Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

tunzeni bikra zenu kwa watu sahihi nyny wanawake mnapanuliwapanuliwa ovyo tu na watu washenzi washenzi then mnapigwa chini.......
 
Mwanamke asipokuwa na mistari hiyo sidhani kama naweza mpenda!

Hiyo ndo radha ya mwanamke kumbe wengine hawaipendi, ndo raha ya uumbaji kila mtu na kitu apendacho.
 
Salaam, moja ya dalili za "steroid excess production" whether endogenous or exogenous ni michirizi aliyo nayo Mdogo wako... Je,anatumia creams topically au systemically??
Nashauri aende Hosp,akutane na qualified Dr...ambaye atafanya vipimo baada ya kuongea naye. Michirizi yaani "striae" ni dalili tu,na kwamba underlying cause must be determined....japo na unene unachangia kwa sasa ya overdistension..... Pole sana,ila atapata msaada huko,asikate tamaa..
 
Hivi hio Michuzi sijui michilizi Haifikagi usoniii?
 
"wanaume sijui wanatakaga nini" kuna Dada nilimsikia akisema hivyo. Ila wanaume wa bara mnatuaibisha mistari ya utamu hamuitaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Veronica7598 Mwambie huyo mdogo wako akimbie wala asigeuke nyuma. Jamaa jinga kabisa, kama anaogopa kiasi cha kutaka kukimbia stretchmarks za kuongezeka uzito baada ya mimba atafanyaje?
 
Sisi tulio zaliwa zamani hua tunasema......
Asie kutaka hakutamkii, na Asiekupenda akosi sababu.
Pamoja na hayo......
Huyo shemela wako asitake kujifanya kama yeye ndie muumbaji, na bilashaka anafahamu kabisa kwamba hiyo michirizi hua haitoki kwa urahisi once ikisha anza kujitokeza.
Alafu.......
Hilo lijamaa yaelekea ni lishamba kabisa, maana wengine hiyo michirizi hutuongezea mzuka kila tunapo kuwa faragha....[emoji5] [emoji5]. Tunaiita michirizi ya utam....[emoji39] [emoji39].

Mkuu....
Ebu naomba namba ya huyo mdogo wako tafadhali....
 
hilo ndio tatizo kubwa la uchumba wa muda mrefu. Mtu anayaona mabadiliko ya ukuaji toka stage moja kwenda nyingine bado tu hajakuoa unategemea nini? Huyo sio muoaji angekuwa ameshamuoa halafu ndio michirizi imetokea ingekuwa vp? Halafu mwambie mdogo wako afanye mazoezi sio mtu ananenepeana tu kama kiboko hatakosa waoaji kwa kuendekeza limwili
 
Wakuu habari za w,keend,

Wakuu naombeni ushauri juu ya huyu mdogo wangu,

Mdogo wangu ana mchumba wake ambae alishafanya proses zote za ndoa, ilibaki kumsubiri dogo amalize chuo wafunge ndoa.

Sasa tatizo limekuja mdogo wangu baada ya kumaliza chuo, amejiachia sana yaani kanenepa alafu kawa na michilizi kiunoni mpaka kwenye makalio na inavyoelekea inaendelea kumtoka maana anaviashiria kama inaendelea kumtoka hadi mapajani.

Sasa baada ya jamaa kumuona hivyo mchumba wake anamwambia jitahidi hiyo mistari ikutoke hangaika kama ni gharama nitalipia lakini hiyo mistari siitaki kuiona mbona wakati unasoma ulikua modo huna hiyo mistari kama ikishindwa kutoka mimi na wewe basi, mimi hiyo mistari inanitisha.

Dogo kanisimulia nikazani utani, kumbe jamaa yupo serious. Sijakaa vizuri huyu jamaa ambae ni shemu wangu akaniibukia mpaka Tanga. Anasema nipo serious na hii inshu jitahidi ukae na mdogo wako umsaidie apake dawa gani ili kuondoa hiyo mistari alafu ni mingi.

Wakuu dogo week ijayo anakuja kwangu nimsaidie maana mimi ndo dadaake mkubwa, alafu harusi ilipangwa mwezi wa na nane na jamaa kama hivyo haelewi somo.

Msaada please kuinusuru ndoa ya mdogo wetu.
Acheni kuchezewa akili hivi huyo mwanaume yukoje?. Akilazimisha kuolewa naye atajuta hakika lipo jambo Mungu anamwepusha kuolewa na huyo mtu.
Mungu ni wa ajabu na katu mbinu zake za kutuokoa ni nyingi. Naapa huyo si muoaji, hizo ni biological change resulted from genetic system available to your young sister and you never remove it by external medical.
Atampata mwanaume wa maana kuliko huyo.Yajueni yaliyo mapenzi ya Mungu muyasitawishe acheni kusitawisha mapenzi ya kibinadamu.
Unampenda mtu kwa vile ni mwembamba ukimuoa akanenepa ina maana utamwacha. Au kwa vile ni mnene akikonda pia utamwacha.
Vunjeni kabisa hilo ni pepo la mwanaume na wewe dada mtu umejua vema bila aibu unatafuta dawa kwani huo ni ugonjwa?. Mungu anakuona.
 
Back
Top Bottom