Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

2001 hadi sasa kwa upande wa klabu bingwa
Ni mechi 14
Al Ahly 5W
Mamelod 4W
Draw 5
Yeah upo sahihi, Al Ahly yupo juu zaidi ya Mamelody

Mamelody amekuja kusawazisha kwenye AFL ya juzi tu hapo lakini kwenye CAF Champion League mpaka sasa Al Ahly ni bingwa kwa Mamelody kwa overall ya h2h
 
Ngoja dabi hiyo ifikishe mechi 14 ndio tahesabu simba atakuwa amekalishwa mara ngapi
 
Yeah upo sahihi, Al Ahly yupo juu zaidi ya Mamelody

Mamelody amekuja kusawazisha kwenye AFL ya juzi tu hapo lakini kwenye CAF Champion League mpaka sasa Al Ahly ni bingwa kwa Mamelody kwa overall ya h2h
Ni sawa ila hawa wameshakutana mara nyingi sana na wametunishiana misuli ipasavyo. Mechi 14 vs mechi 4
 
Unajua hata ukitoa mechi 6 za mwisho walizokutana ili kuweka mzani sawa wa h2h ya Simba na Al Ahly

Bado Al Ahly atakuwa kashinda mechi 4 wakati Mamelody kashinda mechi 1?

Msimu wa 2020 kushuka chini, Mamelody alishinda mechi moja tu na kuambulia sare 3.

Wakati kwa takwimu hizo upande wa Simba na Al Ahly hakuna mbabe.
 
Bora muwe wengi ili muweze kufarijiana Au kugombana mkifungwa,Swala la nyie kufunga haliepukiki nawaambia ndugu zangu.
 
Oi unaizugumzia al ahly ipi au hii hii iliyochukua cafcl msimu jana??? Kwa taarifa yako al ahly ndiye bingwa tena msimu huu. Nimekaa miaka mingi africa takribani 7 yrs nimegundua al ahly hatumii nguvu kubwa ktk hatua ya makund lakn katk hatua za mtoano dadeki nanyi ni mashahidi.hanaga cha mswalia mtume ijumaa ni siku ya ibaada na ahly kaitenga maalum kumaliza kaz ugenn ili kutunza energy hatua inayofuata.karibuni kwetu afganistan kwa sasa tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…