Mdogo wake mke wangu anataka kunifuta machozi

Mdogo wake mke wangu anataka kunifuta machozi

MKEO ALISHAHISI HAYO UNAYOFANYA NDO MANA AMEPUNGUZA SPEED. JIANDAE KWA LAANA UKITEMBEA NA SHEMEJIO
Kuna yule mwingine nae ana uzi wake hapa kisa mkeo hatak watembee pamoja barabarani nae anataka kumkaza shemejiye,,
 
Safari yenu bado ni ndefu sana mtakumbana na vikwazo
Zaidi ya hicho.

Mkalishe mkeo chini mwondoe tofauti zenu watoto bado wana wahitaji

Kutembea na mdogo wake hakutotatua tatizo bali kutaongeza tatizo. Amani iwe nanyi
 
Huyo unamuinamisha kitchen kimoko Tu halafu hamna mazoea.Kisha unakuwa mkali mpaka anakuogopa huku ukifanya utaratibu WA kurudisha penzi la wife.
Kula tano jeshi.. Ushauri murua kabisaaaaa
 
Hili pepo lina nguvu sana tuliache tu lifanye yake
huko ni ku-underestimate nguvu ya maombi...hebu anzisha pambiao nifanye yangu...hawezi kunishinda huyu....efrakata boyengote kwitare nyanguge tokaaaaaaaaaaa....
 
Ndugu zangu,

Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.

Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.

Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.

Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.

NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI
Ibirisi shetani amesimama anahakikisha ndoa yako inasambaratika kuwa makini kugundua nyendo zake.
Utakuja jikuta unalea wanao peke yako.
Na kuangukia kwenye jahanamu ya moto.
 
Ndugu zangu,

Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.

Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.

Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.

Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.

NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI
Aisee mtego huo usikubali
 
Hii ni kama Maalim Seif na Hatma ya uchaguzi wa Zanzibar!!
 
Aaahh!! Aahh!! Jamaa Hayupo Siriasi...Hivi Kwel Ajui Kma Ni Msala Au Masihara Haya...???
 
Mchonvye huyo acha ubwege.

Hakikisha milango yote unafunga wewe Leo.. Usimpigie kitandani kwako, nenda kwake..

"Kamua Baba Kamua.. Kamua wala usitumie hirizi"
Mkuu pokea tano,wewe ndio uliemshauri mtoa mada kwa busara na hekima kubwa sana,ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom