Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Atumie cocoa butter lotion na mafuta ya parachut ya nazi pia afanye diet kweli ndoa ngumu kupata siku iz[emoji3]
 
Jamaa inaonekana alimpendea umodo,sasa baada ya kunenepa hana tena inshu naye,na hakika jamaa yupo sirias asipojirebisha mwil uwe mwembamba
 
Huyo hafai kuwa mume. Inaonekana amependa umbo lake tu na si zaidi. Miaka itaenda atazaa atabadilika na hatampenda kamwe.
.
.
Ningekuwa mimi ningepiga chini fasta.
 
Huwezi amini huyu jamaa ndo alie mtoa bikra Dogo, na akawa anamsomesha kwanzia mwaka wa pili hadi kamaliza Chuo. Na huyu jamaa anatokea huko Serengeti mkoa wa Mara yaan tumejaribu kumshauri haelewi na anampenda sna mchumbaake lakin hii michilizi ndo inamchanganya

Mdogo wako hana mume hapo.Alisha toa kilichotakiwa kikamtosha mlaji.Sasa atubie atafte mume sahihi akilazimksha mimba ya upweke itamuhusu
 
Mdogo wako amshukuru Mungu kwa kuwa amemwonesha mapema kuwa huyo mwanaume ni mshamba na tapeli hajui maana ya ndoa na mke. Huyo hana mpango wa kuoa ni mtumiaji wa papuchi tu.
 
Mdogo wako amshukuru Mungu kwa kuwa amemwonesha mapema kuwa huyo mwanaume ni mshamba na tapeli hajui maana ya ndoa na mke. Huyo hana mpango wa kuoa ni mtumiaji wa papuchi tu.

Huyo jamaa mshamba na tapeli, hiyo michirizi ndio maugonjwa yangu. Mwambie mdogo wako ani PM tuyajenge.
 
Ushauri wangu: huyo jamaa hana nia ya kufunga harusi na hapo anatafuta sababu tu.
Kingine mwambie mdogo wako aache kujiachia sana sasa looohhh
 
Atumie bidhaa za Grace zoa zoa zitamsaidia japo kuwa najua wala sio mdogo wako mwenye michiriz unajaribu kujifichia kwake but its you.
 
Mwambie dogo alko ampige chini kabla ya jamaa hajampiga chini ili kulinda heshima ya dogo

Pia hakikisha dogo anapiga mazoezi na apunguze unene michirizi yote itaisha

Pia muoaji huo ni sharo
 
Back
Top Bottom