Mdau mwenzetu W. Malecela anapodhalilishwa na vyombo vya habari tumsaidiaje

He puts himself in the spotlight...so why should they lay off?

Ni ushamba tu kufikiri kwamba ukiwa kwenye spotlight, au ukipiga picha na mwanamke, basi ni tabloid material.

Hata tabloid nazo zinatakiwa kuwa na tabloid standards, this is beyond the yellow.

I mean kama Willy angekuwa anacheza na demu huku suruali iko magotini ningeelewa justification.

Sasa leo "mtoto wa Malecela" kupiga picha na vimwana ishakuwa issue? What kind of teetotaling are we advocating subconsciously?

I mean granted, Willy is a nincompoop with no sense of class, lakini this coverage makes him a victim, that's even tackier.
 
Tabloids are tabloids and that's what they are there for - to capture moments and write stories about famous people and other less serious news.

If you don't wanna be in their front pages then lay low. But if you gonna be out there hitting the entertainment scene like there is no tomorrow and you are all over the blogosphere, you become fodder for the gossip columnists.

So it just comes and goes with the territory. Of all the siblings William has why not them but him? If you think he's a victim, help him sue GP or you can go it alone and sue on his behalf.
 
he humbled sana you know

Msingi mzuri ni kujitazama kwanza na kuona watu mbalimbali wanasemaje juu yako. Huwezi kuegemea upande wa walio karibu nawe tu kwani hawatakuwa tayari kuzungumza jambo ambalo pengine hulipendi kitu ambacho ni ufarisayo. Lakini ukiangalia jamii mbalimbali zinakuzunguka na mtazamo gani juu yako unaweza jifunza wapi umeteleza na nini cha kufanya kurudia kwenye njia isiyo na utelezi.

Unaweza kufanya kazi kubwa ya kutangaza blog yako kama hii ya kuweka matangazo mbalimbali ya biadhara for free mwanzoni ili kuteka watu, maana ukidai kitu kidogo huwezi kushindana na wenye mizizi kama akina misupu au mwenyekiti wa serikali za mitaa kule Tananngozi au Tosamaganga sijui na wengineo.

Hii ya kizazi cha aina fulani inatia raha, lakini ipo siku utakumbuka usemi wa majuto ni mjukuu. Bongo si ndogo kwani ni sehemu ya dunia, na tuyaonayo kwa mastaa wa kule ni yale yale ya hawa wa kibongo. Hapa ukichanganya na uswahili ndio funga kazi.

Cha msingi JF tu washirika na panapofaa kutaharishiana ni jambo jema.
 
Kama mtu binafsi hajiheshimu jamii haiwezi kumheshimu kamwe; JW ameshindwa kujiheshima anapiga picha na viruka njia a.k.a mastaa anategemea sisi tumweke ktk fungu gani kama si kuchorwa kwenye magazeti ya udaku
 
Jamani huyu ni mtu wa starehe na kuuza sura ndiyo maana tena atafurahi sana. Kwani umeshasikia hata amelalama kwa hili? Shigongo naye anapoteza muda na huyu Le Mutuz!! Labda tusubiri mke wake aje kulalama hapa au kule mitandao ya kijamii kuwa mastaa wanamwandama mume wake. Mkewe mwenyewe kimya kabisa, tena kabiaaa jiii. Tusubiri reaction toka kwake.
 
ni utoto tu akikua ataacha.......

Angekuwa mtoto mdogo angeangalishwa na Mzee Malecela, lakini kisha kua huyo, vya huko alikokuwa ambako hakuwa mwanasiasa anayaleta hapa anapokazana kupanda uringo wa siasa. Tuna wengi wanasiasa vijana sana kuliko Malecela, wako makini na wanaangalia pa kushika, si kila tawi.

Kuna waliothubutu awali ingawa kidogo kufanya hivyo na walipogundua hatari yake mara moja wamejirekebisha. Unafikiri vijana wengi wanasiasa walio single hawajimwagi huko? Wapo sana tu lakini kwa tahadhari kubwa kutochukuliwa taswiras zisiwachafue kwenye jami wanayoitumikia.
 
Jamani huyu ni mtu wa starehe na kuuza sura ndiyo maana tena atafurahi sana. Kwani umeshasikia hata amelalama kwa hili? Shigongo naye anapoteza muda na huyu Le Mutuz!! Labda tusubiri mke wake aje kulalama hapa au kule mitandao ya kijamii kuwa mastaa wanamwandama mume wake. Mkewe mwenyewe kimya kabisa, tena kabiaaa jiii. Tusubiri reaction toka kwake.

Laiti ungejua, yaliyomfikisha kutengana na mke wake ndo hayo mtu mzima kuhangaika na totoz wakati analea. Anachotakiwa kufanya ni kujitahidi child support, vinginevyo mama watoto aamue wazee wawakutanishe. Kumbuka mama yupo anaendelea kupiga box kwa Obama.
 
Shigongo anapoteza muda kivipi wakati hayo ndo maudhui ya magazeti yake?

Ndiyo hivyo mkuu ila kwa William haogopi hata chembe maana anataka sana attention and publicity and truly he likes women friends!!! Tuseme ndiyo hulka yake na hana shida kabisa ndiyo maana nikasema Eric anapoteza muda kama alipania kitu kibaya kwa chaliiii hapo kagonga mwamba. Si unajua WEMA naye ni staa wake na WEMA inasemekana wakati mwingine akiona hajaandikwa sana anajitafutia kastori.
 
