Mdogo mdogo dini zitakosa wafuasi

Mdogo mdogo dini zitakosa wafuasi

Kuna msemo wanasema kutoa ni moyo sio utajiri. Sidhani kama unapangiwa kutoa sadaka. Wewe just chenji buku, weka shilingi mia mia na hamsini hamsini, then ikifika muda wa sadaka unaweka tu bila kuuliza
Hii ndiyo hekima aliyoikosa mleta mada.sitakosa kwenda mbele za Mungu wangu kumuabudu kwa sababu nimekosa sadaka
 
Mungu ni mwema niko na afya na mwenye nguvu, nakusalimuni nyote popote mlipo, amani iwe nanyi.

Naona mdogo mdogo watu wameanza kustuka kuhusu hizi dini, kwamba michango imekuwa mzigo makanisani, mpaka mtu unaogopa kwenda km huna hela,

Sadaka tu vikapu kibao, na amini si muda mrefu kutoka sasa itachukua watu watakuwa wameelewa kwamba dini zilikuja kwa makusudio Fulani kwa faida za watu au kikundi Fulani.

Wale wote ambao walisha shtukia dili za hawa watu nakuombeni tuendeleee kuuambia ulimwengu juu ya dini, kwamba dini ni biashara km biashara zingine tu

Dini sio Mungu na Mungu sio dini,

Dini ilikuwa ni mawazo ya watu tu kuhusu Mungu.

Chukueni hatua

Uzi Kama hizi unanikumbusha member mmoja anafahamika kwa jina la kiranga
 
Me mwenyewe niliacha kusali sabatoni sababu ya sadaka kuzidi kiwango eti wakanifuta ushiria, kwa hasira nikaoa mwanamke wa kiislamu mwenye watoto wawili sina masiala na uzidishwaji wa sadaka mie.
 
jitu kama ww utofautiani na ngombe!!maana hajitambui ametokea wapi na hajui anakwenda wapi.so tafakary chukua hatua!.
Najitambua kuliko unavyo dhani

Natambua kuwa nilizaliwa

Natambua kuwa sasa ni MTU mzima mwenye akili timamu

Natambua kuwa hapa nilipo ninawajibu wa kuitanya dunia na Tanzania kuwa pahala salama pa kuishi wanadam

Natambua kuwa natakiwa niipende kazi na niifanye kwa bidii, kupitia kazi ya mikono yangu Mungu atanibariki

Natambua kuwa ktk huu utuzima wangu nina wajibu wa kuwasaidia na wengine ninapojiweza,

Ninatambua kuwa kwa siku zangu zote ninawajibu wa kusimamia na kutetea haki maishani mwangu mwote

Zaidi sana

Natambua kuwa mwisho wa siku nitaondoka hapa duniani
 
Ni kweli mimi nina miaka kadhaa sikanyagi nyumba yoyote ya IBADA kwa ajili ya maudhi ya Viongozi wa dini ndani nyumba hizo za ibada haiwezekani leo sadaka itolewe wazi wazi huku waumini wakipiga makofi au Furaha, Yani ni Panakera kabisa Ukiwa na Hela nyumba za Ibada ni rafiki ila Fulia sasa hapafai kabisa
Ooooh viongozi wanaangalia waumini mwenye mkono mrefu

Km elfu kumi inakushinda wala ahangaiki na we

Hata km una mgongwa unahitaji msaada wake utqpiga simu mpaka ukome
 
mtoa mada ungekuwa ulaya ungekuwa mbali sana,

watu dini tumeletewa lakini tulivo bize hadi WARABU NA WAZUNGU wanashangaa,

juzi kati nlikutana na binti wa Ki-Dutch tulikuwa tunabadilisha mawazo nikamuuliza huko kwao dini wanaichukuliaje?

akadai kwao wanajali kazi zaidi kwanza, swala la kwenda church inabaki ni imani kwa mtu, uende usiende hakuna anayekuuliza,

ila ameshangaa sana hapa TZ watu walivo makini na dini kuliko kazi,
Mkuu kwanza dini zinafanya watu wawe wavivu,

Km unaambiwa usiyasumbukie ya dunia yatajisumbukia yenyewe maana yake nn

Unaambiwa Mali na fedha za dunia uzihesabu km mavi, utapata wapi muda wa kuhangaika kuzitafuta?

