Mdogo wake mke wangu anataka kunifuta machozi

Mdogo wake mke wangu anataka kunifuta machozi

Sasa Nje ya mada ndugu yangu na lakuvua suruali linahitaji ushahidi?kwanini asitafiti shida ya mwenzie kwanza?tabia mbaya hiyo kujiwazia peke ako!anamapungufu huyu ndio mana mwenzie anamnyima
 
Sasa Nje ya mada ndugu yangu na lakuvua suruali linahitaji ushahidi?kwanini asitafiti shida ya mwenzie kwanza?tabia mbaya hiyo kujiwazia peke ako!anamapungufu huyu ndio mana mwenzie anamnyima
Ni Kweli.. Ila inabidi wayatatue tu, na pia mda mwingine nyinyi ndio mnasababisha wanaume wajiwazie peke yao
 
Hapo unapakwa makamasi na shetAni mkimalizana jiandae kwa aibu kwani lazima mkeo ajue
 
Lazima mkeo aku-Mbashe kuwa umembaka mdogo wake....huo ni mpango/mtego ukijilengesha umekwenda na maji
 
Fanya hivi...usimle siku ambayo amepanga yeye...we vizia siku kajisahau msuprise "ni leo"...kisha nyang'anya simu na kila kitu,ukale mzigo hata kama ni mtego utakua ume u bypass
 
Mmmmmmh!!!!ngachoka mm!!!me wa karne hii masaburi style kufikiri hamna kitu kichwni!!!!!hta hili!!!!
 
Boss omba mke wako mke wako asiwepo jf, maana details za mwez mara mbili na mdogo wake yupo nyumban ni kujikamatisha tosha.. Shinda nafsi starehe ya dk 2
 
Mkuu huo naona ni mtego ila awa viumbe ni waajabu sana kweli imagene umeanza kumtafuna alafu unasikia mlango NGO ngo NGO unafungua unakuta wife naona kama move ivi daha ebu subilia tuone kitakacho tokea jiami kwanza
Huyu yupo ndani kwake,akifungua kama wife breki ya kwanza chumbani kwake teh teh teh!
 
Kumbuka na angalia ulichokijenga kwa miaka 10 unaweza kukipoteza kwa dk 1.
Ongea na wife ujue tatzo nini labda kuna vitu hauko sawa au yy hayuko sawa mrekebishe.
 
Back
Top Bottom