Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,628
Rufiji pale kuna majini maskini sana! hata shetani aliyakana! kwa hiyo Mkuu Baba una milikiwa na vijini maskini, Nenda Moshi, au Mugango upatae jini tajiri Kiuno thema tyuu ukweli Bongo daisalama huijui kabisaaa!!Nadhani utakuwa umekosea kuniquote hebu kaangalie vizuri unaetakiwa kumquote kabla mashetani yangu ya rufiji hayajanipanda nikujibu #shwain