Mdogo wake mke wangu anataka kunifuta machozi

Mdogo wake mke wangu anataka kunifuta machozi

Ndugu zangu,

Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.

Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.

Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.

Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.

NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI
Uliletwa uzi humu usemao ONYO: usioe mwanamke msomi.........................
 
Hivi unawazimu au??? unataka kumla mdogo wa mkeo kwenye kitanda chake? chineke!!
 
Kila kitu ni maamuzi kama hujaamua kuwa mwerevu maana yake umeamua kuwa mjinga

shemejiii

Shem lipo pretty pretty

nalitega shem shem linategeka

shem linaombeka

shem kudadadeq

Wee shemeji aa shemeji we shemlake
Hahahaha
 
UNAINGIZWA CHAKA.TEGO HILI ILE UNAANZA TU......
 
Hivi nyinyi kizazi cha siku hizi hizo jinsia mlizopewa ni za kiume tu au?

Vichwa vyenu vina matumizi gani? Kufugia nywele????

Hovyo kabisa
 
Mkuu huo mtego, mtt wa kike akimtokea mwanaume huwaga simuamini kabisa!

Kwa leo mpotezee, msubirishe km miez miwili hivi, halafu ndo hiyo process iendelee, km utapenda!
 
MKEO ALISHAHISI HAYO UNAYOFANYA NDO MANA AMEPUNGUZA SPEED. JIANDAE KWA LAANA UKITEMBEA NA SHEMEJIO
 
Ndugu zangu,

Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.

Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.

Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.

Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.

NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI

Huooo mnziiii...huo mnaziiiiiiii.....

huo mtendeeee....huo mtendeeeee
 
Mkuu huo naona ni mtego ila awa viumbe ni waajabu sana kweli imagene umeanza kumtafuna alafu unasikia mlango NGO ngo NGO unafungua unakuta wife naona kama move ivi daha ebu subilia tuone kitakacho tokea jiami kwanza
 
Mchonvye huyo acha ubwege.

Hakikisha milango yote unafunga wewe Leo.. Usimpigie kitandani kwako, nenda kwake..

"Kamua Baba Kamua.. Kamua wala usitumie hirizi"
Usimuingize kingi huyu Bwegeh mtoa mada,mi namwita bwegeh kwa sababu inaonesha ameshindwa kabisaaa kupambana na changamoto za ndoa yake,angekua mwanamke hapa angeshambuliwa sana kwa maneno ya kejeli,huyu ashambuliwe tu ,maana anaelekea kubomoa kabisa ndoa hiyo
 
Huyo unamuinamisha kitchen kimoko Tu halafu hamna mazoea.Kisha unakuwa mkali mpaka anakuogopa huku ukifanya utaratibu WA kurudisha penzi la wife.
 
Back
Top Bottom