Bila shaka CHADEMA wanahusika na kuzama memo hii
Sasa hapa inabidi tuulizane maana naambiwa pale kivukoni kuna kituo cha kuelekeza meli na hali ya hewa. Je, kituo hiki kilitoa kibali kwa meli hiyo isafiri hata kama hali ya hewa ilikuwa mbaya kiasi hicho?..Mkuu leo kulikuwa na upepo mkubwa sana...hata hapa dar maeneo ya karibu na bahari hali ilikuwa siyo nzuri , sasa sijui huko baharini hali ilikuwaje..
ni kitu kile kile, Skaget ni kampuni inayomiliki meli inayoitwa seagull
Hizi sio habari za kufanyiana mzaha, kwenye ile meli kuna Watanzania wa kila chama na wasio na vyama na kuna watoto wadogo wasiojuwa hata chama cha siasa ni nini. Fanyeni adabu kidogo kwa jambo hili.
Mkuu umekaa sana ulaya mpaka unasahau mambo yanavyokwenda kibongobongo...hapa ni pesa kwanza usalama wa abiria baadaye...hivyo vituo vya hali ya hewa/uchunguzi nk vipo kama mapambo tu!Sasa hapa inabidi tuulizane maana naambiwa pale kivukoni kuna kituo cha kuelekeza meli na hali ya hewa. Je, kituo hiki kilitoa kibali kwa meli hiyo isafiri hata kama hali ya hewa ilikuwa mbaya kiasi hicho?..
Mjadala wa Bunge ni muhimu zaidi ya hili kwa CCM!
Unataka kunambia Bongo Meli zinasafiri pasipo clearance? hee Ndio maana unga inaingia na kutoka kirahisi.. nilikuwa najiuliza sana kwa nini Unguja na Bongo zimekuwa Transit ya Unga wa Afghastan na Colombia kumbe rahisi kiasi hiki eeeh! Haya leo tumepata somo kwa nini Meli zinatakiwa clearance zote kama ndege..Mkuu umekaa sana ulaya mpaka unasahau mambo yanavyokwenda kibongobongo...hapa ni pesa kwanza usalama wa abiria baadaye...hivyo vituo vya hali ya hewa/uchunguzi nk vipo kama mapambo tu!
Hahaaa nchi ina gundu mwanzo kati mwisho
Poleni wafiwa... Mpaka lini vifo vya aina hii vitakoma?
Kuna jamaa yangu yupo eneo la tukio kaniambia boti imezama kabisa na baadhi ya maiti zinaopolewa.
Haujui ulisemalo, pole sana.