Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,649
- 109,306
Hili swala ingawa linakanganya lakini think Big, je wale watuhumiwa wakishinda ile kesi huoni kama itakuwa tuliwanyima haki zao za kupata msaada wa kisheria?Nakubaliana nawewe 100%, hauwezi ukawa unajiita jemedari wa kupiga vita ufisadi halafu wewe mwenyewe ndio unakua front line
kuwatetea wakishitakiwa.
Marando ndio ni wakili, lakini hata mawakili wana values and principles wanazosimamia individually nje na kazi zao. Kuna mawakili hawataki kazi za kutetea majambazi, kuna mawakili hawataki kutetea wala rushwa hata kwa malipo gani, kuna mawakili hawataki kutetea viwanda vya pombe. Sasa Marando hapo kachemsha... ama aachane na siasa abaki kuwa wakili, au afanye yale anayoyaamini. Kiongozi mzima wa CHADEMA anaonekana mahakamani akitetea kwa nguvu majitu yalijichotea mabilioni ya umma... it leaves a real bad taste!
Je kwenye kesi ya Babu seya ambayo ni kubaka watoto, Marando ndiye alifanikiwa ile rufaa mpaka watoto wawili wakaachiwa na mahakama ya rufaa, sasa je hapa tutasema Marando anakumbatia ubakaji?