Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Huwezi amini huyu jamaa ndo alie mtoa bikra Dogo, na akawa anamsomesha kwanzia mwaka wa pili hadi kamaliza Chuo. Na huyu jamaa anatokea huko Serengeti mkoa wa Mara yaan tumejaribu kumshauri haelewi na anampenda sna mchumbaake lakin hii michilizi ndo inamchanganya
Kumsomesha siyo shida, Suala zima mwanaume hajakua tena ukute amesoma anajiita msomi.
 
Huyo mdogo wako muoe mwenyewe ndo mtakuwa mmemkomesha huyo jamaa
 
Wakuu habari za w,keend,

Wakuu naombeni ushauri juu ya huyu mdogo wangu,

Mdogo wangu ana mchumba wake ambae alishafanya proses zote za ndoa, ilibaki kumsubiri dogo amalize chuo wafunge ndoa.

Sasa tatizo limekuja mdogo wangu baada ya kumaliza chuo, amejiachia sana yaani kanenepa alafu kawa na michilizi kiunoni mpaka kwenye makalio na inavyoelekea inaendelea kumtoka maana anaviashiria kama inaendelea kumtoka hadi mapajani.

Sasa baada ya jamaa kumuona hivyo mchumba wake anamwambia jitahidi hiyo mistari ikutoke hangaika kama ni gharama nitalipia lakini hiyo mistari siitaki kuiona mbona wakati unasoma ulikua modo huna hiyo mistari kama ikishindwa kutoka mimi na wewe basi, mimi hiyo mistari inanitisha.

Dogo kanisimulia nikazani utani, kumbe jamaa yupo serious. Sijakaa vizuri huyu jamaa ambae ni shemu wangu akaniibukia mpaka Tanga. Anasema nipo serious na hii inshu jitahidi ukae na mdogo wako umsaidie apake dawa gani ili kuondoa hiyo mistari alafu ni mingi.

Wakuu dogo week ijayo anakuja kwangu nimsaidie maana mimi ndo dadaake mkubwa, alafu harusi ilipangwa mwezi wa na nane na jamaa kama hivyo haelewi somo.

Msaada please kuinusuru ndoa ya mdogo wetu.
Hili ndio tatizo la kuanza kufanya mapenzi kabla ya kufunga ndoa,asingeyajua yote hayo ya michirizi kama wasingevuliana nguo au labda atuambie kuwa huwa wanaoga pamoja lakini hawafanyi kitu ndio akaona hiyo michirizi...
 
Hakuna muoaji hapo tena mshukuru Mungu kamuepusha
 
[emoji12] [emoji12] kama ninayo mm ninawasi wasi gani, wakati nipo kwenye ndoa mwaka wa5 huu, na bado nipo feat kama nimeolewa Jana.

Kama huna point kaa kimyaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Achana na vichaa wa JF wao wana act as if wanayajua maisha ya kila mtu
 
Hii mbinu ya kuomba dawa za kuondoa michirizi, uko smart mama
 
Wakuu habari za w,keend,

Wakuu naombeni ushauri juu ya huyu mdogo wangu,

Mdogo wangu ana mchumba wake ambae alishafanya proses zote za ndoa, ilibaki kumsubiri dogo amalize chuo wafunge ndoa.

Sasa tatizo limekuja mdogo wangu baada ya kumaliza chuo, amejiachia sana yaani kanenepa alafu kawa na michilizi kiunoni mpaka kwenye makalio na inavyoelekea inaendelea kumtoka maana anaviashiria kama inaendelea kumtoka hadi mapajani.

Sasa baada ya jamaa kumuona hivyo mchumba wake anamwambia jitahidi hiyo mistari ikutoke hangaika kama ni gharama nitalipia lakini hiyo mistari siitaki kuiona mbona wakati unasoma ulikua modo huna hiyo mistari kama ikishindwa kutoka mimi na wewe basi, mimi hiyo mistari inanitisha.

Dogo kanisimulia nikazani utani, kumbe jamaa yupo serious. Sijakaa vizuri huyu jamaa ambae ni shemu wangu akaniibukia mpaka Tanga. Anasema nipo serious na hii inshu jitahidi ukae na mdogo wako umsaidie apake dawa gani ili kuondoa hiyo mistari alafu ni mingi.

Wakuu dogo week ijayo anakuja kwangu nimsaidie maana mimi ndo dadaake mkubwa, alafu harusi ilipangwa mwezi wa na nane na jamaa kama hivyo haelewi somo.

Msaada please kuinusuru ndoa ya mdogo wetu.

Picha, ili nikusaidie. Bila picha inakua ngumu namna ya kukupa msaada
 
Afanye mazoezi, diet arudi kiwa model...
maana nahisi anatisha kweli ,ikimtoka mtu mnene mweupe unaweza kukimbia ,hasa mikononi!

mimi nnayo ila sio bonge
ajitahidi arudishe kamwili kake, apake Bio oil original

na dawa zingine zimejaa tele atafute tu
 
Huwezi amini huyu jamaa ndo alie mtoa bikra Dogo, na akawa anamsomesha kwanzia mwaka wa pili hadi kamaliza Chuo. Na huyu jamaa anatokea huko Serengeti mkoa wa Mara yaan tumejaribu kumshauri haelewi na anampenda sna mchumbaake lakin hii michilizi ndo inamchanganya
Umejuaje kama ndie aliyentoa bikra?
 
Back
Top Bottom