Nchi zetu za Afrika nani katuroga sisi? Hivi tunaweza je kufika huku?
Barikiwa sana Mh. Tundu Antiphas Lissu. Mshangao wako ndiyo ulio mshangao wetu na pia kwa kila mpenda haki.
Barikiwa sana beberu, kwa maana makwetu kusikokuwa na mihimili ya uongozi iliyo huru, utamu wa madaraka ukishakolea huwa tunaupiga mwingi kweli kweli kwa maana yake halisi:
Enyi Mama Samia, Kamanda Sirro na wote mlio na dhamana, iepusheni nchi hii na aibu hii isiyokuwa na kifani!
"Hivi ni kweli kuwa njia hii mliyoichagua haiwatieni hata hofu tu kwa mola wenu?"
Misahafu inasema "mpende jirani yako kama nafsi yako." Bado haiwapi hata angalizo kidogo kutambua kuwa njia mliyoichagua siyo?
Msisahau kuwa mna dhamana ya kuongoza na si kutawala.
Source: Do arrests show Tanzania backsliding on reform commitments? - Democracy Digest