klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Hivi nyie wadau wa MMU mkoje???? Under S.T.P na kwa manamume (to the best of knowledge and experience since 1947), hiyo No2 haiwezi kuwepo kama no1 haipo...Ndo maana ukimpenda mama kweli kweli lazima upende na watoto wake... Na hapa naongelea wao ambao wako kwenye ndoa ambayo bado walau iko imara kidogo! Ikianza ku-shake mambo yanaweza kuwa tofauti!
Ndo maana nawaelewa wanawake kuwekeza kila coin kwa watoto wao. Pia hiyo inaeleza vizuri tu kwa nini ukitaka kum-win mwanamke ni rahisi kupitia kwa watoto wake......Kama haya hayaelewiki basi tena!
Sababu ya kujihisi???
Tuseme mwanamke/mwanaume bado unamtreat vizuri kama ilivyokua mwanzo...unatimiza majukumu yako na unaonyesha kumjali kwanini ahisi au hata kusumbuliwa na wazo la kwamba unawapenda watoto zaidi yake???
Huko ni kutojiamini....tena kusiko na maana!!!
Na kama sababu ni mabadiliko kwenye matendo/majukumu/kujaliu n.k kwanini watoto watumiwe kulaumu???
Mara nyingi watoto sio wachawi kwenye mahusiano....sisi ndio wachawi.
dont make decisions out of fear..........
Mstaafu , its not as easy as you think, kina mama wameumbwa na kawivu flani ukisoma saikolojia yao, wivu wao ukiwa triggered kidogo tu basi eruption yake ni balaa! Nimeshuhudia kesi moja ambayo mwanamke ameshtaki kwamba since wamezaa basi mume wake amebase zaidi kwa watoto, na mume alipoitwa alikubali hilo kosa ila akasema alifikiria kwamba mke wake atafurahia hilo zaidi but he was wrong, sasa jibaba akawa na kazi ya kuitafuta equation balanced.
haya mambo yapo.
...lizzy kwakweli hata mimi jambo hili linanishangaza sana...
kiukweli, baada ya 1st marriage...'nilibahatika' kuishi na mlimbwende
mmoja kwa takriban miaka saba ambaye naye alikuwa na vijitabia vya kutojiamini amini...
...moja ya jambo lililokuwa linanitatiza sana kwenye mahusiano yangu na yeye, pia lilikuwamo
hili la yeye kujidhania ati nawapa kipaumbele zaidi watoto wangu kuliko yeye...akaanza kila akijuacho
kujitafutia ujauzito ngoma iwe droo...lakini mungu hakupenda!
...thread hii imenirudisha kwenye machungu yaleeeee....kama sikujifunza kule, namtafuta mw'mungu muhali!
wanasema "jiweke kwenye mazingira ya kupendwa upendeke!"....haiwezekani kulazimisha upendwe vile unataka...
kupendwa ni zawadi, unapopendwa pokea!....ni kwa kiasi gani nitakupenda, ni vile mimi ninavyokuchukulia kwa jinsi unavyojithaminisha.
...haina noma kaka, kila mtu na tafsiri yake..."kitanda usichokilalia,...!"
Hiyo haiwezekani Lizzy,
Wakishazaliwa watoto lazima baba atapunjika tu...Ndiyo maana huwa kuna hisia kama baba na watoto wote wanamgombania mama! Ndio maana kabila moja (majirani zangu), mama akishazaa mtoto lazima apate kipigo ili siku zote akumbuke kuwa baba ni namba 1..Ingawa haiwezekani!
Mie ndipo nafikia kuwapa live kwamba waniachie mke wangu, wasubiri waoe wake zao....some sort of jokes with some in-built facts...Lol!!
...lizzy kwakweli hata mimi jambo hili linanishangaza sana...
kiukweli, baada ya 1st marriage...'nilibahatika' kuishi na mlimbwende
mmoja kwa takriban miaka saba ambaye naye alikuwa na vijitabia vya kutojiamini amini...
