habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
- Thread starter
- #61
Kwani wewe dini unaichukuliajekuhusu dini
Kwani wewe dini unaichukuliajekuhusu dini
kama mimi muislam basi dini yetu ni mfumo mzima wa maisha.Kwani wewe dini unaichukuliaje
Wakoloni wqlituletea dini ili watutawale, na wamefanikiwakama mimi muislam basi dini yetu ni mfumo mzima wa maisha.
KweliMkuu unafikiri sana
Heshima kwako
Sijawahi kulijua hili
Huitaji dini kumjua Mungu, anakaa moyoni mwakoUlijuaje kama kuna Mungu bila kupitia hizo dini?
labda nikutanue kidogo!tumeumbwa rangi tofauti na mataifa tofauti na rangi tofauti ili tutape kutambuana!na haiwezekani wote tukawa matajiri!so kuletwa dini na wenzetu sio sababu ya ww kutoamini!mfano leo ww unavaa nguo wakati kiasili lubega ndo zilikua mavazi yetu!unatumia smart phone na kadhalika!so ndo maana nasema usijinasibishe na ngombe!.Wakoloni wqlituletea dini ili watutawale, na wamefanikiwa
Tundu007 dini ni utaratibu wa watu tu walojiwekea jinsi ya kumwabudu Mungu
Dini sio Mungu na Mungu si Dini
Ndio maana kuna dini nyingi na kila dini INA utaratibu wake wa kuendesha ibada zao
Hakuna cha dini ya kweli wala ya haki,
AibuAkimaliza kudai hizo pesa, Baadae anawageuka na kuwaambia usijilbikizie Mali maana tajiri hatouona ufalme wa Mungu
Kujua uwepo wa Mungu hakuhitaji dini,Ulijuaje kama kuna Mungu bila kupitia hizo dini?
Wizi mtupuWakoloni wqlituletea dini ili watutawale, na wamefanikiwa
Tundu007 dini ni utaratibu wa watu tu walojiwekea jinsi ya kumwabudu Mungu
Dini sio Mungu na Mungu si Dini
Ndio maana kuna dini nyingi na kila dini INA utaratibu wake wa kuendesha ibada zao
Hakuna cha dini ya kweli wala ya haki,
Asante nduguNatambua kuwa hapa nilipo ninawajibu wa kuitanya dunia na Tanzania kuwa pahala salama pa kuishi wanadam
Unaweza kuthibitisha kwamba Mungu yupo moyoni mwako?Huitaji dini kumjua Mungu, anakaa moyoni mwako
Asante ndugu,Me mwenyewe niliacha kusali sabatoni sababu ya sadaka kuzidi kiwango eti wakanifuta ushiria, kwa hasira nikaoa mwanamke wa kiislamu mwenye watoto wawili sina masiala na uzidishwaji wa sadaka mie.
Mkuu dunia inabadilika kila Leo, utani ulonitania hauna mantikilabda nikutanue kidogo!tumeumbwa rangi tofauti na mataifa tofauti na rangi tofauti ili tutape kutambuana!na haiwezekani wote tukawa matajiri!so kuletwa dini na wenzetu sio sababu ya ww kutoamini!mfano leo ww unavaa nguo wakati kiasili lubega ndo zilikua mavazi yetu!unatumia smart phone na kadhalika!so ndo maana nasema usijinasibishe na ngombe!.
Bila hizo dini story za Mungu mngezijulia wapi? Pumzi yangu ikikata itamaanisha mungu hayupo?Kujua uwepo wa Mungu hakuhitaji dini,
Kuna mengi yanajieleza yenyewe hususani pumzi yako mwenyewe
Kumbe we ulifunzwa Mungu kupitia dini???? Pole wenzio tuna dini na imani zetu told enzi naenzi, sio kurani Wala biblia katiba zetu,Bila hizo dini story za Mungu mngezijulia wapi? Pumzi yangu ikikata itamaanisha mungu hayupo?
Vipi walikubatiza na kukupa jina jpya....na ngozi je walikupa nyeupeeee!!!!Bila hizo dini story za Mungu mngezijulia wapi? Pumzi yangu ikikata itamaanisha mungu hayupo?
Unadunda au vipi? SI kwa mujibu wa biblia Wala kurani, kabla ya vitabu hivyo Mimi nikoUnaweza kuthibitisha kwamba Mungu yupo moyoni mwako?