The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,579
- 17,013
Kwani michirizi ndo inaolewa ndo madhara ya kufunuana kabla ya kuoana
mimi nakula balaa nina kilo mia sina hata mchirizi mmoja .kuna kitu alipaka wewe ongea nae tu vizuri
hata lotion za congo na ivory coast na chinaCream ndio zinatoa sn michirizi
kwani unene ndo unaleta mchirizi?Daah! Tutaachwa wengi kumbe!!! Ebu nizidishe mazoezi hii michirizi iondoke aisee!!!
Kweli kabisa!!! Atakua anamcontrol ata jinsi ya kutafuna!!! Yaani mtu anashindwa oa sababu ya michirizi tu!!! Huyo mdogo talaka itampata mapemaaa... Mwanaume sio mzuri huyoHuyo sio mume nakuambia mwambie dogo aachane nae. Hivo ni vitu vidogo kwenye ndoa kama ameshindwa hajakomaa kuoa. Asubiriwe akue.
Hapana ila inaambatana na unene mara nyingi...kwani unene ndo unaleta mchirizi?
Acha kujidanganya! Kuna unene wa asili na wa kula hovyo...kama ana unene wa asili kamwe hatapungua! Na kupunguza unene si issue ya mwezi mmoja...labda aende jeshini hapo sawa ila sio kwa gym hizi za mtaani!!Mbona ni brack beauty yaan ni mweusi my dear, cjui labda anavyopenda kula kula ovyo ndo imemsababishia hivyo.
Nataka akija nimpeleke gym ndani ya mwezi nione kama atabadilika
kwani unene ndo unaleta mchirizi?