Mdau mwenzetu W. Malecela anapodhalilishwa na vyombo vya habari tumsaidiaje

Kwa vyovyote vile kasi anayoenda nayo william john Malecela Le Mutuz the Big shoow si nzuri inamdhalilisha na kumuondolea heshima yeye binafsi, mkewe,familia yake na hata chama chake! Nakushauri ndugu yangu William kwa harakati unazofanya za kisiasa ujiepushe na mambo madogo madogo ya kitoto na ya kujidhalilisha ili uweze kufikia malengo yako.

Rai yangu kwako ni kutumia muda wako mwingi kujipanga vizuri katika kufikia malengo yako ya kisiasa lakini mara umepiga picha na mrembo wa Ukonga,mara ujinga mwingine kama huo havitakusaidia katika kufanikisha ndoto zako kisiasa. Ni hayo tu kwa leo.

Naomba kuwasilisha
 
Last edited by a moderator:
Sasa unatakaje?
1. Hizo picha kapiga mwenyewe, na mtandaoni kaweka mwenyewe
2. Yeye kama yeye anapenda picha zake, ndio maana kaziweka mtandaoni
3. Nani kakwambia kua anahisi kadhalilishwa? Au wewe umeongea nae?
4. Unafikiri tungemsaidiaje mfano? tususe kununua gazeti hilo? tuwashtaki?
5. Mwenyewe W. J. Malecela kasemaje? Mbona kachukulia poa tu?

Ingia kwenye link hii post # 156 mtayapa majibu ya William short & clear wala msipote muda wenu.
William Malecela na Ajali za Kisiasa

Ndio maana nimesema, kwani yeye kalalamika lolote?
kaomba msaada wowote hadi CS aulise tumsaidieje?
Just let the man be! It is his lifestyle and he likes it.

Jamani naomba kuwashauri nyie ndugu zangu

Hamtakiwi kuonyesha hisia baina yenu kwani Mwali ni referee katika mdahalo ujao

Naanza kukosa imanu kutakua na upendeleo cku hiyo
 
Last edited by a moderator:

MTOTO.jpg
.
ha!haa!haha!haaaaa!ha!ha?ha
Pozi lake tu jamaa akipiga picha na shore lazima amwinamie kidogo,lazima amwekee shingo/shavu. Kama hiyo moja naona kijana hadi kaamua kurembua macho kwa jinsi alivyokolea. Ha ha haaaaaa! Le mutuz! Le baharia wa nchi kavu! Le baharia wa kwenye lami@ matonya city@kivukoni@ ny city
Le big shoooooooooow!
 

MTOTO.jpg
Wadau wengi hapa JF tunamfahamu kutosha William Malecela kwa michango mizuri na kuleta mada za udadisi katika kujenga jamii yetu. Ni mdau mwenzetu na ni mmja kati ya wadau wa mwanzoni kabisa waliojitahidi kuchangia mada mbalimbali hapa Jamii forums.

Uvumilivu wake katika kujadili mada pamoja na kuonyesha ustahimilivu hata tunapomkosoa au kuwa kinyume cha itikadi anazoamini ambayo ni haki yake ya free speach ni funzo tosha wangu na kwa wengi.

Kilichonishtua ni Gazeti moja hilo pichani kuweka habari ambazo sidhani kama yeye binafsi zitamfurahisha pamoja na familia yake. Kwa walio karibu naye wajaribu kumpa moyo na subira kwani maisha ni safari na binadamu ni kinyonga, kwani akiwa na sikio sikivu ipo siku magazeti haya haya yataandika mazuri tu juu yake.

Tukumbuke ameshapata nafasi kadhaa katika Chama cha Mapinduzi kuwa mwakilishi na vyeo vingine na bado anatarajia kupanda taratibu, mambo kama haya nisingefurahia kutokea kwake kwani yanaweza kuwa kihuzi katika kupanda hatua nyingine zaidi kufikia matarajio yake. Papo kulinda heshima ya jna la Malecela John.
Sijaona udhalilishaji katika hili. Mimi ningefikiri huyo 'mtoto wa malecela' ndiye angepaswa kulilipa hilo gazeti (au huenda amelilipa iili kutoa picha hizo!) kwa kumpatia publicity ambayo ni wazi anaihitaji.
 
Le Mutuzzzz ze Celebrity ..sio mbaya Jamii kujua Personal za watu wa Dizaini hii...kama tunavojua akina jayz,Kims,Russel,na Mapedeshee na Bongo Movie wa Mjjini...Hajadhalilishwa...He choose that life..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
William, ni wewe uliyeniambia sijui politics za bongo?

Granted bongo tabloids ni hounds zinazoweza kukuza picha iwe kama umetoka na wote hao, which is despicable, but you should know that already.

Au ndo ushaamua "kuuza sura"?

Tabloids : Stay off his dyck.Hata udaku kuna mwingine lazy.
 
Na Sifael Paul
WILLIAM Malecela a.k.a Le Mutuz ambaye anatajwa kuwa ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe Bongo, John Malecela ambaye anadaiwa kuwa ni funga kazi kwa kupenda kupiga picha na wanawake wazuri kila anapokuwa, Amani limemfuatilia hatua kwa hatua na sasa linafunguka.
Kwa mujibu wa ‘mapicha' yake mazuri yaliyopo mitandaoni, asilimia 90 zinamuonesha Le Mutuz akiwa na wanawake wazuri wa kada mbalimbali.

