Mdahalo: Kids Vs Spouses

...ubarikiwe sana kwa hili...kwa mie nilojaaliwa kusikia sana vilio vya watu,
nimeshalisikia mara nyingi sana hili, na naijua athari zake kwa huyo mtoto ambaye ndiye
naye anakuwa mzazi wa kesho..-lower self esteem pia inanzia hapa...!-

dahhh, ulikuwa wapi siku zote?
umeamua na kuhitimisha kabisa thread asubuhi asubuhi?

mkuu, ubarikiwe sana kwa topik hii....
 
Mama Bishanga analalamika anasema mapenzi yako yote umeyaelekeza kwenye hii thread, usisahau kuja na AshaDii na wengineo kwenye hafla yangu ya kutunikiwa Phd ya heshima

na yeye yuko kwenye thread ileeeeeeeee kizungumkuti ya RussianRoulette,sijui anahisi nina nyumba ndogo,maana haishi kusoma na kisha kunitupia jicho.
 
Mkuu DC,hapo kwenye red,may be...just maybe.....in good times yes.....likitokea anguko litokanalo na kishawishi you will definately run to your mom,au?
 
Bishanga naamini bado mke wako ana nafasi katika maisha yako until proven otherwise. Hapo sasa unaweza kusema hapa hapana acha watoto wachukue usukani. Ila naamini mke bado ana nafasi ya kwanza katika maisha yako mbele ya ulimwengu.
 
na yeye yuko kwenye thread ileeeeeeeee kizungumkuti ya RussianRoulette,sijui anahisi nina nyumba ndogo,maana haishi kusoma na kisha kunitupia jicho.
Aisee Bishanga, hebu saidia kuiambia hiyo c.r.a.p Finest kuwa hii sredi ni ya wakubwa. Watoto wanatakiwa kule Chit Chat.

Baada ya kusema hayo, ngoja nielekee UDSM nimeahidiwa kadigrii ka udaktari ka heshima kwa ajili ya mchango wangu wa kilimo cha matikiti maji na matango kule Mabwe Pande.
 
kwenye red hapo,mimi naona ni bora life jackets wewe umpe mkeo na mwanao, afterall kila siku si tunaimbiwa humu mmu kuwa love ni pamoja na sacrifice? that will be the ultimate sacrifice,kutoa maisha yako kwa hao uwapendao.
 
Umenichoma au we ndio baba nanilihu nini hatujuani tu humu kwa sababu ya hizi ID
 
Dah! Lizzy hapo red umekwenda deep sana aisee! na trust me umeongea kitu platinum kabisa. Na sasa nimeanza kuwaangalia wale wanaopenda wenza wao kwa jicho jipya.
Yaani hii post yako hii dah! acha nikuvulie kofia tu.
Will u marry me?

Lizzy kaniambia nikwambie yes! hongera kaka!
 
Bishanga naamini bado mke wako ana nafasi katika maisha yako until proven otherwise. Hapo sasa unaweza kusema hapa hapana acha watoto wachukue usukani. Ila naamini mke bado ana nafasi ya kwanza katika maisha yako mbele ya ulimwengu.

i keep on saying ..may be ...just may be.....
 
i keep on saying ..may be ...just may be.....
Why may be ......may be...... Huna uhakika mkuu. Jiamini na say it before the whole world kuwa she is the one you love till death do you apart.
 
usimwonee TF bana,kijeba huyo sema tu kachelewa kupata my wife wake,sijui tumpe Darlingtone,au unaonaje? (though roho itaniuma sana)
 
usimwonee TF bana,kijeba huyo sema tu kachelewa kupata my wife wake,sijui tumpe Darlingtone,au unaonaje? (though roho itaniuma sana)

Mkuu kuhusu TF umepatia sana sana maana jamaa ni kijeba mbaya kachelewa tuu kuingia kwenye hii institution ya marriage
 
Umenichoma au we ndio baba nanilihu nini hatujuani tu humu kwa sababu ya hizi ID

Maty bana,siku moja wana mmu wote tutoe azimio la kujilipua,kila mtu abadili avatar yake iwe picha na jina lake halisi,hakika siku hiyo tutatafutana humu ndani,ukute mke asham PM mmewe kilavidavi na vice versa!
 
Why may be ......may be...... Huna uhakika mkuu. Jiamini na say it before the whole world kuwa she is the one you love till death do you apart.
ah wapi.tumekutana wote tuna meno 32!
 
Why may be ......may be...... Huna uhakika mkuu. Jiamini na say it before the whole world kuwa she is the one you love till death do you apart.

Mapenzi ya till deth hayapo nowdays!
 
Mkuu kuhusu TF umepatia sana sana maana jamaa ni kijeba mbaya kachelewa tuu kuingia kwenye hii institution ya marriage
ana sababu za msingi? eti TF una sababu za msingi za kutooa hadi leo hii?
-hujampata wa kukupenda?
_unasubiri umalizie mansion yako bahari beach?
_unamalizia Phd yako ng'ambo?
_huna hela ya harusi?
_rafiki uliyenaye hajakata shauri?
-unaogopa?
.......twambie bana.
 
Pretty your right! Mimi wazazi wangu walishafariki lakini bado ninawapenda hadi leo, mume nilikuwa nampenda sana bt alivyonitibua my kids ni number one
 
Maty bana,siku moja wana mmu wote tutoe azimio la kujilipua,kila mtu abadili avatar yake iwe picha na jina lake halisi,hakika siku hiyo tutatafutana humu ndani,ukute mke asham PM mmewe kilavidavi na vice versa!

Teh,teh,teh,teh,vipi ma aliem PM dada yake kimalavidavi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…