...moja ya jambo lililokuwa linanitatiza sana kwenye mahusiano yangu na yeye, pia lilikuwamo
hili la yeye kujidhania ati nawapa kipaumbele zaidi watoto wangu kuliko yeye...akaanza kila akijuacho
kujitafutia ujauzito ngoma iwe droo...lakini mungu hakupenda!
...thread hii imenirudisha kwenye machungu yaleeeee....kama sikujifunza kule, namtafuta mw'mungu muhali!
wanasema "jiweke kwenye mazingira ya kupendwa upendeke!"....haiwezekani kulazimisha upendwe vile unataka...
kupendwa ni zawadi, unapopendwa pokea!....ni kwa kiasi gani nitakupenda, ni vile mimi ninavyokuchukulia kwa jinsi unavyojithaminisha.
...haina noma kaka, kila mtu na tafsiri yake..."kitanda usichokilalia,...!"
Hebu assume, uko kwenye boat na sasa ajali imetokea. Una life jackets 2 tu.. Na pia to make the matter worse, unatakiwa moja uvae wewe (no choice) na ile ya pili uamue utampa nani...Kuna mume na mtoto...
Utampa nani???
Babu mkubwa hizo ni hisia tu ambazo zinaweza zisiwe na ukweli wowote.
Inatokana na uchoyo tulio nao wanadamu.Sawasawa na ambao wamezoea wakipika wali wanakula na kuacha mapaka wanamwaga..ila ikitokea siku wakawa na mgeni hata kama watakula kiasi kile kile walichozoea na wakashiba hata kubakisha bado roho zitawauma. Ni ubinafsi tu na sio kitu kingine.
Kitu ambacho hua kinapungua mama anapopata mtoto ni muda anaospend na baba....kwasababu mtoto anamhitaji zaidi na pengine hana msaada mwingine. Wewe kama ni baba na unahisi mke kakukutupa kwaajili ya mtoto jaribu kuwa moe involved na mtoto uone..
Mstaafu , its not as easy as you think, kina mama wameumbwa na kawivu flani ukisoma saikolojia yao, wivu wao ukiwa triggered kidogo tu basi eruption yake ni balaa! Nimeshuhudia kesi moja ambayo mwanamke ameshtaki kwamba since wamezaa basi mume wake amebase zaidi kwa watoto, na mume alipoitwa alikubali hilo kosa ila akasema alifikiria kwamba mke wake atafurahia hilo zaidi but he was wrong, sasa jibaba akawa na kazi ya kuitafuta equation balanced.
haya mambo yapo.
Mbu mi hizo habari za unawapenda watoto kuliko mimi/unawapa kipaumbele zaidi zinanichosha kabisa!
I mean...as long as your getting your share why envy someone else's???
Umependwa pendeka kisha acha watoto nao wapendwe kwa kiasi chao.
Binafsi siwezi hata siku moja kumtaka mtu eti anipende kama anavyowapenda watoto au zaidi kwasababu najua haiwezekani..na sitarajii nitakwe kufanya hivyo either....nnachoweza kutaka ni yeye kunipenda to max vile awezavyo kumpenda mwanamke kama mpenzi/mwenza..FULL STOP.
hahaah navaa zote mbili natimua (joking)
Hhahhahah Mbu talaka rejea inaweza kuwepo tu iwapo soulmate sio muelewa (iwapo anapata stahiki yake ya mapenzi na yote yanayotakiwa kufuatana nayo)...zaidi ya hapo anaweza hata akakupenda zaidi.....safi sana Lizzy, unatumia busara tupu....anyway, pia kwa kiwango kikubwa
namuunga mikono na miguu wakili maarufu kwa bandiko lake hili;
...lakini mbu mie sijapata bado ujasiri huo wa kubalance hii unsolved equation,...
pamoja na kumpenda sana soulmate wangu, siku zote nitawapa kipaumbele watoto wangu kwanza...
otherwise, kwa thread hii nishajikubalisha 'talaka rejea' hata harusi bado,...lol!