WAMO MASTAA
Mbali na wanasiasa wenzake, Le Mutuz aliyegombea ubunge wa Afrika Mashariki kwa leseni ya CCM hivi karibuni lakini kura hazikutosha, anaonekana kwenye picha nyingi zisizo na idadi akiwa na mastaa mbalimbali wakiwemo waigizaji na wanamuziki wenye majina makubwa Bongo.

NI KILA MAHALI?
Katika picha hizo, Le Mutuz anaonekana akiwa sehemu mbalimbali hasa kwenye kumbi za starehe, baa, migahawani, viwanjani, nyumbani na ufukweni, vyote jijini Dar es Salaam.

ETI NI MAMBO YA ‘KUTOKLEZEA'
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Le Mutuz, jamaa huyo mwenye ‘sivii' ya kuishi nchini Marekani kwa muda mrefu amekuwa akiwakaribisha warembo hao kwenye mtandao wake (jina tunalo) kwa kutundika picha hizo na kuwataka waingie humo kujiona ‘walivyotoklezea'.

BAADHI YA MASTAA NI HAWA
Baadhi ya mastaa wanaoonekana na ‘mutu mukubwa' huyo na kusababisha minong'ono kwa kuwa zina mapozi tata ni pamoja na Wema Isaac Sepetu, Jacqueline Wolper Masawe, Jokate Mwegelo, Miss Tanzania 2011, Salha Israel, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee' na warembo wengine ‘kibwena' wasiokuwa na majina.

WAMO MARAFIKI WA FACEBOOK
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, inaelezwa kuwa, Le Mutuz huwa anawasiliana na warembo ambao ni marafiki zake katika mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo hukutana nao na kupiga picha ili kuziweka mtandaoni kwake.

MSHANGAO!
Kwa mujibu wa maoni ya watu wanaotembelea mtandao wake wanashangazwa na ishu hiyo huku wakihoji mbona anafanya na mademu tu, tena wazuri?

LENGO NI NINI?
Ili kupata undani wa kwa nini Le Mutuz anafanya hivyo, Amani lilifanya jitihada za kupata kupitia kilongalonga chake cha kiganjani lakini hakupatika, hata hivyo jitihada za kumpata zinaendelea.


<dl _id="5398006:Comment:1358018" class="comment vcard xg_lightborder" id="c_ac1"><dd>You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers


<dl _id="5398006:Comment:1358088" class="comment vcard xg_lightborder" id="c_e93"><dt style="font-weight: bold; "> Comment by Jerry Popo 7 hours ago</dt><dd>ni mutu wa misifa
</dd></dl><dl _id="5398006:Comment:1358263" class="comment vcard xg_lightborder" id="c_d58"><dt style="font-weight: bold; "> Comment by Man KKK 7 hours ago</dt><dd>ndo nini sasa???au kaomba kutolewa gazetini auze???????????????
</dd></dl><dl _id="5398006:Comment:1358317" class="comment vcard xg_lightborder" id="c_5c3"><dt style="font-weight: bold; "> Comment by Babu Lao 9 hours ago</dt><dd>ANAPENDA TOTOZ TATIZO DOMO ZEGE!!!

</dd></dl><dl _id="5398006:Comment:1358210" class="comment vcard xg_lightborder" id="c_641"><dt style="font-weight: bold; "> Comment by Real De' Dear 10 hours ago</dt><dd>mh!
</dd></dl><dl _id="5398006:Comment:1358018" class="comment vcard xg_lightborder" id="c_ac1"><dd>

Mbona hamjazitoa. Mie ninadhani ni obi ya mtu huyu kupiga picha na masuper star tena wa jinsi zote.
</dd></dl><dl _id="5398006:Comment:1358016" class="comment vcard xg_lightborder" id="c_fab"><dt style="font-weight: bold; "> Comment by julius manning 11 hours ago</dt><dd>Huyu atakuwa mtu wa totos
</dd></dl><dl _id="5398006:Comment:1358014" class="comment vcard xg_lightborder" id="c_c2a"><dt style="font-weight: bold; "> Comment by julius manning 11 hours ago</dt><dd>Huyu atakuwa mtu wa totos
</dd></dl><dl _id="5398006:Comment:1358010" class="comment vcard xg_lightborder" id="c_5e3"><dt style="font-weight: bold; "> Comment by Bob Fernandes 11 hours ago</dt><dd>Sijaielewa hii story!!
</dd></dl><dl _id="5398006:Comment:1358007" class="comment vcard xg_lightborder" id="c_d52"><dt style="font-weight: bold; "> Comment by Jini Mapembe 11 hours ago</dt><dd>Ujiko!! Mzee wako ni Mutu Mukubwa lakini unatafuta ujiko kwa mademu??
</dd></dl><dl _id="5398006:Comment:1357945" class="comment vcard xg_lightborder last-child" id="c_089"><dt style="font-weight: bold; "> Comment by mammy 12 hours ago</dt><dd>mh!
</dd></dl>

</dd></dl>
 
Back
Top Bottom