Mdogo mdogo dini zitakosa wafuasi

Mdogo mdogo dini zitakosa wafuasi

Hujajibu swali langu

Then, inawezekana hicho unachokiabudu hukijui wala hakikujui
Na Wala sikihitaji kinijue, kwani Mimi ndio maana yenyewe ya Mungu. Nyie vipi????eti nyoka wanaongea, Mara tunda la katikati,kadanganyeni watoto
 
huwezi kumthibitisha Mungu kwa kumshika, kikubwa unatakiwa utambue na uamini moyoni mwako kwamba, kuna nguvu iliyo nje ya uwezo wako, nguvu ya asili ambayo ni MUNGU mwenyewe
Asante,Tena jiandaeni, nasi wapagani tutafungua hekalu letu la ibada asilia, tushawachoka Hawa ndugu vichwa maji waabudu wayahudi
 
Mungu ni mwema niko na afya na mwenye nguvu, nakusalimuni nyote popote mlipo, amani iwe nanyi.

Naona mdogo mdogo watu wameanza kustuka kuhusu hizi dini, kwamba michango imekuwa mzigo makanisani, mpaka mtu unaogopa kwenda km huna hela,

Sadaka tu vikapu kibao, na amini si muda mrefu kutoka sasa itachukua watu watakuwa wameelewa kwamba dini zilikuja kwa makusudio Fulani kwa faida za watu au kikundi Fulani.

Wale wote ambao walisha shtukia dili za hawa watu nakuombeni tuendeleee kuuambia ulimwengu juu ya dini, kwamba dini ni biashara km biashara zingine tu

Dini sio Mungu na Mungu sio dini,

Dini ilikuwa ni mawazo ya watu tu kuhusu Mungu.

Chukueni hatua
Asante kwa mada nzuri
 
huwezi kumthibitisha Mungu kwa kumshika, kikubwa unatakiwa utambue na uamini moyoni mwako kwamba, kuna nguvu iliyo nje ya uwezo wako, nguvu ya asili ambayo ni MUNGU mwenyewe
Ukishaamini kwamba juu ya mlima Kilimanjaro kuna mchaga ana jicho moja anagawa pesa...hyo ndio itafanya awepo?

Nachofurah umeanza kujielewa kuwa dini tumeletewa muda si mrefu mawazo yako yatapanuka zaidi
 
Ukishaamini kwamba juu ya mlima Kilimanjaro kuna mchaga ana jicho moja anagawa pesa...hyo ndio itafanya awepo?

Nachofurah umeanza kujielewa kuwa dini tumeletewa muda si mrefu mawazo yako yatapanuka zaidi
Dini tumeletewa sio Imani, najitambua, nishafunguka, Mimi ndio ile maana....
 
Bila hizo dini story za Mungu mngezijulia wapi? Pumzi yangu ikikata itamaanisha mungu hayupo?
Dini haitakufanya wewe umwone Mungu, sahau

Ili siku moja ufike kwa Mungu watakiwa ufanye hata:
1. Uamini akilini mwako kwamba kuna nguvu iliyo nje ya uwezo wako

2. Hakikisha unachukia na kuachana na uovu wote maishani mwako

3. Tenda haki, simamia haki, tetea haki kwa nguvu zako zote maishani mwako

4. Wapende binadamu wte bila ya kuwabagua na uwe tayari kuwasaidia pahala unapojiweza

5 na mwisho, ipende kazi na uifanye kwa bidii kuhakikisha unaifanya dunia hii kuwa makao ya wanadamu, kupitia kazi ya mikono yako Mungu atakubariki
 
Kanisa moja nilitembelea kulikuwa na changizo wengi walitoa ahadi za mapesa na wengine wakatoa live wengi tuliwapigia makofi na kushangilia kw jinsi ahadi zilivyokuwa zilkitolewa ndg mmoja akatoka mbele akasema yeye atajitolea kufunga na kuomba ili watu wote walitoa ahadi wafikie malengo yao I'll kazi ya Mungu isikwame mchungaji akasema hapa hakuna maombi Wala Nini hapa ukisimama ni hela ama ahadi ya hela tu...! Ajabu yule mtu hakupigiwa makofi Wala kushangilia! Ndiko tulikofika
Kufunga na kuomba ni wajibu wake, yaani apigiwe makofi kwa kutimiza wajibu wake. Waliotoa pesa walipigiwa makofi maana walifanya zaidi ya wajibu
 
Me mwenyewe niliacha kusali sabatoni sababu ya sadaka kuzidi kiwango eti wakanifuta ushiria, kwa hasira nikaoa mwanamke wa kiislamu mwenye watoto wawili sina masiala na uzidishwaji wa sadaka mie.
Sasa hivi unalia
 
Sisi tilio wa kristo akaaa hilo janga halituhusu
 
Mkuu dunia inabadilika kila Leo, utani ulonitania hauna mantiki
allaa kumbe unakwenda na mabadiliko sasa hoja yako uifute mara moja!!na wala sijakutania bali unaonekana bado ni mchanga kuweza kusimamia hoja!huku unazidi kupotea.rudi kundini!
 
Back
Top Bottom