Shingongo hapotezi muda kwani haya magazeti yao yanasaidia sana kuiamsha na kuikosoa jamii hata iwe kwa mtu binafsi. Shingongo kafanya kazi yake vizuri kuisaidia jamii. Kuna njia nyingi za vyombo vya habari na starehe kuelimisha jamii.
 
Ndiyo hivyo mkuu ila kwa William haogopi hata chembe maana anataka sana attention and publicity and truly he likes women friends!!! Tuseme ndiyo hulka yake na hana shida kabisa ndiyo maana nikasema Eric anapoteza muda kama alipania kitu kibaya kwa chaliiii hapo kagonga mwamba. Si unajua WEMA naye ni staa wake na WEMA inasemekana wakati mwingine akiona hajaandikwa sana anajitafutia kastori.

Sina hakika lakini sidhani kama GP nia yao ni mbaya. Nadhani wao wanafurahi tu kuona wameongeza anuai zaidi ya Wema, Mama Wema, Wolper, Diamond, na wengineo.
 
na kubwa zaidi anakaa kwa baba yake upanga seaview, na mnaweza kushangaa akaibuka hapa na kufurahia hilo gazeti lilivyomtoa na anaweza kuanza kusema huo ndio ubig celeb.

na utakuta kahonga pesa mingi sana ili atolewe kwenye hilo gazeti!
 
Laiti ungejua, yaliyomfikisha kutengana na mke wake ndo hayo mtu mzima kuhangaika na totoz wakati analea. Anachotakiwa kufanya ni kujitahidi child support, vinginevyo mama watoto aamue wazee wawakutanishe. Kumbuka mama yupo anaendelea kupiga box kwa Obama.

Toba rabi. Sikujua kama alishatengana na mkewe. Ninajua tu kuwa labda mke wake naye ni msomi ambaye hana tabu kabisa kwa behaviour za mumewe. Kweli kama ni hivyo ajirekebishe maana umri na matukio haviendani tena kabisa. So kumbe wale kids boy A na binti kazuri kweli sijawahi kumuona amepiga picha na mama yao, ni yeye tu hadi siku moja nikadhani pengine ni mgani (amefiwa na mke). Du kazi ipo, na kama akipitia kule FB akiona hizo social contacts na wanawake basi hawatakaa warudiane hata dakika moja. Pole broooo tafakari kwa upya.
 
Sina hakika lakini sidhani kama GP nia yao ni mbaya. Nadhani wao wanafurahi tu kuona wameongeza anuai zaidi ya Wema, Mama Wema, Wolper, Diamond, na wengineo.

Yaa mkuu but to him with his maturity hayo mambo si ya kwake kabisa. He can not go such low as Diamond, Wema and the rest maana mastaa wa bongo behavior zao ni mshikemshike? At the same time anataka kuingia politics, so he needs to watch his steps!! Ni maoni yangu tu.
 
Toba rabi. Sikujua kama alishatengana na mkewe. Ninajua tu kuwa labda mke wake naye ni msomi ambaye hana tabu kabisa kwa behaviour za mumewe. Kweli kama ni hivyo ajirekebishe maana umri na matukio haviendani tena kabisa. So kumbe wale kids boy A na binti kazuri kweli sijawahi kumuona amepiga picha na mama yao, ni yeye tu hadi siku moja nikadhani pengine ni mgani (amefiwa na mke). Du kazi ipo, na kama akipitia kule FB akiona hizo social contacts na wanawake basi hawatakaa warudiane hata dakika moja. Pole broooo tafakari kwa upya.

Anayaofanya William anaonyesha wazi yuko single, ndio ukweli maama kama angekuwa na mke anayeishi naye hata kama ni mshikaji tu ambaye anaishi naye asingeweza kufanya mambo kama hayo kwa uwazi bila kushtuka.

Jambo kama hili si mila ya Watanzania na waafrika tu, wangungu ndo huko kwao kabisa, ukishakuwa na wako ni kufa na kupona. Ndio maana unaona mmoja akifanya kosa tu ni talaka, unachoshuhudia talaka kila kukija majuu ni sababu ya haya ya kudandia kwa mbele.
 
Candid Scope mbona hii umebania?
Kilichonishtua ni Gazeti moja hilo pichani kuweka habari ambazo sidhani kama yeye binafsi zitamfurahisha

Weka hizo habari.
 
Last edited by a moderator:
Yaa mkuu but to him with his maturity hayo mambo si ya kwake kabisa. He can not go such low as Diamond, Wema and the rest maana mastaa wa bongo behavior zao ni mshikemshike? At the same time anataka kuingia politics, so he needs to watch his steps!! Ni maoni yangu tu.

Lakini hata mastaa wa majuu nao ni hivyo hivyo tu. Yaani drama mwanzo mwisho.

Sasa hivi kuna hii show iitwayo Love and Hip Hop Atlanta. Watu wanajifanya kuikosoa sana kwamba sijui inapotosha na kurubuni lakini ikija kwenye ratings inakimbiza mbaya.

Soko la drama na gossip ni kubwa sana na mara nyingi unakuta hao hao critics ndo wa kwanza kusoma hayo magazeti na kuangalia hizo shows.
 
Tabloids are tabloids and that's what they are there for - to capture moments and write stories about famous people and other less serious news.

If you don't wanna be in their front pages then lay low. But if you gonna be out there hitting the entertainment scene like there is no tomorrow and you are all over the blogosphere, you become fodder for the gossip columnists.

So it just comes and goes with the territory. Of all the siblings William has why not them but him? If you think he's a victim, help him sue GP or you can go it alone and sue on his behalf.

The debonair in me asserts that even tabloids should be judicious. Obviously your viewpoint is more sanguine.
 
Back
Top Bottom