Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Ila suala la kuwatetea mafisadi hata kama ni vidagaa,hapo cdm mmechemka!

mbona hajasema kwanin anawatetea?

Anaowatetea Marandu mkuu sio wezi bali ana majalada ya wezi wote ambao sio hao anaowatetea,anasema wezi wenyewe hawajaguswa

Jamani naomba kuhuliza namna ya kushiriki huu mdahalo mana magamba wanajaza ukumbi

Nape amenichafua. Bora nijiliwaze kwa kuangalia Bongo Star Serch, karbun. Am so tired kwa kwel.

Bora umeisha maana cuf na ccm walikuwa honeymoon leo na wamekodisha hijabu kwenda kuwashangilia..

CUF wote wanawake wamevaa hijjabu na wanaume wamevaa misuli na kanzu na baragashia, yaani hiki ni chama cha dini ya ALLAH kabisa.

Nape kasema tusitangaze udin we bado unatangaza udin. Hayo n mavaz kama hayo ya kwako. Vaz halna dini.

Bora umeisha maana cuf na ccm walikuwa honeymoon leo na wamekodisha hijabu kwenda kuwashangilia..

hijabu lina uhusiano gan na chama. Udin sio mzur. Mm bnafs sio muumin wa kutangaza udin,

Marando namkubali katika harakati lakini leo kapwaya banaaa....

Nape kasema tusitangaze udin we bado unatangaza udin. Hayo n mavaz kama hayo ya kwako. Vaz halna dini.
Nape ni mpuuzi tu kama walivyo wapuuzi wengine, alietangaza udini tena ndani ya Bunge huku akilihutubia Taifa ni Kikwete.

Ila suala la kuwatetea mafisadi hata kama ni vidagaa,hapo cdm mmechemka!

Nakubaliana nawewe 100%, hauwezi ukawa unajiita jemedari wa kupiga vita ufisadi halafu wewe mwenyewe ndio unakua front line
kuwatetea wakishitakiwa.

Marando ndio ni wakili, lakini hata mawakili wana values and principles wanazosimamia individually nje na kazi zao. Kuna mawakili hawataki kazi za kutetea majambazi, kuna mawakili hawataki kutetea wala rushwa hata kwa malipo gani, kuna mawakili hawataki kutetea viwanda vya pombe. Sasa Marando hapo kachemsha... ama aachane na siasa abaki kuwa wakili, au afanye yale anayoyaamini. Kiongozi mzima wa CHADEMA anaonekana mahakamani akitetea kwa nguvu majitu yalijichotea mabilioni ya umma... it leaves a real bad taste!

Ngugu zangu kuna watu wanataka kupotosha wengine: Marando hajasema anatetea Mafisadi isipokua amejibu kwamba hao anaowatetea si Mafisadi isipokua majalada ya hao wezi ambao ndio walitakiwa washitakiwe nayo,kwa nyie mnaokumbuka ndugu zangu je si kuna kipindi Mh Raisi alisema wale wezi warudishe fedha na akawapa muda wa kuzirejesha baada walisamehewa kwa hyo ndio hawa Marando anasema ana Majalada yao kwa hyo watu wasipotoshe wengine hapa hyo kauli si sahihi.

Back
Top Bottom