...pamoja Lizzy, unayasema yote yaliyo moyoni mwangu...
nakwenda lala nikiwa na amani tele sababu ya mabandiko yako.
ubarikiwe!
Dah! Lizzy hapo red umekwenda deep sana aisee! na trust me umeongea kitu platinum kabisa. Na sasa nimeanza kuwaangalia wale wanaopenda wenza wao kwa jicho jipya.Hhahhahah Mbu talaka rejea inaweza kuwepo tu iwapo soulmate sio muelewa (iwapo anapata stahiki yake ya mapenzi na yote yanayotakiwa kufuatana nayo)...zaidi ya hapo anaweza hata akakupenda zaidi.
Niseme ukweli mimi mwanaume akinitamkia kabisa kwamba ananipenda/niko juu zaidi ya watoto iwe wetu au wake aliokuja nao ntamwogopa sana maana kama tuna watoto nakua najua kabisa kwamba kuna uwezekano siku ntakapokua sipo tena na yeye akahitajika kuchukua jukumu la kulea watoto mwenyewe pale atakapopata mwenza tu ndo imekula kwao. Hata wakinyanyaswa hatajali yeye atakua busy kumfurahisha mke/mpenzi wake...hata kama kinachomfurahisha ni kukataa watoto wasisome vizuri/kuwacharaza bila sababu ya msingi/kuwageuza punda n.k
Yani kama ntakua hai sitokua na amani...na kama ntakua nimeondoka duniani sijui huko ntakapokua ntajisikia vipi.
Karibu..
Good night!!
Dah! Lizzy hapo red umekwenda deep sana aisee! na trust me umeongea kitu platinum kabisa. Na sasa nimeanza kuwaangalia wale wanaopenda wenza wao kwa jicho jipya.
Yaani hii post yako hii dah! acha nikuvulie kofia tu.
Will u marry me?
Hhahahahahah...Kloro bana!!Owwwwkeyyy TODAY I will!!!lolz
Ni muhimu bana kuwapa watoto kipaumbele kwasababu ni rahisi zaidi wao kunyanyasika iwapo mzazi anawapa watu wengine kipaumbele.Bahati mbaya ukute hao wanaopewa hicho kipaumbele hawapendi watoto/hawajali wala kuwaheshimu.
Hapo red, at least sasa nitakwenda kulala kwa amani lol.
In fact umeleta point moja muhimu sana , yaani imebidi nikuheshimu tu kwa hizi post zako 2 za mwisho. Zimebeba ukweli usiopingika kisaikolojia na hakyanani ni angle ambayo hata sikuweza kuifikiria kabisa.
Acha niuchunguze tena msimamo wangu, nimejifunza kitu hapa.
Ubarikiwe sweetheart, natangulia lakini uskawie eeh! lol
Mbu mi hizo habari za unawapenda watoto kuliko mimi/unawapa kipaumbele zaidi zinanichosha kabisa!
I mean...as long as your getting your share why envy someone else's???
Umependwa pendeka kisha acha watoto nao wapendwe kwa kiasi chao.
Binafsi siwezi hata siku moja kumtaka mtu eti anipende kama anavyowapenda watoto au zaidi kwasababu najua haiwezekani..na sitarajii nitakwe kufanya hivyo either....nnachoweza kutaka ni yeye kunipenda to max vile awezavyo kumpenda mwanamke kama mpenzi/mwenza..FULL STOP.
...e bana ee...kila mtu na msimamo wake, period!
hata wewe unayempenda mkeo kuliko wanao usijeshangaa kwa mkeo
mwanao anachukua nafasi ya kwanza...
mimi msimamo wangu unasimama palepale....
kwanza, binti yangu na last born wangu....kisha
another boy....(ambaye ni kipenzi cha mama'ke)
...kiukweli thread hii imenifungua macho sana...
pia sasa nimeelewa kwanini wengi walioingia kwenye 2nd
marriage etc, new spouses walifanya kila njia na wao wazae watoto
idadi sawa na waliowakuta...
potelea mbali,....nitaishia na huu 'ujane'