MDAU JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 452
- 82
Hiki ndicho kiuchawi cha Tz uvaaji huo ni sunna ukiutazamma mwengee
Mkuu, kwenye red umeteleza, hilo neno limetumika pasipo, just for your information.
Hiki ndicho kiuchawi cha Tz uvaaji huo ni sunna ukiutazamma mwengee
Nadhani kwa sasa huu mwenge ungewekwa makumbusho tuu, na kwa anayetaka kuuona aende huko makumbusho....(iwe historia tuu) Tunapoteze fedha za walipa kodi tuuuuu.....(wala hakuna la maana zaidi ya kuchochea ongezeko la VVU)
Ikikua ataacha!