Mdau mwenzetu W. Malecela anapodhalilishwa na vyombo vya habari tumsaidiaje

@Maane,

Kuna alichokikimbia hiko vinginevyo asingerudi na kuhangaikia kutafuta nafasi za uwakishi wa vitogoji jumuiya ya wazazi.
 
Kuna alichokikimbia hiko vinginevyo asingerudi na kuhangaikia kutafuta nafasi za uwakishi wa vitogoji jumuiya ya wazazi.

Sidhani kama kipo alichokikimbia, ila kama hujitumi ughaibuni bila shaka hata hapa utakuwa mzigo kwa taifa!
 
Kuna alichokikimbia hiko vinginevyo asingerudi na kuhangaikia kutafuta nafasi za uwakishi wa vitogoji jumuiya ya wazazi.

Hivi kule ana uraia? Kikimbia States uje huku vinginevyo iwe very high benefit sijui ni nini? Aombe Dual Citizenship ifanye kazi Tz!!!!
 
Yaani yeye ndo kafanya hayo afu mnavilaumu vyombo vya habari! JE WALIMKAMATA WAKAMLETEA HAO MABINTI WAKAMUWEKEA BASTOLA KICHWANI KISHA WKAMLAZIMISHA ATABASAMU WAKAMPIGA PICHA!!???????, AU HIZO PICHA ZAKE WAMEZIPATAJE????

Nisingekua natumia phone ningekugongea like ya hatariii mkuu
 
waandishi wa sikuhizi wamekosa habari za kuandika ... inawezekaa mwandishi ni member wa humu JF .. "shame on you Sifael Paul"
 
Ngoja aje hapa na alivyo bingwa wa kulipuka sijui itakuaje. Lakini me nashangaa namna RiziOne anavyo mshinda akili. RiziOne anawekeza though kwa magumashi. Huyu jibaba anauza sura.
 
Ngoja aje hapa na alivyo bingwa wa kulipuka sijui itakuaje. Lakini me nashangaa namna RiziOne anavyo mshinda akili. RiziOne anawekeza though kwa magumashi. Huyu jibaba anauza sura.

Kuna kona nyingine hapendelea kuingia ovyo sijui kwa nini.
 
Ngoja aje hapa na alivyo bingwa wa kulipuka sijui itakuaje. Lakini me nashangaa namna RiziOne anavyo mshinda akili. RiziOne anawekeza though kwa magumashi. Huyu jibaba anauza sura.

Sasa Kama Hana cha kuwekeza zaidi ya sura yake afanyeje?
mnamuonea hendisamu wa Jiji na mabebzzz aw ukweeeeh
 
Small brains zinamatatizo. Hayo ya uwakilishi waachieni wanaomchagua ndio wanaojua value zao, not us. Lakini wanodai yeye sio baba yake in majuha, you can not detauch from baba yako. Hili in la msingi kwa Kuwa Lina define wewe no nani. Basi tungekua tunataga Kama kuku, na ndi maana linabaki Hutu Kweli ni mtoto aw baba yake? Mbona hafanani na wenzake?
 
William are you going through Male Menopause? Why the itch to take photos with all these women? I think it will hurt your Political career in Tanzania not help it.:director:
 

MTOTO.jpg

Mwenye elimu ya meli ndiyo huyu...
 

MTOTO.jpg

Na Sifael Paul
WILLIAM Malecela a.k.a Le Mutuz ambaye anatajwa kuwa ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe Bongo, John Malecela ambaye anadaiwa kuwa ni funga kazi kwa kupenda kupiga picha na wanawake wazuri kila anapokuwa, Amani limemfuatilia hatua kwa hatua na sasa linafunguka.
Kwa mujibu wa ‘mapicha’ yake mazuri yaliyopo mitandaoni, asilimia 90 zinamuonesha Le Mutuz akiwa na wanawake wazuri wa kada mbalimbali.

