Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Status
Not open for further replies.
francis da don pumba...vu nyang'au fisadi wa mawazo na mfinyu wa kufikiri wewe. heading yako unaelekea kuchochea mgogoro wa kidini...mbona huzungumzii jerusalem wakati wanapokwenda kuhiji wenzako???? ng'ombe wanachinjwa na wote wanahifadhiwa vizuri kwa viwango vya kimataifa na kusafirishwa duniani kote kugawiwa buuuureeee kwa watu wote wakiwemo wa dini yako. na hazijawahi kuleta madhara yoyote.. zungumzia jerusalem na idadi ya mahujaji na usithubutu kuzungumzia mecca . waachie wenyewe waislamu na imani yao.
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS
 
Pumbavu wewe ilioleta mada yaki -----,nani alazimishwa au anashiliwa fimbo kwenda makka hilo lipo wazi kwenda makka ni kwa mwenye uwezo na akapenda dini hailazimishi mtu kwenda makka,mpaka useme eti wanachukua pesa za masikini.Wewe mjinga sana naona huna kazi ndo maana unatafuta chokochoko za kuingilia imani za watu,wewe kama imani yako kunywa pombe na kupigwa bomba fanya yako,isizungumzie imani za watu,muislamu kazaliwa kaikuta uislamu muache na uislamu wake,mkristu kazaliwa kaukuta ukristu wake muache aamini hivyo,wewe ------ amini usenge wako.
 
Huko ni sehemu ya ibada na tutaenda Allah akituwezesha tena, lakini wanao msapoti mleta mada kama mngekuwa na akili ya ziada mgejiuliza kwanza kuhusu UN wanapofanya mikutano NY maraisi huwa wana lala wapi kwa muda gani na kwa manufaa gani maana kila mmoja wa waliohudhuria wanalipa zaidi ya 40m a night. Think about it
 
Kuna wakati Elijah Muhammad, kiongozi wa "Nation of Islam" Marekani, alikuwa anawekewa ngumu na waislamu wa orthodox schools kwamba alikuwa anafundisha mafundisho tofauti na Uislamu halisi.

Akawaambia kwamba mkiniandama ndo kabisa nitawaambia wafuasi wangu waache kufanya ibada huku wakielekea qibla (Mecca) na badala yake waelekee Chicago.

Waislamu orthodox wakaona huyu mchizi ana wafuasi wengi sana Marekani, muacheni.

Kuna misikiti fulani ilishaanza kuelekea Chicago badala ya qibla ya Mecca.

Hii inaonyesha kwamba dini zimetungwa na watu tu, na hizi habari za kuelekea qibla Mecca, Hijja Mecca, na kusomeana aya kiarabu misikitini hata kama hamuelewi kiarabu ni ukoloni wa kidini tu.
 
ninahisi kuna something so fishy!
nyuz za kushfiana dini zimekuwa nyingi ghafla!
kuna mpango unatekelezwa au???
tuache jamani please!
AMANI AMANI AMANI
kuirejesha ni ngumu!
 
Teh teh teh,
Ikiwa maneno ya mtu husadifu uwezo wake wa kifikra.
Kuna ubaya nikikufananisha na house girl wetu????
Teh teh teh.

Wewe ni mtu wa hovyo kabisa,unamwonaje housegirl wenu?Nasali usifanikiwe katika jambo lolote ufanyalo katika maisha kwa kudharau utu wa mtu
 
Kuna wakati Elijah Muhammad, kiongozi wa "Nation of Islam" Marekani, alikuwa anawekewa ngumu na waislamu wa orthodox schools kwamba alikuwa anafundisha mafundisho tofauti na Uislamu halisi.

Akawaambia kwamba mkiniandama ndo kabisa nitawaambia wafuasi wangu waache kufanya ibada huku wakielekea qibla (Mecca) na badala yake waelekee Chicago.

Waislamu orthodox wakaona huyu mchizi ana wafuasi wengi sana Marekani, muacheni.

Kuna misikiti fulani ilishaanza kuelekea Chicago badala ya qibla ya Mecca.

Hii inaonyesha kwamba dini zimetungwa na watu tu, na hizi habari za kuelekea qibla Mecca, Hijja Mecca, na kusomeana aya kiarabu misikitini hata kama hamuelewi kiarabu ni ukoloni wa kidini tu.

bas mwenyew wajiona mjanja kwa ujinga wako
 
Hivi ww kweli unalijua unalolisema au unajiita muislam kwenye mwamvuli .....hakika ALLAH aku laan kwa kauli yako hii ...usipende kuchezea iman za watu tutakupoteza tafadhali km kitu hukijui wacha kupayuka
 
