Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Status
Not open for further replies.
Nawasiwasi sana na hii jf,kila siku ni mada zakukashifu uislam kulikoni?mbona kumejaa chuki dhidi ya uislam?

Kaka mi mwenyewe huwa napata swali hili kila siku. Haipiti siku humu bila ya kuona mada inayochokonoa Uislam. Nimebaki kuwa msomaji tu katka hili.
 
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS

Huyu Da don francis kama si ridhiki basi ana tatizo sugu la mtindio wa ubongo na taahira ya akili. Eti Hijja ifanyike kwa mzunguko! mbona huchagizi hija za kwenda kwa mayahudi kule jerusalem zielekezwe kwa mzunguko kwenda sumbawanga, uchina ama kwengineko. Ni heri kufunga kebe lako kuliko kucokonoa usichokijua! Pumbafu!
 
Kaka mi mwenyewe huwa napata swali hili kila siku. Haipiti siku humu bila ya kuona mada inayochokonoa Uislam. Nimebaki kuwa msomaji tu katka hili.

Kwa kweli mimi huwa sipendi kukashifu dini ya mtu mwingine. Sielewi ni kwa nini Mods wana-entertain mambo kama haya. Kwa nini tusiheshimiane kwenye imani zetu za kidini? Tunaweza kuona ni kitu kidogo ila in the long run...... Naogopa!!!!!

Mauaji ya kimbari ya Rwanda yalianza hivi hivi kwenye Radio zenye mirengo ya kikabila kati ya wahutu na watusi. Sisi ni mitandao ya kijamii lakini with time vinaweza kutufikisha pabaya!!!!

Tuwe careful na masuala ya dini jamani!
 
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS

Pumba tupu...nakuonea huruma kama si kukucheka.
 
Uislam unajibu hoja zote, kinachofanyika ni amri na ni nguzo ya Uislam.
mtu anatakiwa kwenda kuhiji mara moja ktk umri wake, lakini pia kuna Umra inafanyika kila siku.
ni haki yao kuhoji kwa sababu wao hawana hili tukio wakifungua tv zao wanaona watu daima wako HIJA na UMRA mfululizo kila siku mwaka mzima huu ni muujiza.
wanapenda ingekua ni wao wangefurahi, wanahangaika hawajui waende wapi roma, Nigeria, lsrael, Palestine au bagamoyo.
lnshaAllah wataongoka.
 
Moderator habari ya kweli ya Vatikan umeifuta mbio mbio.

Sisi habari za uzushi na uongo zinazohusu Waislam wala hatutosema uzifute na usizifute kwa sababu, tunazijuwa ni za uongo na ndiyo tunapata kuutangaza vizuri Uislam.

Leo kabla ya dakika 10 nimeweka habari za kweli kabisa na za uchunguzi wa kina uliofanywa na Mkristo na jarida la Kikristo ndiyo limechapisha na nimeweka link zote, mmeufuta, kwa kuwa tu linawaumbua Wakatoliki jinsi ushoga ulivyokubuhu huko Vatikan.

Kwa kuwa hii nyuzi tuna uhakika hamuifuti basi nnaweka link hapa, watu watapitia na kujisome hayo maovu ya makao makuu ya kanisa katoliki Vatikano:The Secret Lives of the Vatican’s Gay Cardinals, Monks, and Other Clergy Members | Vanity Fair
 
Kwel allah hakosei "hakka ya dunia n pepo ya makafr" sasa ww: kula, kunywa, kuvaa na kukarrshwa izo elimu za kimagharb ndo unaona ujaanja, mwendawazmu mkubwa ww kafir!!
 
Hivi ni uchumi wa mecca au Saudi Arabia??? we una chuki na uislam,ungezaliwa india ungekuwa unaabudu Ng'ombe na masanamu muda huu,hebu acha zarau na dini za watu hazikuhusu
 
Kwa nini mungu kawapa upendeleo wa kuwekwa kwenye jangwa iki waishike sala na wengine hakuwaweka huko?

