Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Marando anasema kw majalada aliyonayo ndio amejua ukweli wa mambo,waliopelekw mahakaman ni vidagaa,wezi bado wanalindwa,watu wanamzomea,kumbe cdm haikubalik sn dsm.
 
Marando: anasema anajua wezi wa ccm na majalada yake na jnc ccm wanavyoshinwa kuwachukulia hatua,anasema ccm wanasamehe wezi na wanaoenda wezi ni vijidagaa na wale wezi wakubwa wanalindwa na ccm mfano wezi wa meremeta,kagoda etc
 
Marandu anasema waliopelekwa mahakamani ni vijidagaa waizi wenyewe hawajashtakiwa
 
Marando: Kuhusu kesi kubwa za ufisadi zilizosimamiwa na CHADEMA, anasema shinikizo la kuwapeleka wahalifu wa kesi za EPA lilianzishwa na CHADEMA (anakanusha hoja ya muuliza swali kwamba eti Lipumba ndiye alianzisha mapambano ya EPA). Anasema inasikitisha kwamba mpaka leo hakuwa mafisadi papa waliopelekwa mahakamani
 
Marando:
Amejua sir nying za wiz wa serikal kwa kupitia majadala aliyonayo. Anasema kuwa kuhusu uibuaj wa wiz wa epa n cdm.
Anasema kuwa cdm hakijabeba watu kwa magar kwenda kuandamana bal wanaenda wenyewe.
 
Jussa amjibu Nape:
Nape anadai kuwa wananch wanataka kuanzia mia, hio n ishara kuwa chama kmechoka.
 
Nape amemchana marando kuwa anatetea mafisadi wa epa mahakamani huku jukwaani anahubiri kuchukia ufisadi
 
Nape anawashukur kw kuwaamin,kina rejao,mwita25,ff n.k wanapga makofi,anasema tuwapuuze wanaotugawa.
Mjadala umeisha malumbano tu hayana tija.
 
Nape asema wanaingza damu changa. Wazid kuaminiana.
 
Mjadala unafikia mwisho kwa Jussa kuhimiza vyama vingine viige ndoa yao dhidi ya CCM kwani ina mafanikio mfano kg ya kahawa now ni 15000،mjadala ndio umekwisha wakuu muda huu
 
Jamani naomba kuhuliza namna ya kushiriki huu mdahalo mana magamba wanajaza ukumbi
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
eeenh! Bwana marando ebu tujuze inakuaje kuaje?
<br />
<br />
anasema kuwa waliopelekwa mahakaman n wadogo (vidagaa), n njia yake ya kujua info za wiz.
 
Back
Top Bottom