Mfwatiliaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,323
- 67
Mkuu, hata siku moja usitoe conclusion kwenye forum kama hii based on a single observation. Kuna wengi ambao ni south pole (left-hand) na ni watu muhimu na mashuhuri kabisa hapa ulimwenguni. Labda nikukumbushe tu, Barack Obama na Bill Clinton wote ni left-handed; lakini nadhani si wapuuzi kama ulivyotoa conclusion hapo mwanzoni. Inabidi uombe samahani watu wote ambao ni left handed, otherwise naku-report kwa abusive language.Nimekwambia as psychoanalytic nimemjaji kutokana na argument zake, sasa ww unataka solid evidence gani? Na kwa nyongeza nmegundua tatzo lingne kwako nalo ni purisphobisias ambalo linatokana na low iq ambapo mtu anakuwa mzto kuelewa