Unaambiwa usihangaike na kesho itajihangaikia yenyewe
 
Kama kwel unamtafuta Mungu aliye mkuu michango sio tatizo Mungu huwa anaonekana sana katka utoaj kwa sababu yeye Mungu mwenyew natural yake n utoaj huwez kubalikiwa kama sio mtoaj tatizo watu weng wanaenda makanisani sio kwa ajil ya kumtafuta Mungu ndio wakisikia michango wanaona sio sawa
Sadaka iliyo kuu ya kumtolea Mungu

Ni

Kuachana na Maovu na kusaidia wasiojiweza

Zaidi ya hapo mbwembwe tu
 
Ndugu kama unaona unakwazika na kutoa ktk kanisa lako, acha kwenda au kutoa ila usiaminishe wengine upumbavu wako.

Kumbuka kuna majengo ya makanisa kama vile ya Catholic na Lutheran (sio vile vikanisa/vioski vya watu binafsi) unasali au kupata huduma mbalimbali yalijengwa kwa michango ya watu kama mie na wewe kwa kujitolea. Sasa kama unaona kuchanga ni mateso kwako acha na ishi utakavyo hulazimishwi.
Mkuu heshima kwako

Catholic na Lutheran nawaelewa sana,

Walau wao michango yao inafaida
 
Kanisa moja nilitembelea kulikuwa na changizo wengi walitoa ahadi za mapesa na wengine wakatoa live wengi tuliwapigia makofi na kushangilia kw jinsi ahadi zilivyokuwa zilkitolewa ndg mmoja akatoka mbele akasema yeye atajitolea kufunga na kuomba ili watu wote walitoa ahadi wafikie malengo yao I'll kazi ya Mungu isikwame mchungaji akasema hapa hakuna maombi Wala Nini hapa ukisimama ni hela ama ahadi ya hela tu...! Ajabu yule mtu hakupigiwa makofi Wala kushangilia! Ndiko tulikofika
Akimaliza kudai hizo pesa, Baadae anawageuka na kuwaambia usijilbikizie Mali maana tajiri hatouona ufalme wa Mungu
 
Me mwenyewe niliacha kusali sabatoni sababu ya sadaka kuzidi kiwango eti wakanifuta ushiria, kwa hasira nikaoa mwanamke wa kiislamu mwenye watoto wawili sina masiala na uzidishwaji wa sadaka mie.
Hahahahaha kila siku unaliwa wewe tu, ukaona isiwe tabu
 
Me cjaelewa pcha kakaa na gongo zen maaelezo anatembea but mungu amfanyie wepesi arud katika hali yake yakawaida kwan mwenyez mungu katukataza uadui baina ya wanadamu hata kama tunatofautiana itikadiii
 
Najitambua kuliko unavyo dhani

Natambua kuwa nilizaliwa

Natambua kuwa sasa ni MTU mzima mwenye akili timamu

Natambua kuwa hapa nilipo ninawajibu wa kuitanya dunia na Tanzania kuwa pahala salama pa kuishi wanadam

Natambua kuwa natakiwa niipende kazi na niifanye kwa bidii, kupitia kazi ya mikono yangu Mungu atanibariki

Natambua kuwa ktk huu utuzima wangu nina wajibu wa kuwasaidia na wengine ninapojiweza,

Ninatambua kuwa kwa siku zangu zote ninawajibu wa kusimamia na kutetea haki maishani mwangu mwote

Zaidi sana

Natambua kuwa mwisho wa siku nitaondoka hapa duniani
alaah kumbe unatambua kua utaondoka duniani safi sana!ma unatambua kua ulizaliwa!sasa ujeury na kiburi zote unazipata wapi?basi kama hufanani na ngombe tafakari je hally hii imesababishwa na kitu gani?kwanini tusiishi milele?[emoji2]
 
alaah kumbe unatambua kua utaondoka duniani safi sana!ma unatambua kua ulizaliwa!sasa ujeury na kiburi zote unazipata wapi?basi kama hufanani na ngombe tafakari je hally hii imesababishwa na kitu gani?kwanini tusiishi milele?[emoji2]
Jeuri ipi unayo iongelea?
 
Back
Top Bottom