Mdai wangu amesema amenisamehe deni analonidai ila niwe makini barabarani gari lake linakawaida ya kufail breki

Achana naye tembelea upande wa pili wa mtaro tuone hiyo Vitz kama itavuka🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hahahaaaa umekuja kunitangaza huku sio. Bado sijatengeneza brake ya gari langu na bado inafaili. Kuwa makini sana.
 
JF kama FB tu...

Meme inapoanzishiwa uzi 😳🚮

Screenshot_20240523_150524_Gallery.jpg
 
Ni baada ya kumwambia kwa sasa nitashindwa kulipa deni lake la laki tatu hali yangu bado sio nzuri ajabu hiyo kauli aliyonipa ni kuwa amenisamehe ila niwe nmakini barabarani hii kauli alikuwa na maana gani wada
Huyo mtu sio mtu mzuri mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom