Mdogo wake mke wangu anataka kunifuta machozi

Mdogo wake mke wangu anataka kunifuta machozi

Mchonvye huyo acha ubwege.

Hakikisha milango yote unafunga wewe Leo.. Usimpigie kitandani kwako, nenda kwake..

"Kamua Baba Kamua.. Kamua wala usitumie hirizi"
hahaha... akamue kwa uwezo, sio?..

lakini awe makini sana...yaweza kuwa ni mtego

anapokamua aende chumbani kwa shemejie ama hata nje huko gest...vinginevyo utam unaweza katishwa njiani...
 
Inakuwaje we hujui mkeo analala msibani ila shemejio ndo anajua. Kwanini mke wako ameshindwa kukueleza hilo? Tafakari halafu chukua hatua.
da!!!!, umeongea point muhimu sana...kama kuna msiba jamaa anafaham, na mkewe alipaswa kumjulisha pia ya kwamba atalala hapo...

ila Mi naona bora amkaze tu huyo shemejie....maana ametaka mwenyewe,

Inabidi amkaze kisawasawa...akamsimulie dadaake...
 
da!!!!, umeongea point muhimu sana...kama kuna msiba jamaa anafaham, na mkewe alipaswa kumjulisha pia ya kwamba atalala hapo...

ila Mi naona bora amkaze tu huyo shemejie....maana ametaka mwenyewe,

Inabidi amkaze kisawasawa...akamsimulie dadaake...
Kuna mawili kati ya haya.
1. Ni mpango na dadake ili jamaa aonekane kalala na shemejie ili mwanamke awe na justification.inavyoonekana huyu mke hampendi mume tena. Ila itakuwa mbaya kwa mdogo mke kama kweli wamepanga maana itamuachia doa.

2. Huyu mdogo mke keshaona gap lililopo kati ya dada yake na mume. Naye amekuwa akitamani hiyo nafasi na anaona ndo wakati mwafaka.

Hilo la pili nalipa nafasi kubwa na kama ikiwezekana ampitie tu kumaliza mzizi wa fitina. Hana haja ya kumtunzia mke wakati hapendeki.
 
Sisi wana mahesabu husema K=Constant

i.e Utazunguka poooote, lakini K*** ni ile ile tu
Hii constant nlijikuta physics na chemistry.... Pendulum bob ikininginizwa una assume gravitational force is constant hahahaaa... Haibadiliki hiyo kitu maisha
 
Ndugu zangu,

Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.

Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.

Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.

Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.

NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI
mlambe
 
Tabia ya hayo mambo huwa hayaonagi aibu! ata mama mkwe utakuja kumtaka tu!. Tamaa ya hayo mambo ikikujaa; utadhani chizi si chizi!, tahira si tahira!. Duh!, kama ni tabia yako we endelea. Adha waidhi Kemea pepo maana hujaoa familia yote! ajue mipaka yake na ajiheshimu. Mbona vijana wengi kule wanamtaka au anataka wabanane na dada ake!
 
Kuna mawili kati ya haya.
1. Ni mpango na dadake ili jamaa aonekane kalala na shemejie ili mwanamke awe na justification.inavyoonekana huyu mke hampendi mume tena. Ila itakuwa mbaya kwa mdogo mke kama kweli wamepanga maana itamuachia doa.

2. Huyu mdogo mke keshaona gap lililopo kati ya dada yake na mume. Naye amekuwa akitamani hiyo nafasi na anaona ndo wakati mwafaka.

Hilo la pili nalipa nafasi kubwa na kama ikiwezekana ampitie tu kumaliza mzizi wa fitina. Hana haja ya kumtunzia mke wakati hapendeki.
Nakubaliana na wewe mkuu....Jamaa awe makini sans na uamuzi ataochukua...vinginevyo ndoa yake inaelekea kufikia ukomo....

Mungu amuepushie hayo majaribu....
 
Achana na hayo mambo wewe

Jibidiiishe na kazi zako

Kama yeye anakupotezea na wewe mpotezee
 
Ondoa hofu, we mle tu... unaweza kuta wife kaongea na dogo lake ampige tafu akiwa huko msibani we usibaki mpweke ukizingatia hajakupa mda mrefu.
 
Kwa hiyo this is your short term plan ya kumtafuna shemejio na mipango ya muda mrefu ikoje?au kumchukua shemejio jumla?awe mwanaume unaetudhalilisha wanamume wenzio amka.
 
Shetani shindwaaa, koma kabisa.... Mambo haya yanazungumzika, ongea na mkeo ona tatizo ni nini tena kulikoni..! Je anaumwa au ni kitu gani? Bado hujachelewa sana, ongea naye ujue shida yake. Pia, chunguza isije kuwa kapata njemba inamtosheleza kisawasawa na kuona sasa wewe hufai kitu tena hasa kama kakutana na aliyembikiri enzi hizo halafu wakakumbushia looooo inakuwa tabu sana. Kwa upande mwingine yaweza kuwa ni spiritual attack you all know what I'm talking about. Kuwa na subira, mshirikishe Mungu utashinda ni majaribu tu ya ndoa. Achana na wanaokushauri kutekeleza hilo unalotaka kulifanya litakutokea puani.
 
HIV hii story haina mrejesho maana ilishiaga dada atalala msiban mkuu vp hakulala nn msiban
 
Mrejesho hakuna jamaa itakuwa kesha piga mzigo halafu imebuma wife kastukia mchezo.
 
HIVI KWANZA UNAO UMRI GANI ? UKISIKIA KUNA WAKWARE ! NDIO KAMA WEWE !
Ndugu yangu usithubutu kufanya jambo hilo litakudhalilisha wewe pamoja na wazazi wako kwa wazazi wenziwe acha kabisa mpango huo utaiteketeza familia yako kaka
 
Kama shemeji kaumbika vizuri mkule tu mana hamna namna, ila kama mbaya mteme atakuharibia CV
 
Back
Top Bottom