WAMO MASTAA
Mbali na wanasiasa wenzake, Le Mutuz aliyegombea ubunge wa Afrika Mashariki kwa leseni ya CCM hivi karibuni lakini kura hazikutosha, anaonekana kwenye picha nyingi zisizo na idadi akiwa na mastaa mbalimbali wakiwemo waigizaji na wanamuziki wenye majina makubwa Bongo.​


NI KILA MAHALI?
Katika picha hizo, Le Mutuz anaonekana akiwa sehemu mbalimbali hasa kwenye kumbi za starehe, baa, migahawani, viwanjani, nyumbani na ufukweni, vyote jijini Dar es Salaam.​


ETI NI MAMBO YA ‘KUTOKLEZEA’
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Le Mutuz, jamaa huyo mwenye ‘sivii’ ya kuishi nchini Marekani kwa muda mrefu amekuwa akiwakaribisha warembo hao kwenye mtandao wake (jina tunalo) kwa kutundika picha hizo na kuwataka waingie humo kujiona ‘walivyotoklezea’.​


BAADHI YA MASTAA NI HAWA
Baadhi ya mastaa wanaoonekana na ‘mutu mukubwa’ huyo na kusababisha minong’ono kwa kuwa zina mapozi tata ni pamoja na Wema Isaac Sepetu, Jacqueline Wolper Masawe, Jokate Mwegelo, Miss Tanzania 2011, Salha Israel, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ na warembo wengine ‘kibwena’ wasiokuwa na majina.​


WAMO MARAFIKI WA FACEBOOK
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, inaelezwa kuwa, Le Mutuz huwa anawasiliana na warembo ambao ni marafiki zake katika mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo hukutana nao na kupiga picha ili kuziweka mtandaoni kwake.​


MSHANGAO!
Kwa mujibu wa maoni ya watu wanaotembelea mtandao wake wanashangazwa na ishu hiyo huku wakihoji mbona anafanya na mademu tu, tena wazuri?​


LENGO NI NINI?
Ili kupata undani wa kwa nini Le Mutuz anafanya hivyo, Amani lilifanya jitihada za kupata kupitia kilongalonga chake cha kiganjani lakini hakupatika, hata hivyo jitihada za kumpata zinaendelea.


Wadau wengi hapa JF tunamfahamu kutosha William Malecela kwa michango mizuri na kuleta mada za udadisi katika kujenga jamii yetu. Ni mdau mwenzetu na ni mmja kati ya wadau wa mwanzoni kabisa waliojitahidi kuchangia mada mbalimbali hapa Jamii forums.

Uvumilivu wake katika kujadili mada pamoja na kuonyesha ustahimilivu hata tunapomkosoa au kuwa kinyume cha itikadi anazoamini ambayo ni haki yake ya free speach ni funzo tosha wangu na kwa wengi.

Kilichonishtua ni Gazeti moja hilo pichani kuweka habari ambazo sidhani kama yeye binafsi zitamfurahisha pamoja na familia yake. Kwa walio karibu naye wajaribu kumpa moyo na subira kwani maisha ni safari na binadamu ni kinyonga, kwani akiwa na sikio sikivu ipo siku magazeti haya haya yataandika mazuri tu juu yake.

Tukumbuke ameshapata nafasi kadhaa katika Chama cha Mapinduzi kuwa mwakilishi na vyeo vingine na bado anatarajia kupanda taratibu, mambo kama haya nisingefurahia kutokea kwake kwani yanaweza kuwa kihuzi katika kupanda hatua nyingine zaidi kufikia matarajio yake. Papo kulinda heshima ya jna la Malecela John.
WIVU unakusumbua
 
we agent wake nini? yeye mwenyewe anafurahia, angalia post zake za nyuma akijisifia kupiga picha na warembo na kula maisha.

mwambie akafungue kesi kama ile ya wale waarusha waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya Lema kwakuwa Batilda ametukanwa
 
me naomba kuuliza..je LE MUTUZ anafanya kazi gani??manake kila saa lazima aposti kwenye wall yake LE MUTUZ STRAIGHT TALK na wale wabebs wake...kama vipi bongo nomaaa...ndo maneno yake ss sielewi kazi yake hasa ni nini
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom