Meck Sadick Vipi Tena Uvaaji Huu?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Picha+na+2.JPG
 
Rasilimali za nchi zinapotea bure. Hivi mwenge usipopita miradi haitazinduliwa?.
 
Nakumbuka kuna siku aligoma kufanya uzinduzi kwa vile waandishi wa habari wa TV hawakuwepo akasema hawezi fungua
 
Nadhani kwa sasa huu mwenge ungewekwa makumbusho tuu, na kwa anayetaka kuuona aende huko makumbusho....(iwe historia tuu) Tunapoteze fedha za walipa kodi tuuuuu.....(wala hakuna la maana zaidi ya kuchochea ongezeko la VVU)
 
Ila huyu jamaa huwa anavaaga hovyo kabisa...ananikeraga anapovaaga visuti vya mikono mifupi bila fulana laini ya ndani, anabaki kifua wazi! ameshafanya hivi mara nyingi..ila alinikera zaidi siku ya kumuaga Bob Nyanga Makani! Kifua kimechoooka ka mnywa 'chimpumu' halafu unakionyesha onyesha!
 
ila huyu jamaa huwa anavaaga hovyo kabisa...ananikeraga anapovaaga visuti vya mikono mifupi bila fulana laini ya ndani, anabaki kifua wazi! Ameshafanya hivi mara nyingi..ila alinikera zaidi siku ya kumuaga bob nyanga makani! Kifua kimechoooka ka mnywa 'chimpumu' halafu unakionyesha onyesha!

mimi hiyo kofia kuvaa hivyo mbele ya mwenge? Labda kama mwenge hauna maana tena!
 
Mwenge ufisadi na wizi wa mali za umma vina uhusiano wa karibu sana.stop mwenge ni utapeli mtupu!
 
Ningelikua mimi ni Raisi wa nchi hii nilingelipiga marufuku mbio za mwenge kwakua umepitwa na wakati.
 
nadhani amevaa hivi kwasababu maalum, Kandoro nilimuona kwenye tv amevaa kama hivi pia.
 
matumizi mabaya ya rasilimali.....mabastola ya nini?.....nani ataiba kibatali?


picha+no+6.jpg
siku nikishachukua hatamu navugumisha mbali hiki kibatari..tuupa kule sijui kina maana gani tunapoteza pesa kwa mambo yaso yamsingi...mwanangu aliniuliza dingi hii nn nikamwambia hao walozunguka hapo nadhani wehu na mm na biashara za wehu ni tofauti...
 
Back
Top Bottom