Economists have estimated the Kingdom’s revenues from Haj and Umrah services in 2012 at more than SR 62 billion ($ 16.5 billion), 10 percent up from 2011 figures. They also said that Haj revenue accounted for three percent of the country’s gross domestic product (GDP).
Fahd Al-Andeejani, professor of economics, said there are good prospects for the development of national industries. “We need more specialized markets to meet the needs of pilgrims who come for Haj and Umrah,” he added.
The professor said there are good prospects to establish Asian, European and American restaurants in Makkah and Madinah while highlighting the growing purchasing power of Saudis as a result of increase in salaries and oil prices.
Al-Andeejani estimated the annual expenditure of an Umrah pilgrim at $ 10,000. More than seven million pilgrims come to the Kingdom for Haj and Umrah and the money they spend could boost the Kingdom’s economy.
He called for providing world-class services to Haj and Umrah pilgrims. A lot of investments are required for this purpose. He estimated the Kingdom’s total revenue from Haj and Umrah at more than SR 62 billion.
Al-Andeejani called for greater efforts to create more job opportunities for Saudis during the Haj and Umrah seasons.
“Despite the large Haj and Umrah market, the sale of Saudi products including gift items was low,” said Khaled Al-Qurashi, owner of a Haj and Umrah service company. He said handicrafts of Saudi productive families lacked marketing channels required for its success. Speaking to Asharq Al-Awsat Arabic daily, Al-Qurashi said Saudi gift items are facing big competition from Chinese products. He stressed the need for strengthening the capabilities of young Saudi men and women in making innovative gift items with a Makkah and Madinah touch for sale among pilgrims and other visitors.
He believed that Saudi products could make a revenue of SR 500 million to SR 800 million annually if properly marketed.
Fahd Al-Kabkabi, owner of shops selling souvenirs and gifts, urged Saudi youth to start small and medium enterprises to produce gift items to market among pilgrims.
“This is a potential area for young Saudi entrepreneurs to enter and progress. It can also create more jobs for Saudis,” he added. “We need more gift items made in Saudi Arabia to distribute among pilgrims.”
Al-Kabkabi urged traders to promote Saudi products by giving them good display at their shops.
According to Abdul Hameed Abalarry, director of King Abdulaziz International Airport in Jeddah, about six million foreign pilgrims performed Umrah in 2012.
He spoke about the coordination between the Haj Ministry and the General Authority of Civil Aviation in dispatching pilgrims to the airport, saying the ministry has agreed not to send any pilgrim to the airport without confirmed booking.
GACA officials at the Haj Terminal’s entrance make sure that only those pilgrims with confirmed booking are allowed to enter the airport in order to avoid overcrowding of passengers, he said.
 
kuna vi Freemason vidogodogo vinajarbu kupinga din humu teh the teh Hanna hoja zakutuaminisha ujinga wenu
 
Hii mleta mada umeleta pumba. Kwahiyo pale Jerusalem na bethlehem wanapokwenda wagalatia ina maana ni mbinu za wayahudi kujinufaisha kiuchumi?
 
Mashallah!
"Nuru fawka nnuur"

Wasituumbue hawa watu ndugu zangu. hawa ndio wale;
"Swuumun, bukkmun, umyun fahum la yarjiuun"

kutukana msukuma kichina ni upuuzi sawa ni kutumia lugha ya majini kwa siye tunaokula nguruwe
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani kufanya hivyo. Tanzania hatuwezi kuwa accomodate mahujaji wote hao. Hatujajenga miundombinu ya kufanya hayo.
 
Pole yao wanaoenda kutajirisha inchi nyingine,sisi mungu wetu (aliyezaliwa na kuuliwa na aliyewaumba)katuamuru twende taifa teule Israeli (ambapo waisraeli wenyewe si wakristo na ole wako uanzishe kanisa "hii ipo ktk katiba yao kwamba hawautambui"ila hawa jamaa wanaoenda Mecca misikiti ipo na unatambuliwa ktk katiba yao) na tunapoenda kule tunapaa kama mungu wetu alivyopaa kwenda kwa baba (wao wanatumia ndege wanazidi kuwatajirisha waarabu)na sisi hatutoki mataifa maskini wote tunatoka ulaya na marekani na kingine dini yao ya kibaguzi sana eti mashoga na wanawake hawawaruhusu kuwa viongozi wa dini yao sisi huku poa tu na sisi wakristo huwa tunajenga hoja sio blah blah mara ohooo eti makanisa yetu tofauti na ukumbi wa disko ni msalaba eti ohoo yesu ni mungu au ni mtoto eti ohoo zaburi ya Ibraham, torati ya Mussa na injili ni ya yesu je biblia ni ya nani ??????? waislamu muwe munauliza maswali ya mana sio kelele
 
Kwa nini mungu kawapa upendeleo wa kuwekwa kwenye jangwa iki waishike sala na wengine hakuwaweka huko?

Mungu gani mbaguzi hivyo anawapanga watu kwa mafungu, hawa anawapa neema, hawa anawanyima.

Hizi si ndio hadithi zile zile za "Israel taifa teule la mungu" zimekuja kivingine?

Nikisema Muhammad aliona Waisrael wana nguvu ya ushawishi kwa sababu ya siasa za dini na yeye akataka kuanzisha yake kwa watu wake, purely for political reasons ambazo tunaona zinaleta faida hizi za kiuchumi, nitakuwa nimekosea?

Hivi afya ya kuingia JF huoni kwamba ni neema kwako??
Hujui wengine wanakosa huo muda kwa sababu ya maradhi na wengine wamekosa fursa ya elimu (Neema nayo) kama ulivyopata wewe??
Alhamdulillah, Allah amenipa neema nyingi ikiwemo ya kushukuru
 
Hivi afya ya kuingia JF huoni kwamba ni neema kwako??
Hujui wengine wanakosa huo muda kwa sababu ya maradhi na wengine wamekosa fursa ya elimu (Neema nayo) kama ulivyopata wewe??
Alhamdulillah, Allah amenipa neema nyingi ikiwemo ya kushukuru

Neema ni nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom