Mdogo wake mke wangu anataka kunifuta machozi

Usisikilize maneno ya wanaokutia uoga....its a free pizza out of ur door...what are you waiting for??
 
MKEO ALISHAHISI HAYO UNAYOFANYA NDO MANA AMEPUNGUZA SPEED. JIANDAE KWA LAANA UKITEMBEA NA SHEMEJIO
Oyaaa alie sema nilaaana ninani kakwambia kumbuka bibilia noa na pia yakobu mchunga mifugo alie pewa Mtoto wa kwanza na alikua anataka wapili Baba akamwambia afanye kazi miaka tisa nyingine
 
Tupia kapicha ka mkeo ili tumjue na tumtonye arudi sasahv akufumanie. Ila da! Twende mbele turudi nyuma mashem wakati mwingine wanatega balaa!! tupiamo kapicha kake pia
 
Mi nimekuja kuuliza machozi yalikuwa mangapi na kama aliyafuta yote
 
Uliwahi kumweleza mkeo kero zake na kutafuta solutions kwanza?
 
Ndugu zangu,

Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.

Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.

Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.

Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.

NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI

kama hujui kutunga, search humuhumu JF zipo krapp kama hizo kibao uzikopi na kuzipesti tu

Grow up little poop
 
Sisi wana mahesabu husema K=Constant

i.e Utazunguka poooote, lakini K*** ni ile ile tu
But practically there is small k (kabla ya kubeba mimba) and capital K (baada ya kujifungua) ingawa theoretically K is constant
 
Ndugu zangu,

Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.

Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.

Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.

Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.

NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI
Siku machozi yakiamza kukutoka wewe usisahau mrejesho tu. Manake hakuna namna.
 
unataka hao ndugu wafarakane.?
kaa na mkeo myamalize ikishindikana yapeleke kwa wazee wenye hekima.
 
Ndugu zangu,

Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.

Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.

Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.

Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.

NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI
Kaka kula tu

Dunia ya leo mm cjui Mungu kaiandalia adhabu gani kwasababu yanayotendeka ni balaa!
Then, hivi wanaopenda kuomba ushauri juu ya kufanya uovu humu huwa wanawaza nn, inamaana pekeyako umeshindwa kudadavua kitu kidogo hivo? Tuliza akili na uone wapi ambapo ni chanzo cha kufifia kwa ndoa yako mkuu na ufanyie kazi. Usiitegemee jf Kama ndo solver wa matatizo ya ndoa yako
 
Akili ya huyu jamaa imehamia katika kichwa kidogo haisikii na haioni ishapumbazika
 
Ndugu zangu,

Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.

Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.

Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.

Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.

NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI
ili Uendelee kupata huduma nzuri.kama kawaida, ambazo umezimisi kwa mkeo, we kubali kuFutwa
machozi. Manake inaonekana hata mkeo naye anafutwa machozi sehemu.... Ila kumbuka sikuzote makosa yatatozwa. Na kila jambo lina repercussion zake.
 
Back
Top Bottom