Mdahalo: Kids Vs Spouses


out of topic...hivi hiyo 'ndoa' ya ma soulmates ni lini???lol
 
Mbona unam-address Nyumba Kubwa kama NN?

Tafadhali usije ukaanzisha speculations zingine kuwa NN ndo Nyumba Kubwa maana kuna watu walio gullible na credulous kupita maelezo humu. Ya mimi kuwa ndo AshaDii imetosha.


Sasa hivi wewe ni AshaDii... Na Roulette pia... Pole saaana!! (hopefully you are doing something)
 

usikonde MJ1,nakuelewa,maisha yaone hivi hivi,la kesho huwezi kulijua leo,na hakuna kitu kibaya kama maamuzi ya hasira,unakumbuka kuna siku ulinikemea kuhusu Mzee Liundi,Taji et al?
 
out of topic...hivi hiyo 'ndoa' ya ma soulmates ni lini???lol

....ssshhhhhhh!, slow down bana...barabara hii yataka abiria mtulie kimya kwani dereva anaweza poteza muelekeo....

thread hii imenitisha sana misimamo iliyojitokeza,....kwani katika jambo nililokuwa nalifikiria kwa roho nyeupe ni pamoja na kuwa muwazi kwa mwenza wangu maishani ni kwa jinsi gani nawathamini wanangu.... lakini mnh!....kumbe ndio maana mama wa kambo wengine wanakuwa wakorofi sana kwa watoto wa kufikia...

imeniuma sana.
 

Bi Nyumbakubwa,hili la so called 'watoto wa nje' tulitafutie siku na thread yake special,we need that,naomba over the weekend ufungue hiyo thread,na usisahau kum alert AshaDii kuhusu hiyo thread.
 
Sasa hivi wewe ni AshaDii... Na Roulette pia... Pole saaana!! (hopefully you are doing something)

Asha, what else can I do about it other than just shake my head? Both you and I know beyond a shadow (not even beyond a reasonable doubt) of a doubt that you are not me and I am not you.

Sasa how does someone else know that me and you are one and the same? It's beyond me.

Btw, hiyo ya wewe kuwa RR nimeiona na nikacheka sana. Ikanikumbusha wewe na FF. And why in the hell do people think you are all these people?
 

Nimekuelewa Mbu tatizo langu haliko huko. Ukiwapenda kwa nafasi zao kama watoto ninakuelewa kabisa. Ila usijisahau uka;hamishia' mapenzi yako (hata yale ambayo unatakiwa uyaelekeze kwangu) ndipo nisipopaelewa. Afadhali MTM ameweka sawa kuwa these two parts are both special and unique in their different ways. Lakini si yale ya eti hunijali, you take me and mylove for granted kisa unawapenda wenetu na kuwajali wao kimatendo na nadharia?!! Hapana bana nikiwa kama binadamu mwenye hisia nami ninastahili kupata haki yangu.

Kuhusu Mama wa watoto wako (ambaye mmeachana) ni kweli hautoeleweka ukisema unampenda kwa kuwa hamko naye kwa sasa, n definition ya spouse hapo inabadilika na kumvaa yule uliyeoa/oana naye sasa. So mimi nitakaposema ninawapenda wanangu (hao Mbu ulonikuta nao) na kuwa baba yao au Uncle wao kama wengine wanavyopenda kujulikana nitakuwa ninamaanisha Mbu na si baba ya wanangu ambaye hayupo tena kwangu kimapenzi. Kuwa pamoja na kuwa nina watoto wangu, Mbu will always have that special place mpaka pale atakaponipa sababu za kumtoa!

Shida yangu iko katika matendo zaidi, naiogopa sana ile hali ya kujihisi kuwa neglected kihisia jamani, nadhani yamenitosha niloyapitia nisingependa kuwa kwenye mahusiano ambayo vitendo vya mwenzangu vitanifanya nijisikie kuwa msindikizaji tu kwenye maisha.

Ah sio siri hii thread hata sikuitegemea kunitenda hivi.

Nway pengine ni kutokuelewa kwangu tu.
But ninaheshimu mawazo ya wote.
 

hujambo Asha? Are you ok? Uliyosema hapa juu na ninayosema mimi kwenye uzi huu basically ni uchakachuaji wa original thread ya babu yenu piriton,nashauri either wewe au Nyumbakubwa mfungue thread kuhusu hao ambao unfairly wanaitwa 'watoto wa nje' kisha tujadili'
 

what is life if not a risk????
what is love if not a risk?????
 

"neglected"
kihisia...!?

hizo insecurities zinasababishwa na nini?
sababu tu baba mtu anawapenda sana wanawe?

.
 

Nafikiri hii haina tatizo Mbu kama tu wewe utaplay part yako as both a good father to them kids, a loving daddy for that matter and a good and lovely husband too. Yaani ukiweza kutenganisha mapendo na mapenzi kati ya wanao na mkeo haina shida kabisa.

Pole kumbe tuko wengi tuloumizwa na hii thread!
 

neno kubwa The Boss umeongea,nimekuelewa,ningesema zaidi lakini si vizuri kuchakachua uzi wa paracetamol
 

"neglected"
kihisia...!?

hizo insecurities zinasababishwa na nini?
sababu tu baba mtu anawapenda sana wanawe?

.


Mbu hebu tuache hii thread tafadhali.

Ninachokiweka hapa ni hiki
Mume: Hivi we mwanamke unalalamika nini, kwani watoto wetu siwatunzi? siwalipii ada? hawali wakashiba? *huku ananimistreat mimi kama mkewe, hanijali na kunichukulia kuwa ninatakiwa kuridhika na kutulia kwa kuwa anawajali watoto wetu. )= Hapa sitakuwa na sababu ya kujihisi/ona neglected kweli???

ambayo ni tofauti na yule anayewapenda na kuwajali watoto wetu BUT na mke anampenda na kumrespect na kumthamini kama mke, mwenzi na rafiki katika kuwalea hao watoto.
 

...am out....!
 

hilo nalo neno,mmeachana and stll in love? Acha kuchakachua thread ya Aspirin!
 
aiseeeeeee
 
Wanajumuiya.... Again

hii thread inaonyesha jinsi watu tunavyopenda lakini haishii hapo............ Pia inayonesha watu wanavyo chukulia mapenzi kati ya partner na kids na haishii hapo some people wanadhani kuna right way ya kupenda mama/baba au mtoto

kila anayependa apendavyo ana sababu na experience zake............ Love principles can never be one size fits all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…