Hauko sahihi sio kila mwenye michirizi ni ya mikirogo wengine miili yao inapoongezeka au kupugua ndio anakuwa na hiyo michirizi.mwambie mdogo wako aache kutumia mikorogo.hakuna michirizi ya unene
[emoji12] [emoji12] kama ninayo mm ninawasi wasi gani, wakati nipo kwenye ndoa mwaka wa5 huu, na bado nipo feat kama nimeolewa Jana.Unayo wewe mwenyew sema unaomba msaada
Mbona ni brack beauty yaan ni mweusi my dear, cjui labda anavyopenda kula kula ovyo ndo imemsababishia hivyo.mwambie mdogo wako aache kutumia mikorogo.hakuna michirizi ya unene
"Kidume dume" cjakuelewa Mkuu.Uandishi na masimulizi ya uzi wako yamekaa kidume kidume...
Hakuna muoaji hapo...anatafuta sababu ya kuingia mitini...kikubwa hyo dogo afanye mazoezi tuu hakuna namna..mengine ni kupoteza pesaWakuu habari za w,keend,
Wakuu naombeni ushauri juu ya huyu mdogo wangu,
Mdogo wangu ana mchumba wake ambae alishafanya proses zote za ndoa, ilibaki kumsubiri dogo amalize chuo wafunge ndoa.
Sasa tatizo limekuja mdogo wangu baada ya kumaliza chuo, amejiachia sana yaani kanenepa alafu kawa na michilizi kiunoni mpaka kwenye makalio na inavyoelekea inaendelea kumtoka maana anaviashiria kama inaendelea kumtoka hadi mapajani.
Sasa baada ya jamaa kumuona hivyo mchumba wake anamwambia jitahidi hiyo mistari ikutoke hangaika kama ni gharama nitalipia lakini hiyo mistari siitaki kuiona mbona wakati unasoma ulikua modo huna hiyo mistari kama ikishindwa kutoka mimi na wewe basi, mimi hiyo mistari inanitisha.
Dogo kanisimulia nikazani utani, kumbe jamaa yupo serious. Sijakaa vizuri huyu jamaa ambae ni shemu wangu akaniibukia mpaka Tanga. Anasema nipo serious na hii inshu jitahidi ukae na mdogo wako umsaidie apake dawa gani ili kuondoa hiyo mistari alafu ni mingi.
Wakuu dogo week ijayo anakuja kwangu nimsaidie maana mimi ndo dadaake mkubwa, alafu harusi ilipangwa mwezi wa na nane na jamaa kama hivyo haelewi somo.
Msaada please kuinusuru ndoa ya mdogo wetu.
Hauko sahihi sio kila mwenye michirizi ni ya mikirogo wengine miili yao inapoongezeka au kupugua ndio anakuwa na hiyo michirizi.
mimi nakula balaa nina kilo mia sina hata mchirizi mmoja .kuna kitu alipaka wewe ongea nae tu vizuriMbona ni brack beauty yaan ni mweusi my dear, cjui labda anavyopenda kula kula ovyo ndo imemsababishia hivyo.
Nataka akija nimpeleke gym ndani ya mwezi nione kama atabadilika
Point.....Embu mwambie muhudumu alete nyama choma hapo bili nitalipaMdogo wako kwenye hiyo ndoa atateseka sana maana kua na ndoa na mwanaume asiyekubali mapungufi ya mwili wako ni hatari sana, hata akijikondesha kabla ya ndoa ili michirizi imtoke akijifungua lazima itamrudia na lazima huyo mwanaume atamnyanyasa tu maana haikibali hali ya mwili ya mkewe mtarajiwa
Dats itNdo athari za kuzini kabla ya ndoa hizo, jamaa keshagegeda kakinai!!
Njoo pmWakuu habari za w,keend,
Wakuu naombeni ushauri juu ya huyu mdogo wangu,
Mdogo wangu ana mchumba wake ambae alishafanya proses zote za ndoa, ilibaki kumsubiri dogo amalize chuo wafunge ndoa.
Sasa tatizo limekuja mdogo wangu baada ya kumaliza chuo, amejiachia sana yaani kanenepa alafu kawa na michilizi kiunoni mpaka kwenye makalio na inavyoelekea inaendelea kumtoka maana anaviashiria kama inaendelea kumtoka hadi mapajani.
Sasa baada ya jamaa kumuona hivyo mchumba wake anamwambia jitahidi hiyo mistari ikutoke hangaika kama ni gharama nitalipia lakini hiyo mistari siitaki kuiona mbona wakati unasoma ulikua modo huna hiyo mistari kama ikishindwa kutoka mimi na wewe basi, mimi hiyo mistari inanitisha.
Dogo kanisimulia nikazani utani, kumbe jamaa yupo serious. Sijakaa vizuri huyu jamaa ambae ni shemu wangu akaniibukia mpaka Tanga. Anasema nipo serious na hii inshu jitahidi ukae na mdogo wako umsaidie apake dawa gani ili kuondoa hiyo mistari alafu ni mingi.
Wakuu dogo week ijayo anakuja kwangu nimsaidie maana mimi ndo dadaake mkubwa, alafu harusi ilipangwa mwezi wa na nane na jamaa kama hivyo haelewi somo.
Msaada please kuinusuru ndoa ya mdogo wetu.
Huwezi amini huyu jamaa ndo alie mtoa bikra Dogo, na akawa anamsomesha kwanzia mwaka wa pili hadi kamaliza Chuo. Na huyu jamaa anatokea huko Serengeti mkoa wa Mara yaan tumejaribu kumshauri haelewi na anampenda sna mchumbaake lakin hii michilizi ndo inamchanganya