Mungu gani mbaguzi hivyo anawapanga watu kwa mafungu, hawa anawapa neema, hawa anawanyima.

Hizi si ndio hadithi zile zile za "Israel taifa teule la mungu" zimekuja kivingine?

Nikisema Muhammad aliona Waisrael wana nguvu ya ushawishi kwa sababu ya siasa za dini na yeye akataka kuanzisha yake kwa watu wake, purely for political reasons ambazo tunaona zinaleta faida hizi za kiuchumi, nitakuwa nimekosea?

uko sahihi mkuu, ingawa kwa waisrael unawaonea. Uislam ni upinga Kristo
 
Hata Obama na viongozi wote duniani juzi walikwenda Saudia kwenda kuwaangukia wafalme baada ya kifo cha kiongozi wa dunia. Saudi arabia inaitawala dunia kimyakimya mburu matari kama mleta mada hawezi kujua
Inatawala makafiri wenzako siyo dunia acha kupotosha
 
Moderator habari ya kweli ya Vatikan umeifuta mbio mbio.

Sisi habaro za uzushi na uongo zinazohusu Waislam wala hatutosema uzifute na usizifute kwa sababu, tunazijuwa ni za uongo na ndiyo tunapata kuutangaza vizuri uzuri wa Uislam.

Leo kabla ya dakika 10 nimeweka habari za kweli kabisa na za uchunguzi wa kina uliofanywa na Mkristo na jarida la Kikristo ndiyo limechapisha na nimeweka link zote, mmeufuta, kwa kuwa tu liwawaumbua Wakatoliki jinsi ushoga ulivupkubuhu huko Vatikan.

Kwa kuwa hii nyuzi tunauhakika hamuifuti basi nnaweka link hapa, watu watapitia na kujisome hayo maovu ya makao makuu ya kanisa katoliki Vatikano:The Secret Lives of the Vatican’s Gay Cardinals, Monks, and Other Clergy Members | Vanity Fair
Mbona unalalamika sana ukiletwa uzushi mods lazima wafute
 
mbona pesa inayopatikana wala hata si nyingi kivile bilion 8 kwa uchumi wa saud ni vijisent tu

Pesa yote iko katika US$ na ni sawa na budget yote ya Tanzania ya mwaka kama trilion 15
 
Hata mi naona.ila wanachoshindwa kutofautisha ni kwamba uislam hauendeshwi kwa hisia,maoni na matakwa ya mwanadamu kama zilivyo dini zao.

Watajuaje hao wameshapigwa mihuri ndugu yangu aka wasusuavu wa mioyo
 
uko sahihi mkuu, ingawa kwa waisrael unawaonea. Uislam ni upinga Kristo

Sasa wa Israel wana tofauti gani na Waislamu katika hili la "tujipange tuandike kitabu kitakachosema sisi ni taifa teule la mungu, halafu kwa kusema hivyo ikikubalika dunia nzima tutapata faida za kisiasa na kiuchumi"?

Si tunaona kina Edward Lowassa and company wanaenda kuhiji Israel.

Mbona mie kijukuu cha Ng'wanamalundi sina advantage hiyo?

Inamaana mungu hanipendi mimi? Kawachagua Waisreli na WaSaudi wawe na holy sites za Hija kubwa kwa upendeleo halafu mimi kanitosa, huyu kweli ni mungu wa haki?
 
Hata mkutano wa kijambazi wa UN haufanywi kwa zamu unataka kumpangaia muumba nini cha kufanya
 
Wakristo wanaweweseka sana na uislamu, kila siku zinavyozidi kwenda dini ya hakki inazidi kuonekana huku ushetani wao makafiri uikjidhihirisha zaidi, uislamu unazidi kukubalika hadi kwenye nchi zao kwa kasi ya ajabu,
Hakika makafir wana haki ya kuweweseka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom