya CCM kwa kugawanya makada ndani ya CCM. Membe ameendelea kutajwatajwa kwenye vikao vya kichama na kati ya makada binafsi pamoja na kufukuzwa kwake ndani ya CCM.
Membe anatajwa chamani kama kiungo muhimu wa Umoja, mshikamano na maridhiano ndani ya chama na karata muhimu ya CCM kwa siasa za Kusini. Makada waandamizi ndani ya CCM wanapishana na kutofautiana (kama walivyopishana na kutofautiana Wajumbe wa Kamati ya Maadili) kuhusu adhabu aliyopewa Membe ya kufukuzwa uanachama.
Benard Membe alifanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM chini ya Komredi Mangula jijini Dodoma na baadaye kufukuzwa uanachama wa CCM na Kamati Kuu ya Taifa ya CCM iliyo chini ya Dr. J.P. Magufuli. Tangu afukuzwe uanachama, Membe amekuwa kimya na ukimwa wake unaumiza viongozi na wanachama wa CCM.
Katika kuchagiza kutofautiana kwa msimamo baina ya makada waandamizi wa CCM, makada maarufu wamejipanga kuhakikisha kuwa Membe anarejea CCM kwa namna yoyote ile. Tayari nyaraka mbalimbali za kichama zimeshaandaliwa na kuwasilishwa kwenye mamlaka mbalimbali chamani kufanikisha mpango huo. Mambo yanaanza kunoga chamani.
Tuwe makini na ugonjwa wa Corona!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Mambosasa katuambia Mzee kalishwa sumu.Isije kuwa waliompima walijichanganya badala ya kubaini Virusi vya Covid-19 wakaona ni sumu....!!Sifa moja kubwa ya Corona ni kushambulia watu wenye UMRI MKUBWA kama Mzee Mangula!!
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huuMembe hawezi kufukuzwa ki ajabu ajabu namna ile, Membe ni Presidential figure!! CCM tusifanye makosa tumwangukie arudi kundini kwa mustakabali wa umoja wetu.
Habari Kama hizi ndizo ambazo zinaendelea kumweka pabaya comrade Membe...Katika hali ya kushangaza na kushtua, aliyekuwa kada wa CCM Benard Membe bado ameendelea kuwa mwiba mkali ndani ya CCM kwa kugawanya makada ndani ya CCM. Membe ameendelea kutajwatajwa kwenye vikao vya kichama na kati ya makada binafsi pamoja na kufukuzwa kwake ndani ya CCM.
Membe anatajwa chamani kama kiungo muhimu wa Umoja, mshikamano na maridhiano ndani ya chama na karata muhimu ya CCM kwa siasa za Kusini. Makada waandamizi ndani ya CCM wanapishana na kutofautiana (kama walivyopishana na kutofautiana Wajumbe wa Kamati ya Maadili) kuhusu adhabu aliyopewa Membe ya kufukuzwa uanachama.
Benard Membe alifanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM chini ya Komredi Mangula jijini Dodoma na baadaye kufukuzwa uanachama wa CCM na Kamati Kuu ya Taifa ya CCM iliyo chini ya Dr. J.P. Magufuli. Tangu afukuzwe uanachama, Membe amekuwa kimya na ukimwa wake unaumiza viongozi na wanachama wa CCM.
Katika kuchagiza kutofautiana kwa msimamo baina ya makada waandamizi wa CCM, makada maarufu wamejipanga kuhakikisha kuwa Membe anarejea CCM kwa namna yoyote ile. Tayari nyaraka mbalimbali za kichama zimeshaandaliwa na kuwasilishwa kwenye mamlaka mbalimbali chamani kufanikisha mpango huo. Mambo yanaanza kunoga chamani.
Tuwe makini na ugonjwa wa Corona!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Hahahhah duuh nani huyo,?Yule jamaa wa kujilaza kwenye mawe akisikia hivyo hutamani kuachia ngazi kabisa.
Na corona tenaJiwe hawezi kupigana vita mbili kwa wakati mmoja,yaani huku chadema huku membe.lazina moja itawa shinda.
CCM mnajifanya mna hati miliki ya Tanzania...!Hiyo ni ngojera na mambo ya vijiweni, kudanganya kwingiii!
Nje ya CCM, kiongozi nchini ni sawa na samaki nje ya maji.
Asingefukuzwa angekuwa na kiasi fulani cha nguvu ya ushawishi. Maadam amefukuzwa kwenye chama ni yeye binafsi anaweza kuomba msamaha kupitia vikao husika vya chama.